Bramo
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 13,230
- 10,201
Unasubiri nini na wewe kufanya Research yako kupata majawabu ?Hapo niki imagine nitakuwa nabashiri, kudhani, na kuhisi tu.
Sitaki kufanya hivyo na ndo maana naomba wote wanaodai Paul Makonda si jina lake wanipe ushahidi ili niridhike halafu nianze kumshukia na yeye.
Viashiria vi dhahiri kuwa jamaa ni Daudi Bashite.
Kama kweli ana vyeti Original tofauti na Madai ya watu kitu gani kinamzuia kujitokeza na ku Clear atmosphere ?
Mbona yule DED mteule ambaye watu walimzushia kuwa ni Manager wa hotel na ana Certificate tu ya Hotel Management Mamlaka yake ya uteuzi ilikuja na kutoa Clarifications na yeye akatoa vyeti vyake hadharani
Why ya Bashite kunakuwa na kigugumizi sana ?
Wengi wanajenga hoja based on this,watu hawana haja ya kumpeleka Mahakamani,wanataka Mamlaka yake ya uteuzi either itoe clarification ama imchinjie baharini