ndyoko
JF-Expert Member
- Nov 2, 2010
- 4,971
- 1,653
Dharau zake.kwa watu zikifikia.mahali ambapo 'society' ikasema basi yatosha..unajua dingi ukiwa mjingamjinga itafika siku watoto wanakubadilikia.Licha ya kwamba Makonda mwenyewe alichemka vibaya kwenye hiyo vita, lakini hapa nilipo najiuliza kwa nini yote haya ya Daudi Bashite yameibuka sasa hivi na si awali hususan kama watu walikuwa wanajua kuwa hilo jina la Paul Makonda si jina lake kweli.
Huwezi kusema ofisi nzima ya Mkuu wa.mkoa eti kuna watumishi 4 tu wengune wote mizigo...kumbuka ofisi ya RAS ina watumishi zaidi ya 60..
Aidha unamwita mtumishi mwenzio wa ummaa 'kichaa' yena publicly na bila.kosa.
Ukijiona wewe una akili na unajua kila kitu duniani kuliko wenzio basi ni vyema ujiridhushe kwa utimilifu wa ukamili wako.
Jinsi unavyowafanya wenzio ni mazombi ndivyo nawe wanavyokuchunguza na kukusanya taarifa zako. Muda.muafaka ukifika basi lazima upepo utafute pa.kutokea.
Kwa hili la Bashite issue ya yeye kuwataja wenzake kuwa ni wauza unga ndiyo imekuwa climax ya jamii kuanika uozo wake pia.
Kama wewe.nu.mkristo nadhani unajua.mfano wa Yesu wa Boriti na kibanzi. Uzuri wa.maisha ya sisi binadamu ni.kama yote.yameongelewa kwa biblia