They 're not his certicates, then who owns them ? - Where is the real Paul Makonda then ...?Sorry Boss, in this context they are not real fake certificates but not his!! And mind that it's not me who is accusing him .... I was only contributing!!!
Inasikitisha kuona hujaelewa kifungu tajwa halafu unaniita muongo. Wewe kama ni Mwanasheria basi ni kanjanja. Kifungu ulichokitaja kinataka Mwendesha mashtaka apate ruhusa ya Rais. Upo? Rais ndiye mkuu wa Serikali. Jiongeze"Msomi" acha uongo bana. Hebu soma kifungu cha 99 cha Sheria ya Mwenendo wa Jinai (Criminal Procedure Act) ya Tanzania. Private prosecution ipo bana.
Mkuu,siwezi kujuaOh wow!
Shukrani katheeran Bw. Wakili 'Msomi'.
Umenifunza jipya leo.
Sasa swali kwako, je kwa ufahamu wako, hao wanaodai kuwa wanao ushahidi kuwa Paul Makonda anaitwa Daudi Bashite wameshawasilisha huo ushahidi wao kwenye mamlaka husika?
Jibu laweza kutolewa popote na kwa muda wowote. Kikubwa ni kuwa umelipata ulilolitakaPetro tumekutana nyumbani kwa Ngabu
tukiwa kule haukujibu swali hili!!
Ebu oneni watanzania tulivyo!!!!!
Huo ni uamuzi wao kulingana na fikra zao na uaminifu wao kwa mamlaka. Hata mamlaka zikitaka zaweza kupata ushahidi na kuupata. Waende hata kuuchukua kwa Gwajima aliyesema anao ushahidiHeri yenu nyie akina BigBro na Nyani Ngabu mmeishia form four. Mwenzenu miye niliambulia kile cheti wanachoita "leaving certificate" nadhani mnaelewa yaliyonikuta.
Mkuu Petro E. Mselewa kwa ujinga wangu tu, na mimi naungana na wakuu hapo juu, kwanini aliye na ushahidi hata asiupeleke kwa mamlaka husika ili huyo anayetuhumiwa aburuzwe mahakamani?
Nashangaa kwa kweli mahakama zimedhibitiwa na mhimili uliojichimbia zaidi.ha ha ha
kesi ya nyani umpelekee ngedere
Hapa Nyani Ngabu ana hoja, kuwa kughushi cheti ni kosa kisheria.Kama kasingiziwa basi aje na uthibitisho kuwa kasingiziwa
Otherwise kukaa kimya ni "Tacitly accepting the allegations".
Huwezi kuwa Mtumishi wa ofisi kubwa ya Umma ukaacha kujibu tuhuma nzito dhidi yako , maana umma unapoteza confidence kwako kitu ambacho kiuongozi hakikubaliki!
Huo ni uamuzi wao kulingana na fikra zao na uaminifu wao kwa mamlaka. Hata mamlaka zikitaka zaweza kupata ushahidi na kuupata. Waende hata kuuchukua kwa Gwajima aliyesema anao ushahidi
Hapa Nyani Ngabu ana hoja, kuwa kughushi cheti ni kosa kisheria.
Wanaodhani alifoji wana fursa ya kumfungulia kesi kisheria kama wale wanaoghushi na kufunguliwa kesi na serikali.
''The onus is on complainant to prove guilty'' otherwise kuna presumption of innocence
Kwa upana wa suala hili, nje ya sheria lina impact kubwa sana
1. Kwamba, zoezi zima la kutafuta vyeti fake lina shaka unless uwepo ufafanuzi
2. Viongozi hawatendi wasemayo 'walk the talk'
3. Waliowajibishwa 'wameonewa' kwasababu ya double std
Hayo yote ni dhana ambayo inaweza kupata miguu kama Paul hatajitokeza ili kujitakasa au kukiri na kuwajibika. Ni suala la muda tu
Kama ulivyosema mtumiaji wa media kama yeye anapoamua kukaa kimya ni 'tacitly accepting the allegations'
Nimecheka kwanguvu mkuu,ndiyo majibu ya wengi hayoThere you go.....
"unabisha nini wakati Mange ametuambia"
Si lazima tuige ya huko Uingereza.
Ahaaaa bashite bhanaSerikali mpaka ipate malalamiko kutoka kwa walalamikaji..na mpaka sasa hakuna walalamikaji
Hahahaaa....huo ushahidi alonao mbona naye hatuonyeshi?
Anasema tu kuwa anao.
Welp, saying it so doesn't ever make it so.
But we shall see.
Sasa mpenzi kama asipovitoa utafanyaje?
kwa nini tunawapa nguvu watuhumiwa eti , avitoe,ajitetee, aombe msamaha n.k
ni lini tutaamka kama wenye nguvu na kufanya anachoshauri ngabu??
wewe binafsi haupendi kuona kabisa huo ushahidi unawekwa hapa? usingependa?
suppose umedanganywa sasa!!!
au unapenda kuamini?
Duh!
Kama ni hivyo basi serikali nzima, viongozi wote wa kisiasa wakiwemo Mbowe, Lisu, Lema, Zito, na hata huyo Gwajima nao wangekaa pembeni, siyo?