Kahama VS Njombe/Mafinga

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
4,761
2,000
Tunazungumzia shule na sio mkoa Kahama iko ndani ya mkoa wa Shinyanga.
.
Weka shule inayofanya vizuri kutoka Njombe mji nami naweka Shule inayofanya vizuri Kahama mji kisha tuone nani ni mzima kichwani kama ulivyouliza
Tuko msibani watu wameingia huko moro nikirudi kwenye maombolezo nakuja
Unamaanisha tufanye vizuri kitaifa afu tukose shule?
 
ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
4,761
2,000
Ushaanza matusi nitake radhi hakuna mahala nimekutukana wala kumtukana yeyote mimi sio kilaza.
.
Kuhusu kurudia picha za Submarine ni kutokana na maombi ya ngulipo kuwa hajaona hotel za Kahama sasa wewe unabwata tu hapa na matusi juu huku hujaweka picha hata moja.
.
Yani kisa kwenu kaka yako alifaulu shule basi nawe huna haja tena ya kusoma sio? Akili zingine hizi ndio maana wafupi nyie
Umaskini wa akili na mali ni mbaya sana,
 
Loftins

JF-Expert Member
Oct 1, 2017
7,554
2,000
Ni kilio na kicheko. Hivyo ndivyo tutakavyoweza kusema, kwani matokeo ya kidato cha sita, yaliyotangazwa leo Jumamosi, Julai 15 yamezitaja shule kumi zilizofanya vibaya na kushika mkia kitaifa.

Shule hizo ni Kiembesamaki Unguja, Hagafilo (Njombe), Chasasa (Pemba), Mwenyeheri Anuarite (Dar es Salaam) na Ben Bella (Unguja).

Nyingine zilizotajwa kushika mkia ni Meta (Mbeya), Mlima Mbeya(Mbeya)

Nyingine ni Shule ya Sekondari ya Al-Ihsan Girls (Unguja na St Vicent(Tabora).
.
pemgtoonet.com
Hagafilooo njombe
 
pemgtoonet.com

JF-Expert Member
Apr 29, 2013
878
1,000
Hagafilo secondary haikuwa ya mwisho kitaifa 2017?
weka ufaulu kimkoa, sawa hagafilo ipo hapo, na wastani wa ufaulu upoje kimkoa kati ya shy na njmbe? Leta wastani wa ufaulu kimkoa ndani ya miaka 3 hii, mwaka huu mmekua wa 23 kati ya mikoa 31 na kwa bara nyie wa 3 toka mwisho, mwaka jana mlikuwa wa 24 sijawai ona mkoa wa vilaza kama huo. Hebu mjiongeze basi mguse hata kumi na kitu basi,najua top ten hamuwezi labda arudi Yesu
 
pemgtoonet.com

JF-Expert Member
Apr 29, 2013
878
1,000
Ni kilio na kicheko. Hivyo ndivyo tutakavyoweza kusema, kwani matokeo ya kidato cha sita, yaliyotangazwa leo Jumamosi, Julai 15 yamezitaja shule kumi zilizofanya vibaya na kushika mkia kitaifa.
Shule hizo ni Kiembesamaki Unguja, Hagafilo (Njombe), Chasasa (Pemba), Mwenyeheri Anuarite (Dar es Salaam) na Ben Bella (Unguja).
Nyingine zilizotajwa kushika mkia ni Meta (Mbeya), Mlima Mbeya(Mbeya) Nyingine ni Shule ya Sekondari ya Al-Ihsan Girls (Unguja na St Vicent(Tabora).
.
pemgtoonet.com
Hagafilooo njombe
pia lete na takwimu zile za kiuchumi mwaka huu uone limkoa lako limekuwa la ngapi
 
