Thamani ya shilling (TSH) DHIDI ya Dola (USD) 1966-2023

101 East

JF-Expert Member
Feb 25, 2015
1,040
2,121
Mabadiliko ya thamani ya shilling ya Tanzania kulinganisha na Dolla ya Marekani Toka Mwaka 1966
(1966-1972) 1 USD = 5 TZS,
(1973-1975) 1 USD =7 TZS,
1976,,1 USD=12 TZS
1977, 1 USD =12 TZS
(1978-82)-1USD-20TZS
1983- 1USD:22 TZS
1984-1 USD: 23TZS
1985- 1USD: 102 TZS
1986- 1USD: 205 TZS
1987- 1USD: 207 TZS
1988- 1USD :220 TZS
1989- 1 USD: 226 TZS
1990- 1 USD: 265 TZS
1991- 1USD: 300 TZS
1992 - 1 USD: 385 TZS
1993- 1USD: 434 TZS
1994-1USD: 465 TZS
1995 - 1USD: 500 TZS
1996- 1USD: 580 TZS
1997- 1USD : 665 TZS
1998- 1USD: 720 TZS
1999-1USD : 800 TZS
2000- 1USD: 820 TZS
2001- 1USD : 880 TZS
2002- 1USD : 900 TZS
2003- 1 USD: 900 TZS
2004- 1 USD: 910 TZS
2005-1USD : 1050 TZS
2006- 1 USD: 1100 TZS
2007-1 USD: 1150 TZS
2008- 1USD : 1200 TZS
2009 - 1USD: 1250 TZS
2010- 1 USD: 1260 TZS
2011- 1USD: 1300 TZS
2012- 1USD =1450 TZS
2013- 1USD=1620 TZS
2014- 1USD= 1650 TZS
2015- 1USD = 2210TZS
2016- 1 USD= 2200TZS
2017- 1 USD= 2310 TZS
2018-1USD =. 2300 TZS
2019- 1USD = 2320 TZS
2020- 1USD= 2323 TZS
2021- 1USD= 2340 TZS
2022- 1USD= 2410 TZS
2023- 1USD =2487 TZS

Je ni Wapi tulipokosea?
 
Sijui lakini ila ukiangalia utaona kipindi cha MAGUFURI aliweza Kuicontrol dollar vizuri kabisa tofauti na maraiisi wengine

Angalia statics yake ndani ya miaka 6 ya utawala linganisha na maraisi wengine

Sio MCHUMI wala sijui mambo hayo nimesoma FIGURE tu hapo zilizoanishwa Nikashauliana na SERIKALI yangu ya kichwa nikaona hvyo
FB_IMG_1691157382381.jpg
 
Hii Kali,chanzo tafadhali!
 
Tunapotafuta mchawi tunakosea...; Kwa hii nchi yetu ambayo tungekuwa na uwezo wa kuwa a Producing Company na sio Wachuuzi huenda tungekuwa tunasema hii dollar ifike elfu kumi ili tuweze kuuza bidhaa zetu zaidi (bidhaa zetu ziwe rahisi kulingana na wengine)

Ila ndio hivyo we are a buying economy...; Na mbaya zaidi / kipimo cha umasikini wetu ni kwamba Pesa anayopata mtu haikidhi mahitaji yake; (Yaani ukishalipa Luku, Pango, pesa yote imekwisha, Hapo bado mengine yote inabidi ukope) Kusema things are worse its an understatement
 
Summary:

Nyerere 5-100 (an abrupt increase from 1984-1985 by 60).
Mwinyi 100-500.
Mkapa 500-1050.
Kikwete 1050-2210.
Magufuli 2210-2340.
Samia 2340-2487.
 
Mabadiliko ya thamani ya shilling ya Tanzania kulinganisha na Dolla ya Marekani Toka Mwaka 1966
(1966-1972) 1 USD = 5 TZS,
(1973-1975) 1 USD =7 TZS,
1976,,1 USD=12 TZS
1977, 1 USD =12 TZS
(1978-82)-1USD-20TZS
1983- 1USD:22 TZS
1984-1 USD: 23TZS
1985- 1USD: 102 TZS
1986- 1USD: 205 TZS
1987- 1USD: 207 TZS
1988- 1USD :220 TZS
1989- 1 USD: 226 TZS
1990- 1 USD: 265 TZS
1991- 1USD: 300 TZS
1992 - 1 USD: 385 TZS
1993- 1USD: 434 TZS
1994-1USD: 465 TZS
1995 - 1USD: 500 TZS
1996- 1USD: 580 TZS
1997- 1USD : 665 TZS
1998- 1USD: 720 TZS
1999-1USD : 800 TZS
2000- 1USD: 820 TZS
2001- 1USD : 880 TZS
2002- 1USD : 900 TZS
2003- 1 USD: 900 TZS
2004- 1 USD: 910 TZS
2005-1USD : 1050 TZS
2006- 1 USD: 1100 TZS
2007-1 USD: 1150 TZS
2008- 1USD : 1200 TZS
2009 - 1USD: 1250 TZS
2010- 1 USD: 1260 TZS
2011- 1USD: 1300 TZS
2012- 1USD =1450 TZS
2013- 1USD=1620 TZS
2014- 1USD= 1650 TZS
2015- 1USD = 2210TZS
2016- 1 USD= 2200TZS
2017- 1 USD= 2310 TZS
2018-1USD =. 2300 TZS
2019- 1USD = 2320 TZS
2020- 1USD= 2323 TZS
2021- 1USD= 2340 TZS
2022- 1USD= 2410 TZS
2023- 1USD =2487 TZS

Je ni Wapi tulipokosea?

Kuna mtu alikutwa na $42m ndani mwake, zidisha mara idadi yao.
 
Kila kitu hai hukua kadri ya muda, ni ajabu ikiwa mnafikiria kuganda pale pale.... fanyeni kukuza vyenu pia sio kushusha vya wenzenu.
 
Hadi 2025, dollar itafika 3000, mafuta na yenyewe yatakuwa around 4000 kwa liter, hapo ndio maana ya maisha magumu itadhihirika
 
Sijui lakini ila ukiangalia utaona kipindi cha MAGUFURI aliweza Kuicontrol dollar vizuri kabisa tofauti na maraiisi wengine

Angalia statics yake ndani ya miaka 6 ya utawala linganisha na maraisi wengine

Sio MCHUMI wala sijui mambo hayo nimesoma FIGURE tu hapo zilizoanishwa Nikashauliana na SERIKALI yangu ya kichwa nikaona hvyo
Acha ujinga wewe, angalia 2015 Hadi 2018 Hali ilikuwaje.

Pili kuanzia 2019 Hadi 2021 Kasi ya kushuka ilikuwa ndogo Kwa sababu ya mamikopo ya miradi mliyokuwa mnaambiwa mnajenga Kwa hela zenu wakati ni mikopo ya kibiashara.

Usihangaike na Marehemu aliharibu uchumi.

Mabadiliko ya Dola ni kidogo awamu hii ya 6 kuliko huko nyuma
 
Acha ujinga wewe,angalia 2015 Hadi 2018 Hali ilikuwaje.

Pili kuanzia 2019 Hadi 2021 Kasi ya kushuka ilikuwa ndogo Kwa sababu ya mamikopo ya miradi mliyokuwa mnaambiwa mnajenga Kwa hela zenu wakati ni mikopo ya kibiashara.

Usihangaike na Marehemu aliharibu uchumi.

Mabadiliko ya Dola ni kidogo awamu hii ya 6 kuliko huko nyuma
Sasa tuangalie wapi wakati inaonyesha tofauti iliyozidi ni 200 na kitu.acheni wivu unapingana na takwimu
 
Tunapotafuta mchawi tunakosea...; Kwa hii nchi yetu ambayo tungekuwa na uwezo wa kuwa a Producing Company na sio Wachuuzi huenda tungekuwa tunasema hii dollar ifike elfu kumi ili tuweze kuuza bidhaa zetu zaidi (bidhaa zetu ziwe rahisi kulingana na wengine)

Ila ndio hivyo we are a buying economy...; Na mbaya zaidi / kipimo cha umasikini wetu ni kwamba Pesa anayopata mtu haikidhi mahitaji yake; (Yaani ukishalipa Luku, Pango, pesa yote imekwisha, Hapo bado mengine yote inabidi ukope) Kusema things are worse its an understatement
Sasa wewe mbunge mmoja analipwa zaidi ya 15m/= kwa mwezi; mtasalimika?!
 
Back
Top Bottom