Decree Holder
JF-Expert Member
- Jul 19, 2015
- 2,559
- 3,747
Ndiyo ishajibiwa hivyo haya yako ni for academic purposes!mkuu hoja ya mzee Mkamap ni bora ukae kimya kuliko kuijibu!!
Ndiyo ishajibiwa hivyo haya yako ni for academic purposes!mkuu hoja ya mzee Mkamap ni bora ukae kimya kuliko kuijibu!!
Mmeshaenda huko mahakamani mkajibiwa hivyo au mnarukaruka tu?Ni hivi , alipogundua kwamba amepora jina la mtu alienda mahakamani kuapa na kujiwekea kinga kisheria .
Kwahiyo mnaweza kwenda Mahakamani halafu mkaambiwa ni kweli jina halikuwa lake lakini alikuja kujimilikisha kisheria , Ndio maana sisi sasa hivi tumepeleka kesi kwenye mahakama ya umma , zaidi tutamuomba Ndalichako atupe mwongozo .
mkuu, sidhani kama kuna ushahidi "concrete". sema watesi wa Makonda wanamuiga yeye alivowafanyia wenzie. basi.
BTW mkuu, mbona ume-mute kuhusu alivofanya Makonda kwa wengine? ni sahihi? maana kurushia wenzio mawe ilihali wewe mwenyewe mrushaji upo kwenye nyumba ya vioo si busara, mkuu. ama nakosea??
Wacha maneno Gwajima kasema magufuli asipochukua hatua yeye atachukua. Gwajima ametumia busara na kuwapatia wahusika muda wa kutosha wachukue hatua zikiwemo za kupangiana kazi nyingine, na wasipofanya hivyo ndipo A, B, C, na D vitatenganishwa.Nianze kwa kusema tu kuwa mimi ni mbeba maboksi nisiyejua mengi hususan kwenye hiyo fani ya 'wasomi' wabobezi [wanasheria] ambao ndiyo majiniasi wetu wenye kuongea Viingereza hatari lakini salama. Nimeishia kidato cha nne tu. Kwa hiyo msinihoji sana kuhusu elimu yangu. Ni ndogo sana.
Sasa hapa nilipo na ujinga wangu huu najiuliza maswali kadha wa kadha na sipati majibu.
Hivi kinachodaiwa dhidi ya Makonda ni kosa la jinai?
Kama ni kosa la jinai na kama kweli ushahidi upo, tena ambao ni wa kutosha na kuridhisha kabisa, kwa nini hao watu waolizitoa hizo tuhuma hawaendi kumfungulia kesi mahakamani?
Au haiwezekani kwa raia kwenda kufungua kesi mahakamani kwa manufaa ya umma dhidi ya kiongozi?
Manake mpaka sasa kilichopo au niseme ambacho nakijua mimi kupitia hii mitandao ya kijamii ni maneno tu kuwa Paul Makonda si jina lake halisi.
Jina lake halisi ni Daudi Bashite. Lakini sijaona ushahidi wowote ule uliotolewa na hao watuhumu unaothibitisha hizo tuhuma zao.
Sasa maneno tu peke yake si ushahidi wa lolote maana mtu yeyote yule anaweza kuzua lolote lile dhidi ya yeyote yule kwa sababu yoyote ile.
Nyie 'wasomi', hivi kweli haiwezekani kwenda kumfungulia mashitaka huyo Paul Makonda kama kweli ushahidi wa yanayosemwa dhidi yake upo?
Si mumburute tu mahakamani huko akaaibike rasmi. Au ni majungu tu?
Hapana au ndiyo yote majibu. Lakini, kama una tetesi huyu mtu ni mwizi nadhani jukumu lako kubwa ni kwenda mahakamani kumshitaki ili haki itendeke. Kupiga makelele hovyo kama mbwa koko maana yake huna uhakika na ni majungu tuu. Na kusema ukweli ni majungu tuu au tuseme blaa blaa za wachungaji feki. Hivi Makonda kapata ukuu wa mkoa mwezi jana au lini? Kaanzia ukuu wa wilaya wakati wa JK na hawa watu wapo hapa hapa na makanisa yao yako hapa hapa. Magu kaja kampa ukuu wa mkoa wapo hapa hapa Dar es salaam hii. Walikuwa wapi? Huu ni upuuzi na inaonyesha kabisa ni kwa kiasi gani madawa ya kulevya ni tatizo kuuuubwa hapa nchini. Kwa taarifa yenu, Kitwanga mnaembez humu kila siku ni madawa haya haya ya kulevya baada ya kuwa anawakamata kwa hiyo kimya kimya yenu mnayosema au mnayotaka. Ni bira kuwataja hadharani kama makonda ili wapige makelele tuwafahamu hata sisi tusiokuwa na mitandao. Now we know them exactly. Makonda kwangu mimi hapaswi kutumbuliwa hata kama vyeti vyake vingekuwa na kutu ya aina gani. Ni kijana jasiri na tunamhitaji. Mabadiliko yatatokea CCM na si kwingineko. Hawa wapinzani tuliowashangilia sasa wameshalipwa na wauza unga na wanawatetea. Hakunaga sheria kwenye upuuzi. Sheria mtu akiua inaweza kumuachia huru kama ana wakili ajuae kupanga maneno. Na ndiyo chimbuko la neno sheria ni msumeno. Itumike kwa vitu vya kawaida si miraaaaa.Kesi ya jinai inaendeshwa na serikali na sio mtu binafsi.
