Kahama VS Njombe/Mafinga

Hata Kibera suburb ya Nairobi ni kubwa ina watu zaidi ya Kahama lakini ile hali si unaiona ilivyo? Na Kahama ni hivyo hivyo hamna kitu huko zaidi ya zizi la maskini,migodi haijawahi acha watu salama aisee
 
makambako ni mkoa wa njombe...
Mkuu picha ya kwanza ya round about ni Makambako baada ya rehab ya Tanzam highway hii sio sehemu yake but wait mradi wa uendelezaji miji na rehab ya Makambako songea trunk road zitabadili sura ya barabara hapo Njombe mtaipenda wenyewe
 
Kulikuwa na usafiri wa baiskeli .

Yaani ni kama daladala.nilishangaa sana
Ndio utamaduni wetu huo buda, Igunga utazikuta, shinyanga, Kahama, Mwanza (misungwi, Ngudu, Nansio,Sengerema n.k), Tabora, Geita yaaani ni shida.
.
Wa Geita walitaka kuwafukuza wezi wakaongezeka wakaona wawaache tu
 
Unamkuta Dada mzuri au kijana sharobaro anaita baiskeli... Nilishangaa Sana.hawa mangosha hawashuki wakipanda mlima hata Kama wamebeba tipwa tipwa!!!
 
Kahama nimeielewa Sana,nimewahi kufika pako vema Sana kwa ukanda wa Kanda ya ziwa ukiitoa Rock City.
 
Kulikuwa na usafiri wa baiskeli .

Yaani ni kama daladala.nilishangaa sana
Njaa sana kule na walivyowengi hakuna wa kupanda japo bajaji au boda yaani baiskeli ni 200 kituo hadi kituo umbali wa kutosha sasa mtu uje upate 10000 ni wiki hayo sio maisha lory likianguka lazima watu wang'oe betri
The only hope waliyonayo ni kuchenjua makinikia
 
Kahama nimeielewa Sana,nimewahi kufika pako vema Sana kwa ukanda wa Kanda ya ziwa ukiitoa Rock City.
Tatizo watu kama utitiri worse enough maskini sana sasa hata dada zao ni cheap sana.Afu nyie wangosha mimi ni shem wenu heshima ichukue mkondo wake namkaza kiuno dada yenu 😜😜😜😜
 
Haahaa, madem wa kisukuma ni wakarimu Sana mzee baba.
Ni malaya wale sababu ya umaskini huwa naona mabinti wakivunja ungo no one cares wazazi hawana habari na watoto
Walivyo mapunga nilikuwa na dem wa huki kipindi naishi mwanza sasa dem alikua chuo cha ualimu si wakapata bwana ana tu hela wakamuachisha chuo sasa nikampanga manzi akakaza wakaaibika wakaishia kunambia ooh umempa nn mtoto wetu hataki kuolewa ,sasa unajiuliza mwanamke anapewaga nini na mwanaume khaa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wadau wa Mafinga mko wapi mbona hamjitokezi Mafinga ni patamu kuliko hata Njombe tupieni mapicha basi
 
Ni malaya wale sababu ya umaskini huwa naona mabinti wakivunja ungo no one cares wazazi hawana habari na watoto
Walivyo mapunga nilikuwa na dem wa huki kipindi naishi mwanza sasa dem alikua chuo cha ualimu si wakapata bwana ana tu hela wakamuachisha chuo sasa nikampanga manzi akakaza wakaaibika wakaishia kunambia ooh umempa nn mtoto wetu hataki kuolewa ,sasa unajiuliza mwanamke anapewaga nini na mwanaume khaa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Anapewaga piipii!!,wanashobokea wageni balaa ukizama usukumani utakubali.
 
Unamkuta Dada mzuri au kijana sharobaro anaita baiskeli... Nilishangaa Sana.hawa mangosha hawashuki wakipanda mlima hata Kama wamebeba tipwa tipwa!!!
Hujaona utafiti wa britanicca tunaingoza kwa kuwa na mishedede mikubwa na nguvu tunazo.
.
Vilima kwetu tambarare tu
 
Back
Top Bottom