Kama natoka na mumeo...

Kama natoka na mumeo...

Mkuu mbona kama Dasophy anakufanyia wewe maake hapa ni kweli inawezekana huyo mkewe yupo humu JF ndo maana kaja straight kwa kumpa taarifa huyo aibiwaye.
Si ndo hapo AU, imenibidi nijichunguze mara mbili mbili isije ikawa ninabishana na mke mwenza wa kiukwelii .... lucky me siyo.
 
Yako peke yako? Thubutu! Sasa kinachomleta kwangu nini? Na wala mimi sio mwizi basi nikueleze uzuri, nimetongozwa kama wewe ulivyotongozwa.

Mhhhhhhhhhhh..................................makubwa!!!!!!!!!!!!!!!!
 
mbona wengi wanatafuta wachumba hujawaona mpaka mme wa mtu? huoni kama unamkosea mungu wako, hata km watu hawawaoni bali mungu anawaona......stop that

Sihitaji mtu anayetafuta mchumba, nahitaji mtu anayenipenda. Hivi kama mtu shida yake ni kunioa tu lakini kumbe hanipendi kiukweli, atanifaa nini, si ataishia kunioa halafu akipata anayempenda ataanza kutuchanganya? Bora nikae na anayenipenda, ikitokea anaweza kunioa bora zaidi, lakini si kuolewa tu alimradi, no, nakataa.
 
Wasikilizaji,sasa mpira anao mwajamii one,anakwenda kwa kasi pale lakini duuuuh beki da sophy yupo imara anondoa hatari ile.Referee,moderator naona kashika red kadi mkononi akisubiri kumpa atakaecheza rafu mbaya zaidi kwa mujibu wa sheria za JF.
 
Hehehe duh da sophy wewe unaweza kuwa branded zaidi ya changu manake walemara nyengine hawapendi wanayoyafanya Walac hawajifaharishi..........lkn wewe mmm
 
Hee msikieni huyu hivi wadhani ni huyo wa kwako tu ndie anayetoa siri za mkewe kwako? Mbona karibia wote wanaocheat hufanya hivyo? So usijidanganye kuwa kwako kafika ndo mana anakuelezea mambo ya familia yake. Ni mbinu tu ya kukufanya uendelee kumpa uroda kwa jina la kukupenda!! Bila kukwambia mkewe kashindwa hiki na kile si utamshangaa kwa nini kakufuata?? pole wee

Hao marafiki wanaokueleza ujinga huo its either mko kwenye kundi moja au wanakucheka ujinga! Kalagha baho. Eti wako hatochukuliwa ah mie unanichosha mpenzi hebu nisepe maana unantia hasira ka vile mume wangu ndo unayetembea naye!!

halafu wanadhani wanachoambiwa na hao waume ni vya kweli, lazma ajidai mke wangu hanifanyii hiki na kile wewe unanifanyia ndio mana nakupenda, mara hiki na kile, wanadanganywaaa weee wanatoa mpaka sehemu zisizotolewa, kesho unamuona mtu na mkewe kwenye gari wanacheka kwa raha zao....HUWA MNADANGANYWA LI WAPATE WATAKACHOO HILO MLIELEWE DAIMA MILELE.....
 
si ataishia kunioa halafu akipata anayempenda ataanza kutuchanganya? .

Kweli nyani haoni k*** wewe hapo unapoliwa na mme wa mtu anafanyaje? Si anawamix kama pilau vile na kujiexpress juu.
 
Sihitaji mtu anayetafuta mchumba, nahitaji mtu anayenipenda. Hivi kama mtu shida yake ni kunioa tu lakini kumbe hanipendi kiukweli, atanifaa nini, si ataishia kunioa halafu akipata anayempenda ataanza kutuchanganya? Bora nikae na anayenipenda, ikitokea anaweza kunioa bora zaidi, lakini si kuolewa tu alimradi, no, nakataa.
Kweli kabisa mwaya Dada Sophia bora upendwe na akupendaye kama wewe ulivyopendwa na mtu aliyempenda mwingine hadi kumuoa na kumthaminisha. Anakupenda kweli mwambie akuoe!! Mapenzi ni Sacrifice huyo jamaa aende akatoe ushuhuda kanisani kwa mchungaji wake kuwa ametenda dhambi ya KUMUOA MKE AMBAYE HAKUMPENDA ila sasa amekupata Bi SOPHIA anayekupenda kwa dhati. Sasa analiomba kanisa limruhusu amtaliki mkewe ili akuoe Bi SOPHIA kusudi msiendelee kutenda dhambi ya UZINIFU.

Jitoeni Muhanga.
 
Kashasema hajaolewa. Hapa tusitafute assumptions:
Hajaolewa, kadude kanamuwasha, kadude kameumbwa kwa ajili ya waume za watu tu, Chrispin ni mume wa mtu..... Hebu soma katikati ya ile kitu yetu hapo afu nizawadie kale kakitu.

