Kama natoka na mumeo...

Kama natoka na mumeo...

mhh mbona ivi jaman....?
imekaa kishambenga zaid dizain tupo kwenye taarabu......some displine plz !!!!!
u hv ol the rights u claiming to have bt dnt b too liberal try to put u socialist kidogo japo u mfikirie na mwenzako ktk kushare iyo happness unayopata cz kwa maneno uliyomwaga apa akijua atajiua........dada kdg weka gia no 1..........WHAT UR PROUDING OF IS NOT HEALTH FOR HUMAN LIFE IF NOT CONSUMPTION CZ the demage is kubwa extent to ya imagination......pia siyo sifa ta kidogo kujitamba mambo km aya .in shot unajidhadhalisha ingawa we mwenyew waona NDO SIFA ,UJIKO ,UMWAMBA JIKE......mh dada pana .............thnk twce
although CONGRTULTN kwa MAUJUZI,MASKILLS ULIYONAYO.........nkikata kuolewa ntakuja unifunde.....afu fild practical ntaifanyia kwa uyo BWANA AKO unayejitapa nae!!!!!!!!!!1

NB;MWENYE KUJUA UWAGA ASEMI.
AFTA LOW to which SI UNIT umejiridhisha we ni mfundi hodar???????????....NAKUTANIA MWAYA ...HONGERA WEEEEEEEEEEEEEEEEEEE natamani niwe km wewe.teh teh!!!!!!!!!!!!
 
Haya sasa turudi kwenye mada. Nataka kutoka na mke wa mtu, nifanyeje? Naomba ushauri.

Haina shaka.
Jambo la kwanza ni kumwambia mama matesha ili akupe sapoti ya kumweleza mke wa mtu kuwa unataka kutoka nae.
halafu utamweleza na mumewe nia yako ya kutaka kutoka nae.
 
dah ........ u mention udsm?kule akuna kitu
afu ustaarabu wa mtu aufungumani na geographical position,age,colour,status o uwezo!!!
so kwa kipimo cha kuish knd ndo utumie km SI UNIT ya kujstfy madudu ya mtu naomba nkwambie kwamba.......its invalid n not sound........pole.
ustaarabu its upon individual nthng else associated to.
haleluya mpendwa!!!!!!!!!!!!!!
 
Haina shaka.
Jambo la kwanza ni kumwambia mama matesha ili akupe sapoti ya kumweleza mke wa mtu kuwa unataka kutoka nae.
halafu utamweleza na mumewe nia yako ya kutaka kutoka nae.

You are the great great thinker!
 
Kwani nimebisha Da Sophy?? Sijabisha kuwa umetongozwa kama nilivyotongozwa mie! Na niliposema wangu peke yangu namaanisha ndivyo inavyotakiwa ingawa sivyo ilivyo so nyie wa mtaani ni wezi tu mtake msitake!! Ungekuwa wa halali si angekupeleka mkafunga ndoa kabisa?? Msisingizie mambo ya kanisani!! Ukubali tu kuwa wewe ni mapozeo na mapozeo utabaki.

(Leooo nimelichokoza la nyumba ndogo ntakoma- wanajamii nikishindwa napiga yowe mje misaidie)

I like this.
 
mhh mbona ivi jaman....?
imekaa kishambenga zaid dizain tupo kwenye taarabu......some displine plz !!!!!
u hv ol the rights u claiming to have bt dnt b too liberal try to put u socialist kidogo japo u mfikirie na mwenzako ktk kushare iyo happness unayopata cz kwa maneno uliyomwaga apa akijua atajiua........dada kdg weka gia no 1..........WHAT UR PROUDING OF IS NOT HEALTH FOR HUMAN LIFE IF NOT CONSUMPTION CZ the demage is kubwa extent to ya imagination......pia siyo sifa ta kidogo kujitamba mambo km aya .in shot unajidhadhalisha ingawa we mwenyew waona NDO SIFA ,UJIKO ,UMWAMBA JIKE......mh dada pana .............thnk twce
although CONGRTULTN kwa MAUJUZI,MASKILLS ULIYONAYO.........nkikata kuolewa ntakuja unifunde.....afu fild practical ntaifanyia kwa uyo BWANA AKO unayejitapa nae!!!!!!!!!!1

NB;MWENYE KUJUA UWAGA ASEMI.
AFTA LOW to which SI UNIT umejiridhisha we ni mfundi hodar???????????....NAKUTANIA MWAYA ...HONGERA WEEEEEEEEEEEEEEEEEEE natamani niwe km wewe.teh teh!!!!!!!!!!!!
Naona nilikosa mengi sana kwa ajili ya uzurulaji wangu lol, hebu nipitie posts zote mie, usijekuta naibiwa mie, nawezapata hata hints lol. btw mi naamini kama mdada ni mrembo na maujuzi kibao lazima tu atawekwa ndani jumla bila kujali dini wala nini kwa hiyo isiwe ishu ngoja kwanza nikazome, ila heshimuni ndoa za watu ebooo!
 
Ulikuwa wapi binamu?

Nlikuambiaga hizi gesti za Tandale si nzuri. Ona sasa unaanika wakati wenzio tunaanua.
 
Naona nilikosa mengi sana kwa ajili ya uzurulaji wangu lol, hebu nipitie posts zote mie, usijekuta naibiwa mie, nawezapata hata hints lol. btw mi naamini kama mdada ni mrembo na maujuzi kibao lazima tu atawekwa ndani jumla bila kujali dini wala nini kwa hiyo isiwe ishu ngoja kwanza nikazome, ila heshimuni ndoa za watu ebooo!

:rolleyez:
 
Back
Top Bottom