Kama naanza kuichoka Azam TV vile

Kama naanza kuichoka Azam TV vile

Hata picha za kihindi za miaka ile hata kutambaa nilikuwa bado.kiufupi mnaboa na matangazo yenu kila dk ya maziwa na ngano
 
Azma ungetaka kuwafaidi ungenunua decoder kabla ya uchaguzi
walikuwa best tv kipindi cha uchaguzi

sasa hivi toka sakata la makontena kuna kitu kimepungua
ni kama kuna kitu kimeathiri hivi tv yao....
nahisi hawataki tena kujitolea sana na habari za serikali
Mtoa mada anazungumzia uchanganyaji picha
 
Azam TV wao wanajua faida ya media wanaipata kwenye VPL. Na ndiyo huko waliko invest. Mleta mada kama Azam hawako vizuri kwenye live coverage naomba uniambie.

Pili, taarifa ya habari. Muundo wa taarifa yao ya habari bado haujazoeleka lakini wapo vizuri.

Kuhusu qaality hill nadhani labda uwe na lingine. Quality ya matangazo yao ni nzuri ukitoa kasoro mbili ambazo kwangu ipo moja ya mvua ikinyesha matangazo yanasumbua. Wengine wameongeza na jua Kali.

Tatu, ukilinganisha gharama za Azam na DSTV ni umbali wa magharibi na mashariki. Gharama za Azam zipo fair kuliko DSTV kwa mtanzania wa kawaida. Azam wakianza kuonyesha EPL nadhani ndiyo utakuwa mwisho wa DSTV EA. Sijaona cha ziada DSTV zaidi ya vipindi ambavyo wananunua kutoka channel nyingine.

Kuhusu uchanganyaji inawezekana standard ndiyo hiyo inayotakiwa kimataifa ila we we inapenda mbwembwe za local Tvs ambazo Hazina viwango.

Mbona haulaumu ITV saizi wamebadili tangazo lao la taarifa ya habari limekaa kishamba zaidi ya lile la awali?

Hapa tusilete uzalendo wa kinafiki,azam Tv linapokuja swala la quality hawaisogelei DSTV hata kidogo aliekwambia DSTV kila kitu wananunua ninani,DSTV wanavipindi vizuri vingi tu,wanalocal station zao kama mzanzi,uchambuzi wa michezo,live coverage ya matukio mbali mbali sports mpaka habari za kawaida,taarifa zao za habari toka station zao,decorder zao Wana assemble wenyewe south Africa,hii ni kampuni iliyoanza transformation ya Tv industry katika Africa toka Mwaka 1992,tunachoweza kusema kama wazawa ni kuwa azam ni Tv changa inayokuwa na uzuri wameanzia kwenye technologia ya kisasa wanatakiwa kuboresha tu vipindi wanavyokopa toka nje,mfano box office ya DSTV unaweza iona movie iliyokuwa released last week marekani,hivyo azam wakiboresha vipindi vya kisasa wakaweza nunua haki za EPL watakuwa wapinzani wazuri Wa dstv ambayo itafade na siajabu watasepa wenyewe.Mfano august tumeangalia EPL kwa premium bouquet wakaona watu wengi DSTV Bomba December wakaihamishia EPL tena compact plus.So hizi ni dalili kuwa azam akikaza buti na kupata rights za EPL EA watakuwa wazuri kwani azam mbaya sio technologia bali ni programme zao.
 
Wana chaneli nzuri za nje, nzuri sana mimi Inakishi kila haja yangu kasoro EPL na CNN, ila upande wa Tv stations zao yaani azam1 na Azam2, bure kabisa. Ubunifu zero, ni kwamba wana technology ila hawajui kuitumia na watafuta habari wao ni zero! Hamna stori za kusisimua. Vipindi vya kawaida kabisa hata local tv zingine wana vipindi vizuri zaidi yao.
 
Hapa ndipo nilipopataka....mkuu mchangia mada wewe ndio umenielewa...Azam kamwe haiwezi jilinganisha na local channels...ile ni paytv
 
Azam TV wao wanajua faida ya media wanaipata kwenye VPL. Na ndiyo huko waliko invest. Mleta mada kama Azam hawako vizuri kwenye live coverage naomba uniambie.

