Kama ni kweli na ushahidi upo....

Kama ni kweli na ushahidi upo....

Sorry Boss, in this context they are not real fake certificates but not his!! And mind that it's not me who is accusing him .... I was only contributing!!!
They 're not his certicates, then who owns them ? - Where is the real Paul Makonda then ...?
 
"Msomi" acha uongo bana. Hebu soma kifungu cha 99 cha Sheria ya Mwenendo wa Jinai (Criminal Procedure Act) ya Tanzania. Private prosecution ipo bana.
Inasikitisha kuona hujaelewa kifungu tajwa halafu unaniita muongo. Wewe kama ni Mwanasheria basi ni kanjanja. Kifungu ulichokitaja kinataka Mwendesha mashtaka apate ruhusa ya Rais. Upo? Rais ndiye mkuu wa Serikali. Jiongeze
 
Oh wow!

Shukrani katheeran Bw. Wakili 'Msomi'.

Umenifunza jipya leo.

Sasa swali kwako, je kwa ufahamu wako, hao wanaodai kuwa wanao ushahidi kuwa Paul Makonda anaitwa Daudi Bashite wameshawasilisha huo ushahidi wao kwenye mamlaka husika?
Mkuu,siwezi kujua
 
Pale unapotaka kulazimisha mchana kuwa asubuhi ilihali wajua ni ngumu ni sawa nakupandisha mlima kwakutumia kichwa.

Kwa elimu yangu ya darasa la pili B hila na visasi c njia sahihi yakuipata haki ambayo maybe wadhani umedhurumiwa au hujatendewa.
 
NECTA walitoa tangazo kwenye gazeti la serikali la kumtaka mtu yeyote mwenye ushahidi juu ya mtu yeyote anayetumia cheti cha kughushi au cheti kisichochake awasiliane nao kwa,

Email:esnecta@necta.go.tz.

Namba:0742484955

Cha kushangaza wadau wanabweka mitandaoni na kwenye makanisa tu ilhali issue ni simple tu.

Kwangu Mimi hii issue mpaka sasa naona ni ngonjera tu mpaka watakapochukua hatua hao wabwekaji.
 
Heri yenu nyie akina BigBro na Nyani Ngabu mmeishia form four. Mwenzenu miye niliambulia kile cheti wanachoita "leaving certificate" nadhani mnaelewa yaliyonikuta.

Mkuu Petro E. Mselewa kwa ujinga wangu tu, na mimi naungana na wakuu hapo juu, kwanini aliye na ushahidi hata asiupeleke kwa mamlaka husika ili huyo anayetuhumiwa aburuzwe mahakamani?
Huo ni uamuzi wao kulingana na fikra zao na uaminifu wao kwa mamlaka. Hata mamlaka zikitaka zaweza kupata ushahidi na kuupata. Waende hata kuuchukua kwa Gwajima aliyesema anao ushahidi
 
Kama kasingiziwa basi aje na uthibitisho kuwa kasingiziwa

Otherwise kukaa kimya ni "Tacitly accepting the allegations".

Huwezi kuwa Mtumishi wa ofisi kubwa ya Umma ukaacha kujibu tuhuma nzito dhidi yako , maana umma unapoteza confidence kwako kitu ambacho kiuongozi hakikubaliki!
Hapa Nyani Ngabu ana hoja, kuwa kughushi cheti ni kosa kisheria.
Wanaodhani alifoji wana fursa ya kumfungulia kesi kisheria kama wale wanaoghushi na kufunguliwa kesi na serikali.

''The onus is on complainant to prove guilty'' otherwise kuna presumption of innocence

Kwa upana wa suala hili, nje ya sheria lina impact kubwa sana

1. Kwamba, zoezi zima la kutafuta vyeti fake lina shaka unless uwepo ufafanuzi
2. Viongozi hawatendi wasemayo 'walk the talk'
3. Waliowajibishwa 'wameonewa' kwasababu ya double std

Hayo yote ni dhana ambayo inaweza kupata miguu kama Paul hatajitokeza ili kujitakasa au kukiri na kuwajibika. Ni suala la muda tu

Kama ulivyosema mtumiaji wa media kama yeye anapoamua kukaa kimya ni 'tacitly accepting the allegations'
 
Kama yasemwayo ni kweli kwa mujibu wa mchungaji ni bora angeweka hadharani kile alichonacho nacho huu ya Daud kuliko kuwafanya watanzania watu goi goi .

Apeleke kwenye media ili media ziuonyeshe umma na ikibidi amlete huyo [HASHTAG]#Paulo[/HASHTAG] halisi badala ya sarakasi tu
 
Huo ni uamuzi wao kulingana na fikra zao na uaminifu wao kwa mamlaka. Hata mamlaka zikitaka zaweza kupata ushahidi na kuupata. Waende hata kuuchukua kwa Gwajima aliyesema anao ushahidi

weka basi mtandaoni ama muweke living ceritificate za Daudi Bashite na Paul, maana living zitakuwa na picha. na kisha muweke hapa mtandaoni hizo certificates yenye zero na three. Mbona rahisi
 
Hili linaweza kuwa na chembechembe ya ukweli kwa Daudi anavyopenda sifa angekuwa ameshaenda Bashite Pub ..... Clauz kukanusha na kuweka mambo sawa
 
Hapa Nyani Ngabu ana hoja, kuwa kughushi cheti ni kosa kisheria.
Wanaodhani alifoji wana fursa ya kumfungulia kesi kisheria kama wale wanaoghushi na kufunguliwa kesi na serikali.

''The onus is on complainant to prove guilty'' otherwise kuna presumption of innocence

Kwa upana wa suala hili, nje ya sheria lina impact kubwa sana

1. Kwamba, zoezi zima la kutafuta vyeti fake lina shaka unless uwepo ufafanuzi
2. Viongozi hawatendi wasemayo 'walk the talk'
3. Waliowajibishwa 'wameonewa' kwasababu ya double std

Hayo yote ni dhana ambayo inaweza kupata miguu kama Paul hatajitokeza ili kujitakasa au kukiri na kuwajibika. Ni suala la muda tu

Kama ulivyosema mtumiaji wa media kama yeye anapoamua kukaa kimya ni 'tacitly accepting the allegations'

Wanaotafutwa kazini ni kuomba kazi kwa vyeti feki. Mkuu wa mkoa hateuliwi kwa cheti. Na hata hivyo ingekuwa vizuri wenye vithibitisho watuwekee mtandaoni living certificate ya Paul na ya Daudi lazima zitakuwa na picha tuwajue ni kina nani hao.
 
Serikali mpaka ipate malalamiko kutoka kwa walalamikaji..na mpaka sasa hakuna walalamikaji
Ahaaaa bashite bhana
Hahahaaa....huo ushahidi alonao mbona naye hatuonyeshi?

Anasema tu kuwa anao.

Welp, saying it so doesn't ever make it so.

But we shall see.

Sasa mpenzi kama asipovitoa utafanyaje?

kwa nini tunawapa nguvu watuhumiwa eti , avitoe,ajitetee, aombe msamaha n.k

ni lini tutaamka kama wenye nguvu na kufanya anachoshauri ngabu??

wewe binafsi haupendi kuona kabisa huo ushahidi unawekwa hapa? usingependa?

suppose umedanganywa sasa!!!

au unapenda kuamini?

Duh!

Kama ni hivyo basi serikali nzima, viongozi wote wa kisiasa wakiwemo Mbowe, Lisu, Lema, Zito, na hata huyo Gwajima nao wangekaa pembeni, siyo?
 
Back
Top Bottom