Martrix_32
JF-Expert Member
- Dec 1, 2025
- 1,025
- 2,058
Hahahaaa ! akipanda fly tu makebo starts to develop
Hahahaaa ! akipanda fly tu makebo starts to develop
Makebo yanaongelewa vibaya hukuHuyu mwamba kila kinachotoka mdomoni mwake ni matusio from juma tatu hadi jumapili .
Sio saa kumi na mmoja alfajiiri hadi usiiku wa manane.
Haiwezekani mwanadamu wa kawaida awe wa matusi asilimia 90 ya muda wake.
Kwa mwenendo huu ni ishu ya afya ya akili, msaidieni kijana huyu kama uongo ata comment kwa matusi hapo chini😁
Oh no !Makebo unaliliwa huku yan kwa kifupi umekuwa Malebo..
What?Oh no !
Nimeamini maadui wanaongezeka😅
Yani jamaa anashuhudia kwa macho yake mawili jina lake linageuka kuwa matako aisee maisha ni gumzo 🤣🤣🤣Nimeamini maadui wanaongezeka😅
Anaweza change ID !Yani jamaa anashuhudia kwa macho yake mawili jina lake linageuka kuwa matako aisee maisha ni gumzo
Na bado anafurahia huwezi amini🤭Yani jamaa anashuhudia kwa macho yake mawili jina lake linageuka kuwa matako aisee maisha ni gumzo 🤣🤣🤣
Hana hata hiyo ratiba!Anaweza change ID !
hahaa, aaiseee !Na bado anafurahia huwezi aminií ¾í´
duh!, bas anaweza omba stuff ID yake iwe bolded !Hana hata hiyo ratiba!