Pili, taarifa ya habari. Muundo wa taarifa yao ya habari bado haujazoeleka lakini wapo vizuri.

Kuhusu qaality hill nadhani labda uwe na lingine. Quality ya matangazo yao ni nzuri ukitoa kasoro mbili ambazo kwangu ipo moja ya mvua ikinyesha matangazo yanasumbua. Wengine wameongeza na jua Kali.

Tatu, ukilinganisha gharama za Azam na DSTV ni umbali wa magharibi na mashariki. Gharama za Azam zipo fair kuliko DSTV kwa mtanzania wa kawaida. Azam wakianza kuonyesha EPL nadhani ndiyo utakuwa mwisho wa DSTV EA. Sijaona cha ziada DSTV zaidi ya vipindi ambavyo wananunua kutoka channel nyingine.

Kuhusu uchanganyaji inawezekana standard ndiyo hiyo inayotakiwa kimataifa ila we we inapenda mbwembwe za local Tvs ambazo Hazina viwango.

Mbona haulaumu ITV saizi wamebadili tangazo lao la taarifa ya habari limekaa kishamba zaidi ya lile la awali?

Kwa hiyo mkuu wewe unailinganisha Azam yenye technology ya kisasa na watangazaji wa kimataifa kama kina Cassim kaira, charles hillary na wanalipwa mapesa ya maana then uilinganishe na ITV yenye watangazaji volunteers na dayworkers kwa asilimia kubwa....u r nat serious
 
Mie naitumia toka 2014 mwanzoni lakini kuna mda najiuliza kwanini hawa jamaa wamekwama. Ukweli unauma saaana lakini unabaki haupingiki. Kwanza wana vituo vyao 3 i.e Xtra, 1 & 2.
Mapungufu yao sasa.
1. Wana staff kali isiyolingana na delivery inayotolewa.
2. Wana vifaa vya kisasa vikali lakini naona haviwi full utilized.
3. Wanatumia mda mchache saaana kuonesha yanayotokea ndani ya Tz, ikiwemo taharifa za habari tu.
4. Wameshindwa kuishi maneno yao. Walisema wanataka kuwa BBC ya Afrika. BBC ninayoijua wana habari live kila saa inayoanza yaani saa 2,3,4,5... wakati hawa wenzetu wana Habari usiku saa 2 mara moja tu kwa siku nzima. Unajiuliza staff iko na vifaa mnavyo sasa tatizo nini miezi 7 imepita sasa toka wajinasibu.
5. Hawako seriazi na ratiba ya maana. Stations zao zote 3 hazioneshi kitu cha maana toka asubuhi hadi jioni. Ni vikatuni tu, documentari za DW, na Africa time. Hakuna vipindi vinavyooneshwa mahususi toka Tz. Alasiri lounge ina maongezi mengi, utani na matangazo. mengi mpaka inaondoa maana yote ya kipindi. Nakumbuka Mme wa Ivyona alipotambulishwa walisema yeye atakuwa maalum kwa ajiri ya habari za mchana saa 7 lakini hadi leo si yeye wala hicho kipindi kuruka.
6. Kujazwa kwa chaneli zisizo na tija na zingine wala hazioneshi milele. Wamejaza wahindi na waarabu sana wakati chnl. kama bukedde 1, Ntv Uganda, na nyingine kibao hizi wala huwa haziko active. Azam wanakoelekea wanapoteza dira kwa kweli mwenye kupinga na apinge lakini nejitahidi kuongea kwa viashiria harisi.
 
mnapata muda saa ngapi kuangalia tv? Hizi Zama za Magufuli mnatakiwa mpige kazi Tu. TV Ni kwa ajili ya watoto.
 
Wana chaneli nzuri za nje, nzuri sana mimi Inakishi kila haja yangu kasoro EPL na CNN, ila upande wa Tv stations zao yaani azam1 na Azam2, bure kabisa. Ubunifu zero, ni kwamba wana technology ila hawajui kuitumia na watafuta habari wao ni zero! Hamna stori za kusisimua. Vipindi vya kawaida kabisa hata local tv zingine wana vipindi vizuri zaidi yao.

umeielewa mada vyema kabisa.
 
