Why can't Bashite come out the closet and prove us wrong and put the matter to rest as mwigulu didHe/she who alleges must prove.
Allegations don't just prove themselves.
So did I miss the memo or something?
Lubadilisha jina sio kosa kwa mujibu wamsheria za nchi.Unamtetea au VIP? Approve mwenyewe kwamba jina lake ni Paulo, na kuhusu elimu aite press conference aonyeshe cheti cha LA saba mpaka muccobs kumbuka pia kuna walio soma nae primary, secondary na chuo hvo watadhibitisha
Kesi ya jinai inaendeshwa na serikali na sio mtu binafsi.
Mwenye wajibu wa kuchunguza na kumpeleka huyo jamaa mahakamani ni serikali
Kwa hiyo serikali ndo ngedere?ha ha ha
kesi ya nyani umpelekee ngedere
Mbona watuhumiwa wa dawa zile aliwaitia press conference? Cha msing yeye ajitokeze akanushe, kuwa na zero kama watu wanavyosema haimaanish kuwa ndo avuliwe cheoLubadilisha jina sio kosa kwa mujibu wamsheria za nchi.
Tunaomba mtuambie shida tunayotaka kujua hapa ni ipi?
- amebadili jina?
- amefoji cheti?
- amefeli?
Tunataka ushahidi pasi chenga upelekwe necta ili wamchukulie hatua za nidhamu, namba zao zimetolewa kwa yeyote anayetaka kumshitaki mtu aliyefoji cheti, mbona nyinyi mnapiga kelele mitandaoni badala ya kushitaki necta?
Tuhuma alizonazo ni kutumia cheti cha mtu!! Na kwavile cheti hakikuwa chake; si tu amefanya fraud kwa kutumia cheti cha mtu mwingine bali aliendeleza fraud kwa kufoji cheti cha kuzaliwa kitakachoendena na majina ya cheti alichonunua!!Lubadilisha jina sio kosa kwa mujibu wamsheria za nchi.
Tunaomba mtuambie shida tunayotaka kujua hapa ni ipi?
- amebadili jina?
- amefoji cheti?
- amefeli?
Tunataka ushahidi pasi chenga upelekwe necta ili wamchukulie hatua za nidhamu, namba zao zimetolewa kwa yeyote anayetaka kumshitaki mtu aliyefoji cheti, mbona nyinyi mnapiga kelele mitandaoni badala ya kushitaki necta?
Nimependa jibu lako JenifaKesi ya jinai inaendeshwa na serikali na sio mtu binafsi.
Mwenye wajibu wa kuchunguza na kumpeleka huyo jamaa mahakamani ni serikali.
Wale watuhumiwa yeye aliwapeleka kwenye mamlaka husika 'polisi' wahojiwe kwa mujibu wa sheria.Mbona watuhumiwa wa dawa zile aliwaitia press conference? Cha msing yeye ajitokeze akanushe, kuwa na zero kama watu wanavyosema haimaanish kuwa ndo avuliwe cheo
inshu ni kwanini mbowe atajwe kwenye list ya madrug lords.? hayo mengine yatakuja tuu .Naongeza swali, hivi kubadilisha jina ni kosa kwa mujibu wa sheria za nchi? Kwa elimu yangu ndogo ya darasa la 3 najua kuwa sheria ya nchi inaruhusu mtu kubadilisha jina kwa sababu yoyote aliyonayo, ili mradi amefuata hatua stahiki ya kula kiapo kwa mwanasheria au mahakama na kwenda kusajili kiapo chake pale wizara ya ardhi sijui mnaita 'deed poll'.
Ndio maana tunao watu wengi wamebadilisha majina na tunawafahamu (hata wewe unayesoma lazima unamfahamu mtu aliyebadili jina walau mmoja) hiyo ndio inawarahisishia wanawake wanaoolewa na kutaka kutumia majina ya waume zao legally waweze kubadilisha majina yao ya kuzaliwa na kuyatumia majina ya waume zao legal bila shida.
Hebu tusaidieni kutufafanulia,
- issue ni kufeli?
- issue ni ku adilisha jina?
- issue ni kututoa kwenye vita ya madawa ya kulevya?
Maana hatuelewi.
Tunawaombeni ushahidi wa hivyo vyeti vilivyofojiwa na cheti chake original ili tuweze cu compare na mvipeleke necta ili wamchukulie hatua kama wanaofoji vyeti wengine.Tuhuma alizonazo ni kutumia cheti cha mtu!! Na kwavile cheti hakikuwa chake; si tu amefanya fraud kwa kutumia cheti cha mtu mwingine bali aliendeleza fraud kwa kufoji cheti cha kuzaliwa kitakachoendena na majina ya cheti alichonunua!!
Mafisadi kwenye nchi ziliyojaa ufisadi hawawezi kupelekwa kwenye mahakama ambazo watuhumiwa wa ufisadi ndio wenye maamuzi yao huko!! Mafisadi kwenye nchi kama hizo hupelekwa kwenye mahakama za umma!! Mitandao ya kijamii ni moja ya mahakama za umma! Kwavile angepelekwa kwenye court of law ungefika wakati angetakiwa kujitetea na ku-prove otherwise; ndivyo hivyo hivyo anavyotakiwa kwenda mbele ya mahakama ya umma ku-prove otherwise!!!
Kinyume chake; tuhuma dhidi yake hazitasimama kwa sababu tuhuma hizi hazijaanza jana wala leo!!!!!!!