Emily magnus
JF-Expert Member
- Apr 7, 2026
- 820
- 1,503
Me nilikurupuka nikaingia, he! nikakuta kimeumana.Yaani hii title ukikurupuka unaweza hisi utaoata msaada ila maudhui yaliyomo sasa
Me nilikurupuka nikaingia, he! nikakuta kimeumana.Yaani hii title ukikurupuka unaweza hisi utaoata msaada ila maudhui yaliyomo sasa
Ukakutana na makebo kila kona😂Me nilikurupuka nikaingia, he! nikakuta kimeumana.
Asalamaleko 😎Shenzi type!😂
Mm nna mke sasa hv 😎Huyu mbaga akiona tu makebo mikono inatetemeka kuwahi kukwea mnazi😁
Umtoe wapi nyoh!Mm nna mke sasa hv 😎
Yaan acha tu.Ukakutana na makebo kila kona
HahahaNanilivokua nimejipanga kisaikolojia, nilijisemea huyu member lazima apate msaada anaostaili. Sasa nilivoingia....
Yaan acha tu.
C ndo ww hapoUmtoe wapi nyoh!
Kumbe nipo kwenye ndoa na sina habari 🤣C ndo ww hapo
Mm nakukula kindoa Kila siku, subir mimba tuuKumbe nipo kwenye ndoa na sina habari 🤣
Spiritual husband I rebuke you IJN🙌🏾Mm nakukula kindoa Kila siku, subir mimba tuu
Kwanini?Nikiona tu makebo navurugwa mkuu heri ningezaliwa kiumeni😂
Asiyejua maana haambiwi maana😃Kwanini?
Kwa kweli, hapa nimeambulia 0Asiyejua maana haambiwi maana😃
Stick around utapata chochote😀Kwa kweli, hapa nimeambulia 0
Kwani huyo makebo na yule mwingine wa kuitwa Genta nani mwili wake wote umejaa matusi zaidi badala ya damuHuyu mwamba kila kinachotoka mdomoni mwake ni matusio from juma tatu hadi jumapili .
Sio saa kumi na mmoja alfajiiri hadi usiiku wa manane.
Haiwezekani mwanadamu wa kawaida awe wa matusi asilimia 90 ya muda wake.
Kwa mwenendo huu ni ishu ya afya ya akili, msaidieni kijana huyu kama uongo ata comment kwa matusi hapo chini😁
Hii ndio kazi siiwezi sasaStick around utapata chochote😀
😄😄Makebo yanaongelewa vibaya huku
Chizi Maarifa @ secretarybird