BelindaJacob
Platinum Member
- Nov 24, 2008
- 6,494
- 4,076
hadi ule mtandao una mpa?? maana nasikia ndo hasa wanachofata huko kwenu......
Shosty hata ampe ule mtandao, anajuaje kama mke wa jamaa anayatumia matundu saba yote ipasavyo uwanjani na mumewe?!!kwani anakuwepo kushuhudia? ye anadanganywa kuwa wife haniridhishi anaona raha kukalia tuu..haloooo