unashtuka kutafuta shuka wakati KUMEKUCHA?halafu nyie wote ninavyowaona ni watu wazima, mnaonaje mmoja mwenye busara zaidi akakaa kimya kuepusha shari? hakuna asiejua kitu gani sahihi na ni kipi si sahihi wana JF wote tunajua juu ya hili. mnapojadili MUWA na SUKARI kipi kitamu mnatuacha hoi.Anyway ni mawazo yangu tu.Si ndo hapo AU, imenibidi nijichunguze mara mbili mbili isije ikawa ninabishana na mke mwenza wa kiukwelii .... lucky me siyo.