Huyo akikuchoka uje na kwangu. Mke wangu hana tabia ya kunichunguza.
Eh si wanasema mtoto akililia wembe mpe!
Kabisa Da Sophy umetulia mwenyewe na mume wa mtu. Nashangaa hawa wengine wanaanza kutuma applications zao!! Wakuache mwaya.Wewe hazikutoshi kumbe. Kama shida yako ndiyo hiyo nenda kwa machangu, mie najiheshimu. Au kwa vile nimesema natoka na mume wa mtu ndo unadhania hivyo. Siko kihivyo kakangu, hata kama mpenzi wangu ana mke lakini mimi nimetulia naye sina mambo ya kichangu. Ni bahati mbaya tu sina mume lakini huyu bwana niliyenaye nimetulia naye kiukweli.
hapo kwenye Red naona umeenda mbali sana!! :target:Wewe hazikutoshi kumbe. Kama shida yako ndiyo hiyo nenda kwa machangu, mie najiheshimu. Au kwa vile nimesema natoka na mume wa mtu ndo unadhania hivyo. Siko kihivyo kakangu, hata kama mpenzi wangu ana mke lakini mimi nimetulia naye sina mambo ya kichangu. Ni bahati mbaya tu sina mume lakini huyu bwana niliyenaye nimetulia naye kiukweli.
da sophy karusha jiwe gizani naona limewapata wengi ... nahisi kama kuna watu anawalenga na wanajuana vile!!
wapi mamaaa FL1??
Da Sophy ni dhambi kuiba mme wa mwenzio kwa nn usitafute wako??
Post yako imenichosha ingawa ni short lakini msg send
Si waona karudi full mzuka??? angekuja kwa lengo la kuomba ushauri kuwa hawezimuacha mume wa mtu tumshauri afanye nini ningemwelewa but kaja kwa staili ya mipasho dada na kidole cha shahada juu basi nasi twamjibu kwa mikono nyongani ati .... kunogesha gomaha ha ha!! nimekusoma .... lkn umechomoa ligi manake da sophy alikuja na full mzuka!!
Da Sophy mwaya endelea kwa raha zako, tena nenda kabisa kajitambulishe kwa mkewe jamaa ukimweleza kuwa hutakaa umvunjie heshma yake wala kumletea ugomvi we ulichopenda cha mumewe so unaomba ruhusa rasmi akubali mshee. Nenda kistaarabu mambo yatakuwa byee na wala hatamchunguza tena.
Wewe hazikutoshi kumbe. Kama shida yako ndiyo hiyo nenda kwa machangu, mie najiheshimu. Au kwa vile nimesema natoka na mume wa mtu ndo unadhania hivyo. Siko kihivyo kakangu, hata kama mpenzi wangu ana mke lakini mimi nimetulia naye sina mambo ya kichangu. Ni bahati mbaya tu sina mume lakini huyu bwana niliyenaye nimetulia naye kiukweli.
hahaha nipo maternity lakini hapa sichezi mbali unaweza kuta msg yangu hii..
Hivi nyie mnataka hao waliokosa waume waenda wapi????
Bottom line ni kwamba idadi ya waoaji ni ndogo kuliko ya wanaohitaji kuolewa!
Mamitoo kwanza hongera sana.Jamani MJ1 sikutegemea maneno laini kama haya kutoka kinywani mwako....
Jamani MJ1 sikutegemea maneno laini kama haya kutoka kinywani mwako....
Kabisa Da Sophy umetulia mwenyewe na mume wa mtu. Nashangaa hawa wengine wanaanza kutuma applications zao!! Wakuache mwaya.
Babu meshikia??? Da Sophy kajituliza hataki maneno na mtu ndo maana kapoa na mume wa mtu!!
Da Sophy you better check yourself kwanza maana I dont understand mtu mwenye kuamua kutoka na mume wa mtu then aseme ametulia!!!
Wewe hazikutoshi kumbe. Kama shida yako ndiyo hiyo nenda kwa machangu, mie najiheshimu:mad2:. Au kwa vile nimesema natoka na mume wa mtu ndo unadhania hivyo. Siko kihivyo kakangu, hata kama mpenzi wangu ana mke lakini mimi nimetulia naye sina mambo ya kichangu. Ni bahati mbaya tu sina mume lakini huyu bwana niliyenaye nimetulia naye kiukweli.
Asante sana hebu waeleze maana kuna wengine hadi wana mashutuma ya kijinga basi wanafikiri kila anayetoka na mume wa mtu basi eti changu, kivipi mbona kuna wanawake wengi tu wameolewa na ni machangu wa kutisha, na tupo tusioolewa tumetulia kiheshima zetu na bwana mmoja