Kama natoka na mumeo...

Kama natoka na mumeo...

Hivi kama mimi natoka na mumeo lakini tumehakikisha hujui wala hatukuvunjii heshima,

Hapo tayari kuna contradiction, huwezi kutoka na mume wa mtu kisiri halafu usimvunjie heshima huyo mke, labda kama "kuvunja heshima" huku ni euphemism ya kitu kingine.

Tafuta mume wako, usidandie wa mwingine.
 
Looh! shukrani angalau kwa kuona kuwa angalau kuna upande wa pili wa hoja ambao kwa maoni yangu ndio mzizi wa tatizo linalojadiliwa. Kama nilivyoanisha hapo mwanzoni, kama mume mtu kaamua kutoka na Da Sophy tayari keshaonesha utovu wa uaminifu kwa mkewe. Hii ina maana kuwa kuna uwezekano mkubwa hata kabla ya Da Sophy kuingia kwenye picha jamaa alikuwa akijivinjari na Da mwingine. Na huenda hata baada ya Da Sophy kuondoka kwenye picha jamaa ataendelea na auntie mwingine. Sasa hapo utaona kuwa kwa mke wa jamaa kuraruana na Da Sophy hakutatatua tatizo lililopo. Wengi hapa hawalioni hili kwa vile kama ulivyosema reaction yao ni subjective. It is subject to their emotions which seem to be pretty high....

Mkulu nadhani ngoja tyme za kubeba boksi za kibongo \ifike then tunaweza kupata mahali pa kuanzia kwa kuzingatia haya...tuassume kuwa reaction hii ya mwanzo ilikuwa ni hasira flani.....sasa tuje kwenye hoja ya msingi.
 
wakuu,

Naona hii sredi ilinipita mchana manake nilikuwa bize na makabrasha ya tukta huku,

Lakini nimejitahidi kusoma post moja baada ya nyingine hadi mwisho

Nimegundua kwamba wengi wetu tumeijadili more subjectively zaidi.....na sio objectively. Tumeelezea hisia zetu zaidi in a normative way...
Walau mwishoni mkuu Nyani Ngabu amejaribu kuongelea upande mwingine wa shilingi na nadhani tungeanzia hapo

kama great thinkers (sinkers?) tunatakiwa tujadili hoja kwa hoja na sio kumhukumu mleta hoja, hayo ni maoni yangu.

Na zaidi naoan wengi wetu tunajaribu kuukwepa ukweli halisi wa maisha tunayoishi kwa kumhukumu huyu dada Sophy....hebu kaa jifikirie na ureflect maisha yako, utagundua kwamba hiki ni kitu ambacho kipo na huenda kimeshakupata kwa namna moja au nyingine

Suala hapa ni kujadili kwa nini na kwa vipi hali iko hivyo, na tufanyeje walau kuirudisha kwenye hali ya kawaida (kama hii sio kawaida)

naona kaimu katibu ananibeep ngoja nimwone will be back

Uko sahihi kabisa Kaizer,

ila tatizo langu ni namna mtu alivyoleta mada... Mara nyingi approach ya hapa jamvini inakuja kama third party, na hii huleta staha na majadiliano mazuri, ila huyu kaja na shari tayari; akijigamba huku lengo lake ni kumuumiza mhusika tena ambaye anajua ni mwanajamii

if we were to discuss this contextually, then ingekuja kwa namna hiyo... HUU NI UDAKU PERIOD!
 
Hapo tayari kuna contradiction, huwezi kutoka na mume wa mtu kisiri halafu usimvunjie heshima huyo mke, labda kama "kuvunja heshima" huku ni euphemism ya kitu kingine.

Tafuta mume wako, usidandie wa mwingine.

loud and clear bro'
 
Uko sahihi kabisa Kaizer,

ila tatizo langu ni namna mtu alivyoleta mada... Mara nyingi approach ya hapa jamvini inakuja kama third party, na hii huleta staha na majadiliano mazuri, ila huyu kaja na shari tayari; akijigamba huku lengo lake ni kumuumiza mhusika tena ambaye anajua ni mwanajamii

if we were to discuss this contextually, then ingekuja kwa namna hiyo... HUU NI UDAKU PERIOD!

Thanks for fairly using my key board bro. You have taken them words directly from my brain.
 
Thanks Chrispin.... ukweli ni ukweli na ndio maana tulikua na mawazo yanayofanana
 
da sophy kaja kishari.....au tuseme kaja ki-taarabu, na anaonekana anampa mtu ujumbe. lakini anaenda mbali zaidi na kusema huyo mwanaume amefika kwake, hasikii wala haoni...Hii ni jeuri ya hali ya juu kabisa!!!

