Kama naanza kuichoka Azam TV vile

Kama naanza kuichoka Azam TV vile

kama vile nilikua nasubir hili lije ngoja nivute Dstv na haka ka startimes vitatosha
 
Channel zao za sinema za kiingereza zinaonyesha Cinema za zamani na mbaya zaidi mitangazo inapita kila baada ya dakika chache mpaka inaboa.......

ok hapa ni Dstv moja kwa moja..!!
 
Tatizo la baadhi ya wafanya biashara na Wasomi Africa, wako tayari kuficha ukweli hata kama wanaumia, ukweli' ili kupata watanzamaji na wasikilizaji ni lazima uwe na vipindi vinavyogusa uhalisia wa maisha na matatizo ya watu, na hapo lazima uiseme serekali na wao wanaogopa kwani kuna mahali wanajua hawako sawa ktk biashara zao, ili ufanye biashara Africa lazima ukwepe kodi,ujipendekeze kwa viongozi na uchangie gharama za uchaguzi na vyama tawala kwani sheria ni mbovu na zimewekwa ili kuwafilisi watakaoisema serekali, kwa mfanya biashara halisi anayetumia faida yake ili kupata faida na biashara zake zinamakao africa hawezi kuwekeza kwenye media.

Wewe naona unachanganya mambo kabisa
kuna vitu unahisi umevielewa kumbe hukuelewa....

Kwanza sakata la makontena lilihusu ICD ya Azam lakini haikuhusu wao Azam kama kampuni kuwepa kodi
ndo maana hata makontena yaliwa ya watu wengine...
Azam kama Azam hawana kesi za kukwepa kodi..ili uelewe inabidi uelewe ICD ni nini...

Kuhusu biashara ya media uko very wrong pia
now kwa kupitia technology biashara ya media haitegemei tena matangazo
ni subscription zaidi..na contents zinazouza ni sports zaidi
ndo maana DSTV wana EPL
na Azam wana Vodacom Premie league....
hawahitaji lolote la serikali hapo....magazeti ndo yanahitaji advertisement from government
 
Jamani hapa simaanishi Decoder yao..hapana..Mimi hoja yangu ni kwenye channels zao tuu Azam one, two, sinema zetu na iyo hd..
 
Hawana vipindi vya maana na hawajachangamka na pia wameshindwa kucope na technologia na mitambo yao waliyosema ni ya kisasa...yaani hawajachangamka kabisa..au ndio bado wako kwenye majaribio..test signal..ahahahaaa
 
Wewe naona unachanganya mambo kabisa
kuna vitu unahisi umevielewa kumbe hukuelewa....

Kwanza sakata la makontena lilihusu ICD ya Azam lakini haikuhusu wao Azam kama kampuni kuwepa kodi
ndo maana hata makontena yaliwa ya watu wengine...
Azam kama Azam hawana kesi za kukwepa kodi..ili uelewe inabidi uelewe ICD ni nini...

Kuhusu biashara ya media uko very wrong pia
now kwa kupitia technology biashara ya media haitegemei tena matangazo
ni subscription zaidi..na contents zinazouza ni sports zaidi
ndo maana DSTV wana EPL
na Azam wana Vodacom Premie league....
hawahitaji lolote la serikali hapo....magazeti ndo yanahitaji advertisement from government

Sielewi unataka kutetea nini hapa hasa........ 0+4=4. 4+0=4....... Jiongeze

Hakuna aisejua kuwa Bakharesa na Azam yake ni wakwepa kodi wakubwa, that is undeniable fact, deal with it.
 
Sielewi unataka kutetea nini hapa hasa........ 0+4=4. 4+0=4....... Jiongeze

Hakuna aisejua kuwa Bakharesa na Azam yake ni wakwepa kodi wakubwa, that is undeniable fact, deal with it.

sawa mangi lala asubuhi uwahi kufungua duka la shemeji yako
 
ni kweli, muda mwingi nautumia kuangalia chanel zao tofaut na azam one and two, mfn national geographic. Hawana vipindi vinavyogusa jamaa moja kwa moja kama vile ilivyo Eatv, itv au star tv, Yan unaunganisha Dw kwny azam one, wakat unapackage ya mtiririko wa chanel za nje nyingi. Wakae wabuni vipind kama kipima joto, jiji letu, utalii, uswazi, baragumu, vitakavyotoa nafas kubwa kuitangaza inchi na kuchambua changamoto mabalimbali, na waonyeshe documentary maalim kama akina kikeke kwa kua wana nyezo, watangazaj wabobezi na teknolojia ya juu. Wajipange, wameegea sana michezo.
 
Nilikuwa na kimuhemuhe na kiroho papo kuwa na kisimbuzi cha azamtv..ndio, ni kutokana na jinsi walivyokuwa wanajimwambafy(kujisifia kwa ubora wa miatambo na modern technology na watangazaji manguli).tuna studio bora kama za aljazeera na bbc...lakini pamoja na hayo yoote naona swala la Uchangamfu wa channel zao na uchanganyaji picha, bado sanaaa..na hata ule ubunifu wa watangazaji kupresent taarifa ili kumvutia mtazamaji haupo..nilitegemea utumizi wa technology kama tunavyoona bbc na aljazeera wanavyofanya bt kinyume chake naona hakuna utofauti na channel zingine ambazo sii paytv km clauds n.k..utangazaji na uwasilishaji wa habari hauko designed uondoshaji wa habari moja kwenda nyingine bado uko local sana...Bora hata kuangalia EATV wamechangamka na wanacheza na technology vizuri..sijui ni kwanini hawajilinganishi na international tv..wanabaki kuwaza kushindana na vilocal tvs vya kibongo....Jueni kuwa tunatoa hela kupata huduma zenu..

Kingne kinachoniuzi mm mvua ikianza tu kunyesha kinakata mawasiliano hata kama ni mvua ndogo,iwe na upepo au haina upepo hata kama ni ndogo aje lazima kizime,nauzika bas tu. Na wenzangu ni hivyo jamani? Au mm tu.
 
naona kama watu hawajakuelewa na wanachangia mambo tofaui kabisa na point uliyoitoa. watu wanaanzakusema mara muvie zao mbaya mara michanel ya kiarabu.. hahahahaha sidhani kama ulimaanaisha hivi mkuu
 
Kingne kinachoniuzi mm mvua ikianza tu kunyesha kinakata mawasiliano hata kama ni mvua ndogo,iwe na upepo au haina upepo hata kama ni ndogo aje lazima kizime,nauzika bas tu. Na wenzangu ni hivyo jamani? Au mm tu.

Sio tu mvua hata jua pia, Picha zinakuwa si nzuri huwezi fuatilia kitu. .
 
Sinema zao nazo ni zile zile kila siku.. tena ni za zamani kishenzi...hiyo chaneli wangeitoaga tu..michaneli ya kiarabu kiiibaaaooo

Yani channel zao za movie za mbc kwa kweli zinaboa. . Ukicheck movie dakika15 matangazo dakika15
 
Kweli mi natamani kuuza hiki king'amz hiv dstv inakuwaje malipo kwa mwez
 
Ukiondoa uoga wetu Wa gharama za kulipia DSTV kiukweli hamna kingamuzi cha quality ya DSTV hasa mzigo Wa Dstv explorer ni zaidi ya noma,hizi azam sijui star ni mbwembwe tu ndiomaana DSTV bado jeuri kwakuwa wanajua hawana mpinzani kwa quality.
 
Back
Top Bottom