Kama ni kweli na ushahidi upo....

Kama ni kweli na ushahidi upo....

Wacha nishushie na Coca Bashite hapa baridiiiiiii
 
Tunawaombeni ushahidi wa hivyo vyeti vilivyofojiwa na cheti chake original ili tuweze cu compare na mvipeleke necta ili wamchukulie hatua kama wanaofoji vyeti wengine.

Kusema tu amefoji cheti bila kuleta ushahidi ni kupotezeana muda, eti kisa 'fulani' kasema, mtu anaweza kusema chochote kile maana mdomo ni male yake na halipii kuongea.

Ndio maana makonda alipotaja 'watuhumiwa' wa dawa za kulevya, hakuishia kutaja tu, aliwapeleka polisi ili wawachunguze, wengine wanaojijua wanahusika na dawa za kulevya wakakimbilia mahakamani wasihojiwe maana wanajua wangekamatwa. Na nyie mpelekeni necta wamchunguze.
Huna hoja...

Kiongozi Mwandamizi wa umma hatakiwi kuwa na makando makando yoyote!! Kiongozi Mwandamizi anatakiwa wakati wote kubaki clean! Tuhuma dhidi ya Makoda hazijaanza jana wala juzi na wala hazijaanza mwaka huu!! Yeye kama Kiongozi wa umma anatakiwa kujitokeza hadharani na kukanusha kwa ushahidi kwamba yanayosemwa na watu si kweli! Ni kukosa hoja kuwataka watu wa kawaida eti ndio waende mahakamani wakati mwenyewe ndie ana nafasi mzuri ya ku-prove otherwise!!!

Kwamba Makonda alipowataja wauza unga aliwapeleka polisi inaonesha bado hujafamu tofauti kati ya Makonda na wale wanaomtuhumu Makonda!!!!

Narudia na nitarudia tena... wanaomtuhumu Makonda ni wananchi wa kawaida ambao hawana ubavu wa kumpeleka RC huko unakotaka waende!! Wananchi wa kawaida wana mahakama zao zinazojulikana kama Mahakama za Umma!!! Mitandao ya Kijamii kwa dunia ya leo ndio mahakama za umma ambazo wananchi wa kawaida huzitumia kuwashitaki wahalifu wote ambao ni powerful!!!!

Kwavile angepelekwa court of law ingefika wakati wa kutakiwa ku-prove otherwise; basi atumie uwezo huo huo ku-prove otherwise kwenye mahakama za umma!!!!!

Najua wengi wenu kwa kuishiwa hoja mnataka kuaminisha watu kwamba tuhuma hizi zimeanza sasa!!! Msome Mamaphilipo hapa chini:
Nilikutana naye Koromije Misungwi Mwanza miaka ya 2000 enzi hizo akiitwa DAUDI Bashite. Sifahamu kivipi anaitwa Paul Makonda. Namfahamu in and out
Kisha msome hapa:
Nilipigwa butwaa alipoteuliwa. Kujiridhisha nikampigia Mama yake akanithibitishia..Sishangai kinachotokea
Hizo posts ni za December 2015

Ukishamsoma, tembelea profile yake halafu judge mwenyewe kama huyo Mama/Dada anaelekea kuwa ni mtu mwenye ushabiki wa kisiasa!!! Kwahiyo hizo tuhuma hazijaanza leo!!!!

Hoja kwamba nendeni mahakamani ni hoja inayotumiwa na wahalifu wote wakubwa duniani pindi wanapofanya uhalifu!!

Wezi wa EPA waliwataka watu waende mahakamani lakini hiyo haikumaanisha kwamba hawakuiba!

Wezi wa Richmond nao walitaka tuende mahakamani au tutoe ushahidi!!

Hata wezi wa Escrow nao walitutaka tutoe ushahidi au twende mahakamani!!!