Japo hajatwambia kama wamekutana na jamaa akiwa ameoa au bado kuoa, from the look of it ni kwamba, da sophy amekuwa na huyo mwanaume kabla ahajaoa na anaendelea kuwa nae mpaka sasa....nakumbuka alisema "yeye kakimbilia pete na harusi, amevipata, sasa atulie na mimi nipate vingine".

My take:
Now; ni wazi kuwa, hawa wanawake walikuwa wanajuana kabla ya ndoa, mmoja akabana kabali ili aolewe, kidume kwa kuwa hakijali ndoa (hakioni kama ndoa ni kitu cha maaana sana) kikaona isiwe tabu, ngoja nikuoe basi.......pasi kufikiri na kuweka nadhiri za kweli za ndoa, wala kuamua kumuacha yule mwingine. lakini na mwanamke aliye ng'ang'ania kuolewa, hakuwa na dhamiri ya kweli ya kuanza maisha ya ndoa bali kumuonyesha da sophy kuwa mimi ni zaidi na nina haki zaidi yako kwa mwanaume huyu.....(waswahili wanasema, atatembea huko, mwisho atarudi home tu!).

Nimalize kwa kusema, jamaa pamoja na hao wanawake wake wanapotezeana muda tu!! the guy, should consider his options as a man and devise an exit strategy........start all over.
 
I can prove beyond reasonable doubt kwamba jana hukuwa na uhusiano wowote na alkoholi.
 
mkuu! jana bia tatu na mzinga mmoja tu! home saa mbili, saa tatu nshalala!! nimeamka kama vile nililala juzi........niko fresh ile mbaya!!
 
Dah sredi inatambaa hiyo balaaa, na imekula vichwa.
 
kuna uwezekano mkubwa nikawa sielewi vitu vingi sana kuhusu da-sophy na mwanajamii

AU NISEME HII SREDI SIJAIELEWA IN TOTAL
 
Wewe hazikutoshi kumbe. Kama shida yako ndiyo hiyo nenda kwa machangu, mie najiheshimu. Au kwa vile nimesema natoka na mume wa mtu ndo unadhania hivyo. Siko kihivyo kakangu, hata kama mpenzi wangu ana mke lakini mimi nimetulia naye sina mambo ya kichangu. Ni bahati mbaya tu sina mume lakini huyu bwana niliyenaye nimetulia naye kiukweli.

Da Sophy Huogopi kurogwa? uchungu wa mume aujuaye mke achelewi kukuendea kwa Sangoma akakutia hedhi mwaka mzima maana niashawahi kuona hyo ikimtokea dada mmoja aliyetembea na mume wa mtu
 
Server not found

Firefox can't find the server at www.da-sophy vs mwanajamii.com.

* Check the address for typing errors such as
ww.example.com instead of
www.example.com

* If you are unable to load any pages, check your computer's network
connection.

* If your computer or network is protected by a firewall or proxy, make sure
that Firefox is permitted to access the Web.
 
ha ha ha hommie una visa wewe!!
 
kuna uwezekano mkubwa nikawa sielewi vitu vingi sana kuhusu da-sophy na mwanajamii

AU NISEME HII SREDI SIJAIELEWA IN TOTAL

sasa wewe hapa mpwa umekuja KIVINGINE kabisaaa........(sijui unataka tuamini nini?)
 
na mwingine akimtolea nje na mwingine na mwingine!!!!! he will definitely take his balls back to his wife!!!

And of course, HIV/AIDS. This is just too sad. I hope this da Sophy thing remembers to insist on persistent and appropriate condom use
 
kuna uwezekano mkubwa nikawa sielewi vitu vingi sana kuhusu da-sophy na mwanajamii

AU NISEME HII SREDI SIJAIELEWA IN TOTAL

kwani huwa unayaelewa magazeti ya Shigongo?

mpwazz nimekukosa duh!!!
 
Uko sahihi kabisa Kaizer,

ila tatizo langu ni namna mtu alivyoleta mada... Mara nyingi approach ya hapa jamvini inakuja kama third party, na hii huleta staha na majadiliano mazuri, ila huyu kaja na shari tayari; akijigamba huku lengo lake ni kumuumiza mhusika tena ambaye anajua ni mwanajamii

if we were to discuss this contextually, then ingekuja kwa namna hiyo... HUU NI UDAKU PERIOD!

I also concur mkulu De Novo,

Sasa hebu wafuatao

Chrispin (Pako)
Bigirita
Nguli and co
Fidel80

Tuijadili hii contextually..hii kitu imekaaje? Tumweke da Sophy pembeni kwanza
 
Back
Top Bottom