Kijeli za kwenye mtandao hazitakusaidia ,naishi Njombe,kahama naijua vzr na tarehe 19/7 /2019 nilikuwa kahama kikazi, nilikuwepo kwa cku zaidi ya 51,kwahiyo kahama iko mbali na hata huwezi zilinganisha kwa majengo na ukubwa wa mji plus population,na hizo nilizozikuta ndo balaa kbs.Kahama ni mji mkubwa sana ,na hao wasukuma unaowaona usangu kimuonekano si wale walioko mwanza, shy,geita, tabora hadi simiyu.Kukaa kwny computer yk na kuanza lumbana siyo hoja,coment zako zimekaa kiutani zaidi na mbwebwe ili mradi tu Njombe iwe mshindi,watu wametulia hawataki tena league na ww maana kahama huijui ki hakika.
Sifurahishi wananzengo jibu hoja zangu hapo juu mkuu