Hivyo basi, hoja ya ushahidi haijawahi na katu haitapata kuwa sababu tosha ya mtuhumiwa kuwa hajafanya uhalifu kwa sababu tu wananchi wa kawaida wameshindwa kutoa ushahidi!! Hii inatokana na ukweli kwamba, hiyo ndio hoja inayotumiwa na wahalifu wote wakubwa duniani... LETA USHAHIDI.... NENDA MAHAKAMANI!

Hatuwezi kwenda mahakamani wakati tuna mahakama zetu za umma!! Anayeona anadhalilisha ajitokeze mbele ya mahakama za umma ku-prove otherwise!!!!

Watu wa kawaida wanachofanya ni kufikisha mashitaka kwenye mahakama za umma na wenye mamlaka ndio wanaotakiwa kufuatilia mashitaka hayo!!!

Sisi wananchi wa kawaida hatuna mamlaka hayo!!!
 
Kwa aliyeangalia kipindi cha zamaradi mketema, mama alivyokua anajikuna na kumuita mwanae Paul Makonda ni ushahidi tosha.
 
Msomi jifunze tena kusoma na kutafsiri sheria...kifungu kiko wazi kabisa. Isipokuwa hujaelewa. Kivunje hicho kifungu ukielewe.
Mfuatilie taratibu huyu "mwanasheria msomi", utasikitika kwamba uhenda bado anafanya kazi za "uanasheria"!
 
Kakutuma Bashite na Magufuli ugeuze kibao tukuulize Magufuli alipomtumbua Kabwe alituonyesha ushahidi wanalo hilo na watu wanavielelezo kibao wanangoja makonda aseme sitaki kuchafuliwa vyeti vayangu hivi tngu kuzaliwa hadi leo
Acha unaa, Kabwe aliundiwa tume na Makonda. Na matokeo yalielezwaa. Kumbe nimegundua hizo ni Chuki toka kwa wahanga wa Makonda kuanzia wa NGADA mpaka kina Kabwe
 
Gwajima kasema sentensi tata. Hivyo ni vyema atoe ushahidi angalau wa vyeti ili angalau isaidie.

1. Kasema Daudi Bashite hakuchaguliwa kwenda shule ya serikali na akajiunga na Pamba Sec. Wakati kiukweli PAmba mwaka 1997 ilikuwa shule ya serikali.

2. Hata kama Daudi Bashite alikuwa evening class, swali linakuja tena kutokana na maneno yake kwamba inakuwa je evening class akafukuzwa shule.
3. Anacheti cha Daudi Bashite chenye zero, mimi naomba akionyeshe hicho cheti chenye zero kinafanana je?
Ongera kwa kuwa na jicho la uchambuzi, siyo kuwa dodoki kufyonza kila uchafu!
 
Mwenye wajibu wa kuthibitisha tuhuma huwa ni nani kwani?

Mtuhumu au mtuhumiwa?

Nielimishe mie mbeba maboksi aka ex-mla vumbi na mkanyaga tope😀.
The burden of proof inategemewa itoke kwa yule aliyeibiwa kuku, siyo yule aliyeiba kuku; au siyo Nyani Ngabu?
 
Huna hoja...

Kiongozi Mwandamizi wa umma hatakiwi kuwa na makando makando yoyote!! Kiongozi Mwandamizi anatakiwa wakati wote kubaki clean! Tuhuma dhidi ya Makoda hazijaanza jana wala juzi na wala hazijaanza mwaka huu!! Yeye kama Kiongozi wa umma anatakiwa kujitokeza hadharani na kukanusha kwa ushahidi kwamba yanayosemwa na watu si kweli! Ni kukosa hoja kuwataka watu wa kawaida eti ndio waende mahakamani wakati mwenyewe ndie ana nafasi mzuri ya ku-prove otherwise!!!

Kwamba Makonda alipowataja wauza unga aliwapeleka polisi inaonesha bado hujafamu tofauti kati ya Makonda na wale wanaomtuhumu Makonda!!!!

