ChickMagnet
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 2,708
- 3,576
Kweli mi natamani kuuza hiki king'amz hiv dstv inakuwaje malipo kwa mwez
mkuu dstv yani jihesabie ni kama una mtoto mwingine wa ziada nyumbani ...maana galama ni sawa na kodi ya nyumba
Kweli mi natamani kuuza hiki king'amz hiv dstv inakuwaje malipo kwa mwez
Kingne kinachoniuzi mm mvua ikianza tu kunyesha kinakata mawasiliano hata kama ni mvua ndogo,iwe na upepo au haina upepo hata kama ni ndogo aje lazima kizime,nauzika bas tu. Na wenzangu ni hivyo jamani? Au mm tu.
Ukiondoa uoga wetu Wa gharama za kulipia DSTV kiukweli hamna kingamuzi cha quality ya DSTV hasa mzigo Wa Dstv explorer ni zaidi ya noma,hizi azam sijui star ni mbwembwe tu ndiomaana DSTV bado jeuri kwakuwa wanajua hawana mpinzani kwa quality.
mleta mada
Nina wasiwasi we we ni mmoja ya vijana mliotuma maombi kuomba ajira azam TV.lakini kwa bahati mbaya au nzuri qualification zako hazikukusaidia kupata ajira pale.
acha chuki kwa azam TV.
mimi naipenda kwa sababu almost napata local channels zote, napata investigation discovery mbc4, mbc movies kwa movies na kipindi cha top gear.
kwangu iko poa maana mimi sio mpenzi wa kandanda dstv walikuwa wanakula ela yangu bure
ile kama imekuwa tv ya kidini zaidi
Mimi kwangu ikifika SAA nane mchana Chanel zinakata hadi SAA Tisa na nusu alasiri
awa jamaa wanachonikera n kutoonyesha epl na movies ambazo zko current, et wanaonesha laliga asa laliga mi ya nn?
Azam ipo vizuri sana ,utakuwa umetumwa na DSTV.
Wee niambie ni kipindi gani cha azam unaweza kuangalia kwa muda wa masaa mawili na kisikuboe..hapa tunajenga na sii kubomoa tunachotaka hapa tunataka wajipange vizuri na wajitofautishe na vilocal channels vya ndani