Mie naitumia toka 2014 mwanzoni lakini kuna mda najiuliza kwanini hawa jamaa wamekwama. Ukweli unauma saaana lakini unabaki haupingiki. Kwanza wana vituo vyao 3 i.e Xtra, 1 & 2.
Mapungufu yao sasa.
1. Wana staff kali isiyolingana na delivery inayotolewa.
2. Wana vifaa vya kisasa vikali lakini naona haviwi full utilized.
3. Wanatumia mda mchache saaana kuonesha yanayotokea ndani ya Tz, ikiwemo taharifa za habari tu.
4. Wameshindwa kuishi maneno yao. Walisema wanataka kuwa BBC ya Afrika. BBC ninayoijua wana habari live kila saa inayoanza yaani saa 2,3,4,5... wakati hawa wenzetu wana Habari usiku saa 2 mara moja tu kwa siku nzima. Unajiuliza staff iko na vifaa mnavyo sasa tatizo nini miezi 7 imepita sasa toka wajinasibu.
5. Hawako seriazi na ratiba ya maana. Stations zao zote 3 hazioneshi kitu cha maana toka asubuhi hadi jioni. Ni vikatuni tu, documentari za DW, na Africa time. Hakuna vipindi vinavyooneshwa mahususi toka Tz. Alasiri lounge ina maongezi mengi, utani na matangazo. mengi mpaka inaondoa maana yote ya kipindi. Nakumbuka Mme wa Ivyona alipotambulishwa walisema yeye atakuwa maalum kwa ajiri ya habari za mchana saa 7 lakini hadi leo si yeye wala hicho kipindi kuruka.
6. Kujazwa kwa chaneli zisizo na tija na zingine wala hazioneshi milele. Wamejaza wahindi na waarabu sana wakati chnl. kama bukedde 1, Ntv Uganda, na nyingine kibao hizi wala huwa haziko active. Azam wanakoelekea wanapoteza dira kwa kweli mwenye kupinga na apinge lakini nejitahidi kuongea kwa viashiria harisi.

cc kadoda11
 
Last edited by a moderator:
Wewe naona unachanganya mambo kabisa
kuna vitu unahisi umevielewa kumbe hukuelewa....

Kwanza sakata la makontena lilihusu ICD ya Azam lakini haikuhusu wao Azam kama kampuni kuwepa kodi
ndo maana hata makontena yaliwa ya watu wengine...
Azam kama Azam hawana kesi za kukwepa kodi..ili uelewe inabidi uelewe ICD ni nini...

Kuhusu biashara ya media uko very wrong pia
now kwa kupitia technology biashara ya media haitegemei tena matangazo
ni subscription zaidi..na contents zinazouza ni sports zaidi
ndo maana DSTV wana EPL
na Azam wana Vodacom Premie league....
hawahitaji lolote la serikali hapo....magazeti ndo yanahitaji advertisement from government

Ww na wao walikuwa wamekwepa wakalipa billion 2
 
Waliniboa jana wakati wanaonesha habari ya kisiasa ya uchaguzi kule masasi mjini
Wameishia kumuonesha mgombea wa CCM tu n akina nape wakati kuna mgombea jembe kipenzi cha watu KUNDAMBANDA
Mi kiukweli kile kitendo kilinikwaza sna
 
Gtv hawakurudi kbsaa toka wafe!?Dstv wapo safi hila pesa yao tatizo kubwa sana,Jipuuuu
 
Rweye kumbe tatizo channel za kiarabu na kihindi tu. Ninavyojua

Hapana mkuu wangu. No. 3-5 ndo penye mantiki zaidi na ukisoma hapo utanielewa mkuu. Hii ya 6. inayohusu chnl. nimeiweka mwisho kimakusudi kutokana kwamba kwangu si tatizo sana kama 3-5 zitatiliwa mkazo unaotegemewa na wateja walio wengi.
 
Msala wa container utakua umewaasiri.
Si unajua ukizoea vya Kuny..... nga ni tatizo
 
Back
Top Bottom