Narudia na nitarudia tena... wanaomtuhumu Makonda ni wananchi wa kawaida ambao hawana ubavu wa kumpeleka RC huko unakotaka waende!! Wananchi wa kawaida wana mahakama zao zinazojulikana kama Mahakama za Umma!!! Mitandao ya Kijamii kwa dunia ya leo ndio mahakama za umma ambazo wananchi wa kawaida huzitumia kuwashitaki wahalifu wote ambao ni powerful!!!!

Kwavile angepelekwa court of law ingefika wakati wa kutakiwa ku-prove otherwise; basi atumie uwezo huo huo ku-prove otherwise kwenye mahakama za umma!!!!!

Najua wengi wenu kwa kuishiwa hoja mnataka kuaminisha watu kwamba tuhuma hizi zimeanza sasa!!! Msome Mamaphilipo hapa chini: Kisha msome hapa:Hizo posts ni za December 2015

Ukishamsoma, tembelea profile yake halafu judge mwenyewe kama huyo Mama/Dada anaelekea kuwa ni mtu mwenye ushabiki wa kisiasa!!! Kwahiyo hizo tuhuma hazijaanza leo!!!!

Hoja kwamba nendeni mahakamani ni hoja inayotumiwa na wahalifu wote wakubwa duniani pindi wanapofanya uhalifu!!

Wezi wa EPA waliwataka watu waende mahakamani lakini hiyo haikumaanisha kwamba hawakuiba!

Wezi wa Richmond nao walitaka tuende mahakamani au tutoe ushahidi!!

Hata wezi wa Escrow nao walitutaka tutoe ushahidi au twende mahakamani!!!

Hivyo basi, hoja ya ushahidi haijawahi na katu haitapata kuwa sababu tosha ya mtuhumiwa kuwa hajafanya uhalifu kwa sababu tu wananchi wa kawaida wameshindwa kutoa ushahidi!! Hii inatokana na ukweli kwamba, hiyo ndio hoja inayotumiwa na wahalifu wote wakubwa duniani... LETA USHAHIDI.... NENDA MAHAKAMANI!

Hatuwezi kwenda mahakamani wakati tuna mahakama zetu za umma!! Anayeona anadhalilisha ajitokeze mbele ya mahakama za umma ku-prove otherwise!!!!

Watu wa kawaida wanachofanya ni kufikisha mashitaka kwenye mahakama za umma na wenye mamlaka ndio wanaotakiwa kufuatilia mashitaka hayo!!!

Sisi wananchi wa kawaida hatuna mamlaka hayo!!!
mkuu achana nao leo nimeshangaa sana baada ya gwajima kusema ana ugeni kutoka huko kijijini kwao
Wote wamegeuka hawataki ushahidi huo!
Nimeshangaaa kweli hata huyu aliyeanzisha uzi huu nae anamshambulia gwajima kutaka asitoe huo ushahidi!
Aisee watanzania wengi ni wanafiki wa kupindukia!

Nyani Ngabu
 
Huna hoja...

Kiongozi Mwandamizi wa umma hatakiwi kuwa na makando makando yoyote!! Kiongozi Mwandamizi anatakiwa wakati wote kubaki clean! Tuhuma dhidi ya Makoda hazijaanza jana wala juzi na wala hazijaanza mwaka huu!! Yeye kama Kiongozi wa umma anatakiwa kujitokeza hadharani na kukanusha kwa ushahidi kwamba yanayosemwa na watu si kweli! Ni kukosa hoja kuwataka watu wa kawaida eti ndio waende mahakamani wakati mwenyewe ndie ana nafasi mzuri ya ku-prove otherwise!!!

Kwamba Makonda alipowataja wauza unga aliwapeleka polisi inaonesha bado hujafamu tofauti kati ya Makonda na wale wanaomtuhumu Makonda!!!!

