Wameniita wenyewe, nianze nao ?Kumekucha!
Nyoosha pingiri ya kila mmoja bwana makebo😁Wameniita wenyewe, nianze nao ?
Bingwa sijakulewa imebidi niende Command Centre yangu nisome vizuri hii IPhone 19 Ina herufi ndogo sanaHuyu mwamba kila kinachotoka mdomoni mwake ni matusio from juma tatu hadi jumapili .
Sio saa kumi na mmoja alfajiiri hadi usiiku wa manane.
Haiwezekani mwanadamu wa kawaida awe wa matusi asilimia 90 ya muda wake.
Kwa mwenendo huu ni ishu ya afya ya akili, msaidieni kijana huyu kama uongo ata comment kwa matusi hapo chini😁
Kati ya habari za uongo duniani na hii imo semeji 😅Makebo tena!, vipi binti kiziwi, nasikia unayo makubwa 😅😂
Ungemtag kabisa ili ajue kuna uzi unamhusu. Hivi tunakuwa kama tunatalk behind his back, sasa ina maaana gani!!Huyu mwamba kila kinachotoka mdomoni mwake ni matusio from juma tatu hadi jumapili .
Sio saa kumi na mmoja alfajiiri hadi usiiku wa manane.
Haiwezekani mwanadamu wa kawaida awe wa matusi asilimia 90 ya muda wake.
Kwa mwenendo huu ni ishu ya afya ya akili, msaidieni kijana huyu kama uongo ata comment kwa matusi hapo chini😁
Nilijua , huko nyamagana ndio mapori ya wapi, kila siku nasema nyinyi ni walugaluga wa vijijiniKweli mkuu aliotunga ule msemo kwamba macho hayana pazia basi leo nimejionea nyamagana kila size ya makebo
Na wewe mporipori wa wapi , hiko ndio kiluga chenuHuyu Makebo kwani na yeye anamakebo makubwa?
hahah aaa !Nilijua , huko nyamagana ndio mapori ya wapi, kila siku nasema nyinyi ni walugaluga wa vijijini
Huyo mporipori sijui muuza mifuko, akijitahidi sana ni bodabodaUngemtag kabisa ili ajue kuna uzi unamhusu. Hivi tunakuwa kama tunatalk behind his back, sasa ina maaana gani!!
Nimeshamalizana na mtoa mada, anahesabu kenchi saa hizi kwenye tembe lakeMakebo yanaongelewa vibaya huku
Chizi Maarifa @ secretarybird
Haswa 😎.Huyu Makebo kwani na yeye anamakebo makubwa?
Nani anayaponda makebo? Atapewa kesi ya uhaini. Yaheshimiwe please. Na ma Munch wa Annabelle nayo yana raha yake yakiwa yamejaa kifuani kwa mwanamke...Makebo yanaongelewa vibaya huku
Chizi Maarifa @ secretarybird
Nyamagana ni wilaya mkuu makebo 😅Nilijua , huko nyamagana ndio mapori ya wapi, kila siku nasema nyinyi ni walugaluga wa vijijini
Huyu mbaga akiona tu makebo mikono inatetemeka kuwahi kukwea mnazi😁