Mwenye wajibu wa kuchunguza na kumpeleka huyo jamaa mahakamani ni serikali.
Hoja ni je polisi watakaa kimya kwa kuwa tu hamna picha ya eneo walipo magaidi?mkuu wangepiga picha eneo waliko magaidi .....
jamani, hata copy ya hivyo vyeti??
au hata matokeo yale ya kubandikwa ukutani hamna???
Kuna jinai na madai kasome hapo kwanzaNauliza kma Serekali haishitakiwi yle Marehemu Cristopha Mtikila hajawahi kuishitaki Serekali? mi pia sina Elimu nauliza ili nijue
Nianze kwa kusema tu kuwa mimi ni mbeba maboksi nisiyejua mengi hususan kwenye hiyo fani ya 'wasomi' wabobezi [wanasheria] ambao ndiyo majiniasi wetu wenye kuongea Viingereza hatari lakini salama. Nimeishia kidato cha nne tu. Kwa hiyo msinihoji sana kuhusu elimu yangu. Ni ndogo sana.
Sasa hapa nilipo na ujinga wangu huu najiuliza maswali kadha wa kadha na sipati majibu.
Hivi kinachodaiwa dhidi ya Makonda ni kosa la jinai?
Kama ni kosa la jinai na kama kweli ushahidi upo, tena ambao ni wa kutosha na kuridhisha kabisa, kwa nini hao watu waolizitoa hizo tuhuma hawaendi kumfungulia kesi mahakamani?
Au haiwezekani kwa raia kwenda kufungua kesi mahakamani kwa manufaa ya umma dhidi ya kiongozi?
Manake mpaka sasa kilichopo au niseme ambacho nakijua mimi kupitia hii mitandao ya kijamii ni maneno tu kuwa Paul Makonda si jina lake halisi.
Jina lake halisi ni Daudi Bashite. Lakini sijaona ushahidi wowote ule uliotolewa na hao watuhumu unaothibitisha hizo tuhuma zao.
Sasa maneno tu peke yake si ushahidi wa lolote maana mtu yeyote yule anaweza kuzua lolote lile dhidi ya yeyote yule kwa sababu yoyote ile.
Nyie 'wasomi', hivi kweli haiwezekani kwenda kumfungulia mashitaka huyo Paul Makonda kama kweli ushahidi wa yanayosemwa dhidi yake upo?
Si mumburute tu mahakamani huko akaaibike rasmi. Au ni majungu tu?
Nianze kwa kusema tu kuwa mimi ni mbeba maboksi nisiyejua mengi hususan kwenye hiyo fani ya 'wasomi' wabobezi [wanasheria] ambao ndiyo majiniasi wetu wenye kuongea Viingereza hatari lakini salama. Nimeishia kidato cha nne tu. Kwa hiyo msinihoji sana kuhusu elimu yangu. Ni ndogo sana.
Sasa hapa nilipo na ujinga wangu huu najiuliza maswali kadha wa kadha na sipati majibu.
Hivi kinachodaiwa dhidi ya Makonda ni kosa la jinai?
Kama ni kosa la jinai na kama kweli ushahidi upo, tena ambao ni wa kutosha na kuridhisha kabisa, kwa nini hao watu waolizitoa hizo tuhuma hawaendi kumfungulia kesi mahakamani?
Au haiwezekani kwa raia kwenda kufungua kesi mahakamani kwa manufaa ya umma dhidi ya kiongozi?
Manake mpaka sasa kilichopo au niseme ambacho nakijua mimi kupitia hii mitandao ya kijamii ni maneno tu kuwa Paul Makonda si jina lake halisi.
Jina lake halisi ni Daudi Bashite. Lakini sijaona ushahidi wowote ule uliotolewa na hao watuhumu unaothibitisha hizo tuhuma zao.
Sasa maneno tu peke yake si ushahidi wa lolote maana mtu yeyote yule anaweza kuzua lolote lile dhidi ya yeyote yule kwa sababu yoyote ile.
Nyie 'wasomi', hivi kweli haiwezekani kwenda kumfungulia mashitaka huyo Paul Makonda kama kweli ushahidi wa yanayosemwa dhidi yake upo?
Si mumburute tu mahakamani huko akaaibike rasmi. Au ni majungu tu?
