Ukisema single mothers unageneralize kuna wale wengine ambao by fate wanajikuta ni masigle parents/mothers but si kwa kupenda so si lazima awe na tabia kama za mamake.
Should we say the same to senior bachelors?
Mi nazungumzia single mothers nung'aembe type. Exclusion criteria yangu ni wajane na waliobakwa tu.
Kwa senior bachelors naona hai-apply kwa sababu hata ikitokea amepata watoto (au kasingiziwa na manung'aembe), bado hao watoto wataishi na mama zao, kwa hiyo watajifunza wajifunzacho huko kwa mama zao.