Narudia na nitarudia tena... wanaomtuhumu Makonda ni wananchi wa kawaida ambao hawana ubavu wa kumpeleka RC huko unakotaka waende!! Wananchi wa kawaida wana mahakama zao zinazojulikana kama Mahakama za Umma!!! Mitandao ya Kijamii kwa dunia ya leo ndio mahakama za umma ambazo wananchi wa kawaida huzitumia kuwashitaki wahalifu wote ambao ni powerful!!!!

Kwavile angepelekwa court of law ingefika wakati wa kutakiwa ku-prove otherwise; basi atumie uwezo huo huo ku-prove otherwise kwenye mahakama za umma!!!!!

Najua wengi wenu kwa kuishiwa hoja mnataka kuaminisha watu kwamba tuhuma hizi zimeanza sasa!!! Msome Mamaphilipo hapa chini: Kisha msome hapa:Hizo posts ni za December 2015

Ukishamsoma, tembelea profile yake halafu judge mwenyewe kama huyo Mama/Dada anaelekea kuwa ni mtu mwenye ushabiki wa kisiasa!!! Kwahiyo hizo tuhuma hazijaanza leo!!!!

Hoja kwamba nendeni mahakamani ni hoja inayotumiwa na wahalifu wote wakubwa duniani pindi wanapofanya uhalifu!!

Wezi wa EPA waliwataka watu waende mahakamani lakini hiyo haikumaanisha kwamba hawakuiba!

Wezi wa Richmond nao walitaka tuende mahakamani au tutoe ushahidi!!

Hata wezi wa Escrow nao walitutaka tutoe ushahidi au twende mahakamani!!!

Hivyo basi, hoja ya ushahidi haijawahi na katu haitapata kuwa sababu tosha ya mtuhumiwa kuwa hajafanya uhalifu kwa sababu tu wananchi wa kawaida wameshindwa kutoa ushahidi!! Hii inatokana na ukweli kwamba, hiyo ndio hoja inayotumiwa na wahalifu wote wakubwa duniani... LETA USHAHIDI.... AU NENDA MAHAKAMANI!

Hatuwezi kwenda mahakamani wakati tuna mahakama zetu za umma!! Anayeona anadhalilisha ajitokeze mbele ya mahakama za umma ku-prove otherwise!!!!

Watu wa kawaida wanachofanya ni kufikisha mashitaka kwenye mahakama za umma na wenye mamlaka ndio wanaotakiwa kufuatilia mashitaka hayo!!!

Sisi wananchi wa kawaida hatuna mamlaka hayo!!!

Hapo kwenye red, Wewe ulitaka wafanyeje?
 
"unabisha nini wakati Mange ametuambia"

MsemajiUkweli hapo ulinena kaka!
Na Mchungaji Gwajima, mtumishi wa Mungu, ambaye utukufu wake (anavyodai) ni zaidi ya Rais wa Nchi, naye kaingizwa mkenge kama ametumia ushahidi wa Mange kumtuhumu RC Makonda.

Kwa kuwa kinywa chake kimetamka, na hana ushahidi sahihi, ila huo wa kugushi, nina uhakika hana uthubutu wa kuuonesha. Asubiri tu kashfa kumrudia na kumjeruhi.
 
Kwanza kuwa na zero ni dhambi? Kama ni dhambi nyie munaohoji toeni vyeti vyenu tuvione, hayo yote kwa sababu kasimama na kujitoa kuhusu dawa za kulevya, lakini ukweli utabaki palepale kuwa kuna madhara makubwa, tuache ushabiki, tuache NECTA wafanye kazi
 
Hahaha! Mpaka hapa atakuwa kashapigiwa simu na wakubwa wamemwambia tulia tu ni upepo utapita. Kinachonishangaza udanganyifu kama huu ni kosa kubwa kinyume kabisa na sheria ya maadili ya umma, zaidi ni kosa la jinai muhusika yupo kimya mamlaka zipo kimya hata ya kihiyo ilianzaga hivihivi mwisho wake kila mtu anajua. Makonda hajakutwa na hatia kinachojadiliwa sasa na walichokitoa akina Gwajima ni tuhuma tu na kuna presumption of innocence. Lakini tuhuma hizi kwa upande wangu zina kila dalili ya kuwa kweli hebu tusubiri muda utasema.

