Kama natoka na mumeo...

Kama natoka na mumeo...

Hii dingirizi pale gorofani watoto wa masaki si watanimaindi?
Au hujaona huu mkwaju niliotinga miguuni? DH orijino from Japan.

weee twende hivo hivo ukawazingue kimtindo!!! DH hahaaaaaaa!!!

Mchaga mbele ya ngawira wigi lisivalike? unacheza nini mamushka.Mtaji tayari tunao,mchumba mistari inapanda kuzidi witness na chege.

mmh!!! hapo sina usemi a.k.a nimekata kauli
lets act
 
wakati mamba anakutafuna B!....Bora hata angekutafuna kisamaki samaki walau ungemwangalia kwa jicho la huruma lakini mamba atakumeza mzima mzima na hurudi wala hufurukuti! ohoo...(am out)
:brick:
 
Vipi nilianzishe au bado mdogomdogo?
vuta vuta kiaina!mkoloni hana maana kabisa

ikifika kumi kamili anzisha mwendo,niwekee kilimanjaro ya baridi sana mezani.nitafutie muhudumu aliyenona sana wa kupumzika nae mezani
 
Hiki ndicho walichojaaliwa kinamama lakini wanaume wamenyimwa kabisa. Wanaume wanaoweza kufanya hivi kwa wake zao wajiorodheshe haa (sitashangaa asipojitokeza yeyote!). Wapo wanaodai wanaweza kusamehe, lakini inakuwa magirini tu, kila siku akiudhika anakukumbusha ulichotenda! Kwa hiyo habari ya 'raha mustarehe' bado nina mashaka nayo.
huwa tunasamehe kiutu uzima.sio mpaka upige goti.
 
Da Sophy
user-offline.png

Member
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
Join Date Wed May 2010
Posts 34
Thanks4Thanked 5 Times in 5 Posts
 
Single mothers na mabinti wa single mothers mnisamehe, hii ni imani ninayo siku nyingi na sijapata ushahidi kinyume nayo. Nahisi huyu Da Sophy ni binti wa single mother. Hii tabia kajifunza kwa mamake. Kama kwa mfano wewe ni binti na katika kukua kwako kote mwanaume uliyekuwa unamuona akiamkia chumbani kwa mamako ni yule part-timer ambaye mama alikuwa ana-download kutoka kwa mkewe mtaa wa pili, utajifunza nini?

Nilipokuwa mwaka wa tatu chuo nakumbuka kuna binti alikuwa anasema bila kificho kuwa hana mpango wa kuolewa, sanasana atazaa mtoto wake mmoja basi. Sasa nikawa najiuliza niliposoma hii thread, suppose yule classmate wangu (sijui aliko sasa) akizaa sasa huyo mtoto na ikatokea ni binti, tutashangaa nini akileta hapa tabia kama za Da Sophy?

Like begets like, mwana wa nung'aembe ni nung'aembe
 
Ukisema single mothers unageneralize kuna wale wengine ambao by fate wanajikuta ni masigle parents/mothers but si kwa kupenda so si lazima awe na tabia kama za mamake.

Should we say the same to senior bachelors?
 
Swali (narudia); kutokuolewa ni kosa?
 
Back
Top Bottom