Kama naanza kuichoka Azam TV vile

Kama naanza kuichoka Azam TV vile

Nilikuwa na kimuhemuhe na kiroho papo kuwa na kisimbuzi cha Azam Tv ndio, ni kutokana na jinsi walivyokuwa wanajimwambafy (kujisifia kwa ubora wa miatambo na modern technology na watangazaji manguli), tuna studio bora kama za Al-Jazeera na BBC...l

Lakini pamoja na hayo yoote naona swala la uchangamfu wa channel zao na uchanganyaji picha, bado sanaaa.. Na hata ule ubunifu wa watangazaji kupresent taarifa ili kumvutia mtazamaji haupo..

Nilitegemea utumizi wa technology kama tunavyoona BBC na Al-Jazeera wanavyofanya bt kinyume chake naona hakuna utofauti na channel zingine ambazo si Pay Tv kama Clouds Tv n.k..

Utangazaji na uwasilishaji wa habari hauko designed, uondoshaji wa habari moja kwenda nyingine bado uko local sana... Bora hata kuangalia EATV wamechangamka na wanacheza na technology vizuri.. Sijui ni kwanini hawajilinganishi na international Tv, wanabaki kuwaza kushindana na local tv za kibongo..

Jueni kuwa tunatoa hela kupata huduma zenu..
Si kweli,azam bado hawana mpinzani,hivi kuanzia juzi wanatuunga direct na election us,na kuanzia SAA 4 Leo in live coverage toka us had I matokeo yatangazwe asubuhi,sasa tv gani hapa bongo watathubutu?Ligi ya Spain tunaishuhudia kila Sikh,ubora Wa picha na watangazaji hakuna Wa kulinganisha,elewa azam ni Tanzania,Uganda ha Rwanda,yaani usilinganishe hizi tv zetu kama wabisha basi endelea na eatv na star yv na tbc
 
Hawana vipindi vya maana na hawajachangamka na pia wameshindwa kucope na technologia na mitambo yao waliyosema ni ya kisasa...yaani hawajachangamka kabisa..au ndio bado wako kwenye majaribio..test signal..ahahahaaa
Anzisha ya kwako, hakuna kama Azam ukiondoa DSTV au ulitaka iwe kama CNN?
 
Nilikuwa na kimuhemuhe na kiroho papo kuwa na kisimbuzi cha Azam Tv ndio, ni kutokana na jinsi walivyokuwa wanajimwambafy (kujisifia kwa ubora wa miatambo na modern technology na watangazaji manguli), tuna studio bora kama za Al-Jazeera na BBC...l

Lakini pamoja na hayo yoote naona swala la uchangamfu wa channel zao na uchanganyaji picha, bado sanaaa.. Na hata ule ubunifu wa watangazaji kupresent taarifa ili kumvutia mtazamaji haupo..

Nilitegemea utumizi wa technology kama tunavyoona BBC na Al-Jazeera wanavyofanya bt kinyume chake naona hakuna utofauti na channel zingine ambazo si Pay Tv kama Clouds Tv n.k..

Utangazaji na uwasilishaji wa habari hauko designed, uondoshaji wa habari moja kwenda nyingine bado uko local sana... Bora hata kuangalia EATV wamechangamka na wanacheza na technology vizuri.. Sijui ni kwanini hawajilinganishi na international Tv, wanabaki kuwaza kushindana na local tv za kibongo..

Jueni kuwa tunatoa hela kupata huduma zenu..
Umewachukia kwa sababu walionesha goli la kupakata la Tambwe nini? Au kwa kuwa walionesha Yanga wanafunga magoli ya off side dhidi ya Mbao FC. Funguka acha kusingizia uchangamfu......teknolojia si ndio hiyo ilisababisha tuone goli la chaneta style........!
 
pamoja na yote,azam tv ndio tv pekea tanzania inayokuletea coverage ya uchaguzi wa merekani kwa upana zaidi kushinda tv zote.
 
Hawana vipindi vya maana na hawajachangamka na pia wameshindwa kucope na technologia na mitambo yao waliyosema ni ya kisasa...yaani hawajachangamka kabisa..au ndio bado wako kwenye majaribio..test signal..ahahahaaa

Toa ushauri wafanye nini ili waboreshe! Sio kukaa sebuleni kwa shemeji yako! Kaka yako na shemeji yako wpo kazi wewe hufany kazi yeyote, unapuputisha mineno tu ya kifedhuli! Huko ukisibiri ugali kwa house girl! Nyamaf www!!! Nyumba itkushinda na utrudi kijijin kwenu
 
Kingne kinachoniuzi mm mvua ikianza tu kunyesha kinakata mawasiliano hata kama ni mvua ndogo,iwe na upepo au haina upepo hata kama ni ndogo aje lazima kizime,nauzika bas tu. Na wenzangu ni hivyo jamani? Au mm tu.

Usiuzike MKUU! Due pole umemua kutngazia uma kuwa unauzika!! Kazi kkweli kweli
 
Azam TV ni nzuri sana.

Ila ile channel ya Sinema Zetu inanikera sana.
 
Jana nimeshangaa nikikuwa nunafuatilia uchaguzi wa Marekani nikataka nipate progress kupitia BBC kumbe kuipata ni mpaka ulipie shs 28,000 channel hii kwa TV nyingi ni free!
 
We jamaa sikuelewi onaongeaa nn maana hicho kisimbuzi kina local chanel zoote za bongo chanel zao ni extra, azam one, two na HD sasa ukiona zinakukera si unaangalia itv, au chaneli zingne maana Kuna chanel zaid 800 na kitu......
Ww kama ktu ukipendi usitake kila mtu asikipende achana nacho tafuta unacho kipenda
 
HUENDA MMILKI AMEWEKA WATU WASIO NA VIGEZO KWA KUANGALIA SUALA 5 KAMA KIGEZO CHA AJIRA, AKIINGIA MTAALAMU ANAOGOPA KUMUMBIA UKWELI ASIPIGWE CHINI. PIA HATA SERIKALI SIYO RAFIKI WA VYOMBO VYA HABARI MUULIZE TIRDO MHANDO NA SERA YAKE YA MCHAKATO MAJIMBONI, HATA SAHAU HADI ALLAH ATAKAPO MUITA
 
Back
Top Bottom