Mkuu;
Hakika weye ni kiona mbali sana. Huo ndo mchakato halisi. Wametulia tuli na gahawa mikononi wakicheza bao. Upepo utapita tu uwaache wenye nafwasi zao waendelee kula bata. Mama Tanzaniaaaaa, nakuonea huruma.
 
Hapo kwenye red, Wewe ulitaka wafanyeje?
Hoja sio nilitaka wafanye nini bali hoja ni kwamba wahalifu wote hutumia hoja ya kudai ushahidi ili kufifisha tuhuma dhidi yao na si kwamba huwa wanadai ushahidi kwavile wanafahamu wapo clean... la hasha!!!
 
Kwanza kuwa na zero ni dhambi? Kama ni dhambi nyie munaohoji toeni vyeti vyenu tuvione, hayo yote kwa sababu kasimama na kujitoa kuhusu dawa za kulevya, lakini ukweli utabaki palepale kuwa kuna madhara makubwa, tuache ushabiki, tuache NECTA wafanye kazi
Wewe na wenzako mnaonekana wazi wala hamfahamu kinachoongelewa ni nini!!! Hakuna anayehoji ZERO ya Bashite kwa sababu kupata ZERO sio kosa kisheria!!

Kinachojadiliwa ni tuhuma dhidi ya mtu aliyepata ZERO na akaamua kutumia cheti cha mtu mwingine ili kuaminisha kwamba hakupata zero!! Hiyo ni fraud!!!

That's one but two; tuhuma za Makonda kutumia jina la mtu hazijaanza leo kwahiyo acha kupotosha kwamba eti kwa sababu alijitoa "kupambana" dhidi ya mihadarati!!!

Msomi huyu mtu hapa chini:
Nilikutana naye Koromije Misungwi Mwanza miaka ya 2000 enzi hizo akiitwa DAUDI Bashite. Sifahamu kivipi anaitwa Paul Makonda. Namfahamu in and out
Kisha msome hapa
Nilipigwa butwaa alipoteuliwa. Kujiridhisha nikampigia Mama yake akanithibitishia..Sishangai kinachotokea
Pia tembelea profile yake uone kama ana ushabiki wa kisiasa!!

Lakini huyu member anayeonekana anamfahamu Makonda alifichua jina la Bashite tangu 2015!! Kwahiyo acheni porojo za kusema eti kwa sababu ya dawa za kulevya!!! Kwa vita gani ya dawa za kulevya wakati alichofanya ni kuwasaidia wauza mihadarati wapoteze ushahidi?!

Yaani nyie watu mna macho lakini hamuoni na mna masikio lakini hamsikii!!!!!

Hakuna chochote alichofanya zaidi ya kuharibu the so called vita dhidi ya wauza mihadarati! Na ni kutokana na ukweli huo ndio maana karibu wote aliowatuhumu wameonakana hawahusiki!! Si kwamba wote hawahusika bali kutokana na approach zake za Kibashite ziliwafanya wauza mihadarati wapoteze ushahidi!!!!!!
 
mkuu achana nao leo nimeshangaa sana baada ya gwajima kusema ana ugeni kutoka huko kijijini kwao
Wote wamegeuka hawataki ushahidi huo!
Nimeshangaaa kweli hata huyu aliyeanzisha uzi huu nae anamshambulia gwajima kutaka asitoe huo ushahidi!
Aisee watanzania wengi ni wanafiki wa kupindukia!

Nyani Ngabu
Kweli Mkuu manake tunabishana na watu wenye macho lakini hawaoni na wana masikio lakini hawasikii!!!!
 
Back
Top Bottom