Kaizer
Platinum Member
- Sep 16, 2008
- 25,330
- 17,857
nini??/
:hug:
nini??/
We we we we ..hivi mhusika ni mwanajamii ..pls confirm ili tuanze mashambulizi upya ..sijui anamchukua mzee wa BHT ,FL1,CARMEL,nyamayao,Preta,Gaijin,Fixed Point..MJ1,napata picha kama ni wa WOS au BelindaJacob ...
Aiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii Mamushika No Thank you
:rolleyez:
Wivu utakuuwa binamu!!Naomba serikalui iniruhusu kutembea na bastola!
vipi ndo umeshaenda binamu? LOL
Wivu utakuuwa binamu!!
Vipi kuna mtu unamhisi? Nlishakwambiaga wanaume ndivyo tulivyo ukawa unabisha. Haya mwenzenu huyoo amemwaga mapoint yake hapo.naomba unielekeze duka la silaha binamu. seriously.
naomba unielekeze duka la silaha binamu. seriously.
Nenda makao makuu ya JWTZ...pale karibu na hospitali ya Tumaini...nimechukua yangu juzi juzi tu....:rolleyez:
Kina Elizaz wakichelewesha taska ya baridi mezani itakula kwao sasa LOL!Nenda makao makuu ya JWTZ...pale karibu na hospitali ya Tumaini...nimechukua yangu juzi juzi tu....:rolleyez:
Da Sophy kafikisha ujumbe sa hz anakula raha na mume wa mtu kaacha wana jf wayadiscuss, inabd mtu afunge hii topic jamani
ni automatic hii sred si manual kama zingine eeh B!!Mom, imeshajifunga tayari mbona lol
ni automatic hii sred si manual kama zingine eeh B!!
naomba unielekeze duka la silaha binamu. seriously.
Topic closed.....the End ....Fin.........mwisho:rolleyez:
kwa nini bestlady wangu!!!??