Loftins

JF-Expert Member
Oct 1, 2017
7,554
2,000
weka ufaulu kimkoa, sawa hagafilo ipo hapo, na wastani wa ufaulu upoje kimkoa kati ya shy na njmbe? Leta wastani wa ufaulu kimkoa ndani ya miaka 3 hii, mwaka huu mmekua wa 23 kati ya mikoa 31 na kwa bara nyie wa 3 toka mwisho, mwaka jana mlikuwa wa 24 sijawai ona mkoa wa vilaza kama huo. Hebu mjiongeze basi mguse hata kumi na kitu basi,najua top ten hamuwezi labda arudi Yesu
Mkuu mimi ni msukuma wa Mwanza ila Kahama naitetea kwa sababu ni nzuri na bora kuliko Njombe mji.
.
Leta jina la shule lililowahi kuwa la mwisho kitaifa kutoka Shinyanga yani jumlisha na wilaya zake zote ichukue hadi Bariadi ambayo ni Simiyu sasa hivi
 
pemgtoonet.com

JF-Expert Member
Apr 29, 2013
878
1,000
Mkuu mimi ni msukuma wa Mwanza ila Kahama naitetea kwa sababu ni nzuri na bora kuliko Njombe mji.
.
Leta jina la shule lililowahi kuwa la mwisho kitaifa kutoka Shinyanga yani jumlisha na wilaya zake zote ichukue hadi Bariadi ambayo ni Simiyu sasa hivi
weka takwimu hizo ndo tuendelee, twende kwa data. Blabla hapa si mahali pake
 
mossad 03

JF-Expert Member
May 15, 2013
521
500
Hata kama madini yapo sio mengi kwa kiasi hicho Buzwagi ndo hiyo inakauka miaka michache ijayo kutapauka,pili Khm sio mji wa transport hub Kama Njombe ni suala la mda tu Kahama itapauka wakati Njombe ndio kuna kucha hivyo.Pindi barabara za Njombe/Itoni kudewa mbamba bay,Njombe Ifakara mikumi na Njombe makete Mbeya zikikamilika zitakuwa ni ufunguo mkubwa sana huku kwa fursa
Pia usisahau kwamba Njombe ni mkoa wa wachapa kazi na pia kumbuka kuna mabwawa 4 ya kufua umeme yako mbioni kujengwa yote hiyo inakupa picha ya Njombe ya Kesho sio sawa na huko mnakoongoza kwa maskini wengi
Mgodi wa Bulyanhulu unajua una mineral reserve kiasi gani? Migodi ya wachimbaji wadogo je? Na kahama kuwa Junction/ highway ya Kigoma, kagera, Rwanda, Burundi na Uganda je?

Umejibu kipambe na kishabiki hujafanya comparison umejibu ka mshabiki/ mkazi wa njombe
 
ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
4,761
2,000
Mgodi wa Bulyanhulu unajua una mineral reserve kiasi gani? Migodi ya wachimbaji wadogo je? Na kahama kuwa Junction/ highway ya Kigoma, kagera, Rwanda, Burundi na Uganda je?

Umejibu kipambe na kishabiki hujafanya comparison umejibu ka mshabiki/ mkazi wa njombe
Hadi dakika hii migodi haijaisaidia Kahama na watu wake kutoka kwenye dimbwi la umaskini bila kujalisha madini yataisha mwaka 2700
Pili Kahama ni mji tuu wa kawaida ulioko kwenye barabara kuu ya kwenda maeneo uliyotaja na hakuna junction yoyote hapo.Kigoma itoe maana mabasi ya kutokea Dar,Arusha nk yataacha kupitia hiyo njia pindi Kigoma tabora ikikamilika
Njombe ndio junction ya barabara kuu ya songea na Morogoro kupitia ifakara
 
ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
4,761
2,000
Weka barabara za Njombe mji niweke barabara za Kahama mji tuone zipi bora
Usijisumbue kuweka za Kahama maana hamna lolote la maana ila wenzenu Njombe iko kwenye mradi wa benki ya dunia wa kuboresha miundombinu ya miji wameanza na stendi zinafuata barabara itanoga kama singida,swax,tabora,bahati nk ko kuwa mpole na mwaka huu barabara ya Makambako songea inajengwa upya
 
Loftins

JF-Expert Member
Oct 1, 2017
7,554
2,000
Wewe big skull empty mind vaa miwani macho yamekufa kwa kushindia michembe
Njombe hujaiona angalia namba 42 ila pia usisahau kuangalia tanga na Mwanza nani yuko juu
Mtu mfupi kwanini Njombe mji imezidiwa na Kahama mji sasa?
.
Nilikwambia sehemu yenye dhahabu sio sawa na sehemu yenye mavichaka mamiti miti kama Njombe
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom