Gharama za ujenzi wa uwanja wa DR. Samia zinapaswa kuchunguzwa na DR. Samia

josias

Member
Jan 7, 2014
47
34
Ujenzi wa Uwanja wa Samia Arusha umeibua maswali mengi kuhusu ukubwa wa gharama ikilinganishwa na gharama zilizotumika ulipojengwa uwanja wa Benjamin Mkapa. Kwanza tupate bei ya dola kwa miaka ya nyuma ilikuwaje ili tujadili kwa Utulivu

Mabadiliko ya thamani ya shilling ya Tanzania kulinganisha na Dolla ya Marekani Toka Mwaka 1966
(1966-1972) 1 USD = 5 TZS,
(1973-1975) 1 USD =7 TZS,
1976,,1 USD=12 TZS
1977, 1 USD =12 TZS
(1978-82)-1USD-20TZS
1983- 1USD:22 TZS
1984-1 USD: 23TZS
1985- 1USD: 102 TZS
1986- 1USD: 205 TZS
1987- 1USD: 207 TZS
1988- 1USD :220 TZS
1989- 1 USD: 226 TZS
1990- 1 USD: 265 TZS
1991- 1USD: 300 TZS
1992 - 1 USD: 385 TZS
1993- 1USD: 434 TZS
1994-1USD: 465 TZS
1995 - 1USD: 500 TZS
1996- 1USD: 580 TZS
1997- 1USD : 665 TZS
1998- 1USD: 720 TZS
1999-1USD : 800 TZS
2000- 1USD: 820 TZS
2001- 1USD : 880 TZS
2002- 1USD : 900 TZS
2003- 1 USD: 900 TZS
2004- 1 USD: 910 TZS
2005-1USD : 1050 TZS
2006- 1 USD: 1100 TZS
2007-1 USD: 1150 TZS
2008- 1USD : 1200 TZS
2009 - 1USD: 1250 TZS
2010- 1 USD: 1260 TZS
2011- 1USD: 1300 TZS
2012- 1USD =1450 TZS
2013- 1USD=1620 TZS
2014- 1USD= 1650 TZS
2015- 1USD = 2210TZS
2016- 1 USD= 2200TZS
2017- 1 USD= 2310 TZS
2018-1USD =. 2300 TZS
2019- 1USD = 2320 TZS
2020- 1USD= 2323 TZS
2021- 1USD= 2340 TZS
2022- 1USD= 2410 TZS
2023- 1USD =2487 TZS

Sasa Chukua hiyo bei ya dola ya Mwaka 2007 ulinganishe na thamani ya sasa ,kisha uje tujadili kwa uwazi.

Pamoja na Bei ya Dollar kuwa 1150 mwaka 2007 bado Gharama ni Kubwa Mno... Kwa sasa Bei ya Dollar ni mara mbili ya ile ya 2007 lakin thamani ya Mradi wa Ujenzi wa Uwanja ni mara nne ya Bei ya Mwaka 2007 .... Wakati huo Uwanja huu mpya ni nusu ya Uwanja uliojengwa 2007.

Kama Benjamin Mkapa ingejengwa Leo, ilipaswa kugharimu Billion 128 (Mara mbili ya Thamani ya Dollar ya 2007) na nyongeza ya Dharula tuweke basi billion 10.... Jumla ingestahili Billion 138

Na Kwa kuwa Uwanja unaojengwa ni mdogo kuliko Benjamin Mkapa kwa Nusu (Watu 30,000).... Tulipaswa kuchukua Billion 138 ÷ 2 = Billion 69.

Hapa pia tuweke Pesa ya Dharula basi mara tatu zaidi ya tuliyoweka awali.... Tuweke Dharula Billion 30....

Thamani ya Uwanja ilipaswa kuwa Billion 69+ Billion 30 ya Dharula = Billion 99

Kitu pekee watakachotuambia tukawaelewa ni kama Kuna Technolojia Mpya ambayo wataiweka ambayo Benjamin Mkapa haipo. Lakin kama ni Structure na Pitch.

Tumepigwa
 
Mtu ameweka mitego yake halafu ajichunguze? Hii aina ya umma wa Tz ni wa hovyo sana. Unampa fisi alinde mbuzi wake, anaanza kutafuna mbuzi, halafu unasema fisi achunguze mbuzi wamepotelea wapi. Hopeless
 
Mkuu tukupe B128 ujenge uwanja kama wa taifa utaweza ?
Usiangalie tu value ya dola, angalia inflation katika bidhaa husika

Cement ilikuwa 4000, sasa ni 18000, bei imezidi mara 4 unusu

Mishahara ya vibarua ilikuwa 3000, kwa sasa saidia fundi ni 15000, mara tano imezidi

Mafuta ilikuwa 700-1000/- saizi 3000+ hapo imezidi mara tatu,

Usichek tu value ya dollar
 
Back
Top Bottom