bht
JF-Expert Member
- May 14, 2009
- 10,336
- 1,880
wewe mwenyewe umesema unampa kila kitu.....sasa unakana nini hapa na kunigeuzia mimi kibao!!!??Ndio mawazo yenu potofu hayo. Wewe kama unampa mumeo tiGo mpe kivyako, lakini kama ni wa kutoka atatoka kufuata mapenzi ya kiukweli na kwako atakuwa anarudi kufuata ufirauni wa tiGo tu. Utaja..!
mwenzio siibi cha mtu na kula halali tu, haramu kwangu mwiko!!!
mapenzi ya kweli kwa taarifa yako yako kwake na mkeo wewe utabaki 'MAPOOZEO' for life!!!
its hard to accept it but its the truth mamii!!!!