Kadude kweli kananiwasha sawa kabisa na mkeo kanavyomuwasha, kwani cha ajabu nini kwani mimi si mwanamke kama huyo mkeo. Na kameumbwa kwa ajili ya mwanaume, sasa kama huyo aliyeonesha nia na kunipenda ni mume wa mtu na mimi nimempenda unataka nifanye nini, nikae tu nijifanye sijisikii chochote au nikatafutane na asiyenipenda kama wanavyofanya machangu? Kila binadamu ana haki ya kushirikiana mapenzi na yule mwenye mapenzi naye, tuache unafiki.
 
.HUWA MNADANGANYWA LI WAPATE WATAKACHOO HILO MLIELEWE DAIMA MILELE.....

Unajua hii huduma ya express your self nyumbani huwa haipatikani ni kwa nyumba ndogo tu inapatikana sasa je atapataje hii huduma? ndo hapo sasa inabidi mrembo afungwe gunia la kamba na miahadi kibao isiyo tekelezeka.
 
Imetokea tu kwamba huyo ndiye aliyenipenda, na aliponionesha nia nami nikawa nimempenda, lakini bahati mbaya ndiyo hiyo kwamba ameoa. Na mimi nahitaji mapenzi na yeye ndiyo anayonipa nami nampa. Ingetokea kuwa hajaoa ningempenda pia kama sasa, na bila shaka tungeoana. Kwa sasa hivi siwezi kuzungumzia hao ambao hawajaoa maana ninaye mpenzi huyu niliyenaye, siwezi kuchanganya wapenzi sina tabia hiyo.

mdada unajielewa kweli? mbona uanchanganya na mkewe?
 
Wasikilizaji,sasa mpira anao mwajamii one,anakwenda kwa kasi pale lakini duuuuh beki da sophy yupo imara anondoa hatari ile.Referee,moderator naona kashika red kadi mkononi akisubiri kumpa atakaecheza rafu mbaya zaidi kwa mujibu wa sheria za JF.
Tall umenifanya nicheke kwa sauti ati. Yaani hata sijui refa ni nani katika mchezo huu ila mh naona mwenzangu anaelekea kushinda makombora yake siyawezi
 
Suala sio dini ya kikristo kutoruhusu wake 2. Ukiristo unazuia uzinzi. We kama unatoka na mme wa mtu kwa maana ya kushiriki tendo la ndo basi u mzinzi wa kawaida tu na usipotubu na kugeuka utatupwa motoni. kumbuka wazinzi hawataurithi ufalme wa Mungu. Tulia Mungu akupe mme wako mwenyewe. Unapodoea waume za watu unabeep mauti, ikikupigia usilalamike
 
mdada unajielewa kweli? mbona uanchanganya na mkewe?
We nyamayao ndie usie elewa lol mwenzio hachanganyi maana kwa mkewe jamaa anashughulikia side A wakati kwa Da Sophy ni side B. Lol kuna wau wamepinda lol!
 
Kadude kweli kananiwasha sawa kabisa na mkeo kanavyomuwasha, kwani cha ajabu nini kwani mimi si mwanamke kama huyo mkeo. Na kameumbwa kwa ajili ya mwanaume, sasa kama huyo aliyeonesha nia na kunipenda ni mume wa mtu na mimi nimempenda unataka nifanye nini, nikae tu nijifanye sijisikii chochote au nikatafutane na asiyenipenda kama wanavyofanya machangu? Kila binadamu ana haki ya kushirikiana mapenzi na yule mwenye mapenzi naye, tuache unafiki.
Bini wee omba wako utapewa nini kung'ang'ania wa wenzako kujitia anakupenda?? Kama kweli anakupenda mwambie aamue moja wewe au mkewe uone? Mbona hujielewi?
 
Unajua hii huduma ya express your self nyumbani huwa haipatikani ni kwa nyumba ndogo tu inapatikana sasa je atapataje hii huduma? ndo hapo sasa inabidi mrembo afungwe gunia la kamba na miahadi kibao isiyo tekelezeka.

narudia tena...MWANAUME MWENYE KUMPENDA/MJALI MKEWE HAWEZI SEMA HICHO KITU NYUMBANI...ATAISHILIA KWA DIZAINI KAMA YA HUYU MDADA...then wanasema wanapendwa, mnapendwa mnaharibiwa?..hapo hapo anasema ana mapenzi na mume wa mtu ya dhati yaani ovyo kabisa.
 
Hapo hapana....nnakataa dasophy. Mapenzi hayaji tu Kama uyoga! Ulizuzuliwa ukazuzukana sasa unakuja na excuse ya mapenzi. Tokea mwanzo angekutaka ukakataa tusingelifika hapa! Stop lying to urself! U r no more than endless number of nyumba ndogo......mlikuwepo na mtaendelea kuwepo.... Hupo zaidi Yao
 
Back
Top Bottom