Hahaha! Mpaka hapa atakuwa kashapigiwa simu na wakubwa wamemwambia tulia tu ni upepo utapita. Kinachonishangaza udanganyifu kama huu ni kosa kubwa kinyume kabisa na sheria ya maadili ya umma, zaidi ni kosa la jinai muhusika yupo kimya mamlaka zipo kimya hata ya kihiyo ilianzaga hivihivi mwisho wake kila mtu anajua. Makonda hajakutwa na hatia kinachojadiliwa sasa na walichokitoa akina Gwajima ni tuhuma tu na kuna presumption of innocence. Lakini tuhuma hizi kwa upande wangu zina kila dalili ya kuwa kweli hebu tusubiri muda utasema.Mkuu;
Sipo hapa kupiga porojo. Ingelikuwa huyo Daudi ana kadi nyingine kuacha ile ya kijani, nakuambia, angelala sero kwanza ndo Tundu lisu akamtetee. Lakini, kadi ile alonayo Daudi hata miaka itapita bila kuguswa. Mtapayuka sana lakini mwisho wa siku, upepo utatulia tu na boti litaendelea salama tu. Watz ndivyo tulivyo, Watu wa kuukimbiza upepo
Aliyemteua anamlia timing tu amtumbue ,kwanza amempa muda "ajitumbue" na aondoke kwa "heshima" lakini jamaa ameubeba mzigo asiouweza. Anapata flashback ya kufunga nyuzi za viatu za watu wale ambazo zinamwogopesha.
Huyu Mr. Daudi ni wazi amezikubali tuhuma zinazoelekezwa kwake kwa sababau huu ukimwa wake juu ya vyeti halali na halisi. Kama anavyo ni suala la kulizima kwa dakika 2 tu. Ni kama hapana kazi tu na kutumbua jipu.
Mr. Daudi kama anavyo vyeti halali na halisi ambayo ni vyake, kwa kelele zinazopingwa kwamba aviweke hadharani basi naamini kwa anavyopenda kamera na tv angelikwishafanya mkutano na waandishi wa habari na kuwaonesha F,0-zake na Div. 1 zake.
Magu na Mr. Daudi wanaviziana. Ni nani kati yao anayemchelewesha mwenzake?
Tumecherewa kweli kweri, mwende kuwatumikia wadanganyika.
Mkuu ushahidi aweke makonda vyeti vyake ili tuamini.Ushahidi wa hayo unayoyasema uko wapi?
Msiishie kusema tu maana kusema ni rahisi mno.
Tuthibitishieni hayo mnayoyasema.
Licha ya kwamba Makonda mwenyewe alichemka vibaya kwenye hiyo vita, lakini hapa nilipo najiuliza kwa nini yote haya ya Daudi Bashite yameibuka sasa hivi na si awali hususan kama watu walikuwa wanajua kuwa hilo jina la Paul Makonda si jina lake kweli.
kweli mkuu, ila tunarudi pale pale. kwenye kutuhumu vyeti feki approach ya kisomi ni irrelevant - I mean kwa kadri ile ile muheshimiwa alivowatuhumu bure wenziwe kisomilessly (if you like!).Oh no!
Mbona nimeshanena tena kwa uthabiti kabisa kuwa alichofanya Makonda ni upuumbavu. Au hujaona?
Kwa uzoefu wangu mimi hizi operesheni za kukamata wauza na watumia mihadarati watu wa mamlaka kwenye nchi zingine huwa wanahakikisha kuwa wana ushahidi wa kutosha kupata conviction mahakamani kabla hata hawajaamua kwenda public na kukamata watuhumiwa.
Na kifuatacho baada ya hapo ni mambo ya plea bargaining ili kupata taarifa zaidi za wengine wanaojihusisha na hayo mambo.
Sasa huyu Makonda sidhani hata aliwa wire tap hao aliowataja achilia mbali catching them in the act.
Inaonekana alikurupuka tu.
Kwani nao ni viongozi waajiriwa na serikali!?Duh!
Kama ni hivyo basi serikali nzima, viongozi wote wa kisiasa wakiwemo Mbowe, Lisu, Lema, Zito, na hata huyo Gwajima nao wangekaa pembeni, siyo?
Kwa hiyo ni kurusha tu tuhuma, ziwe za kweli au la hiyo ni irrelevant.kweli mkuu, ila tunarudi pale pale. kwenye kutuhumu vyeti feki approach ya kisomi ni irrelevant - I mean kwa kadri ile ile muheshimiwa alivowatuhumu bure wenziwe kisomilessly (if you like!).
Cheti changu? Sasa Mimi utanilinganisha na Bashite kama alishindwa kupita kidato cha nne tu?Alaa kumbe,kutajwa kwa Gwajima ndio kunaleta yote haya??Alivyotajwa Lowassa fisadi kwa miaka 8,mbona mbowe katajwa siku moja tu kawahi mahakamani asitajwe wala kukamatwa.Kama unamwambia Makonda kaghushi onesha cheti chako kwanza
Niendelee na mambo mengine?
Mbona hata kuomba ushahidi napo ni kuendelea na mambo mengine tu....
Vipi, we unao ushahidi wa Paul Makonda na Daudi Bashite?