Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Acha uwendawazimu...huwezi linganisha Bukoba na miji ya huko kusini...tena sio kwa skyline...kwa kanda ya ziwa Baada ya Mwanza inafata bukoba kwa maghorofa na skyline hata takwimu za Nbs zinasema hivyo
images%20(31).jpg
Bukoba%2C_Tanzania%20(1).jpg
Bukoba_city_at_night.jpg
images%20(29).jpg
images%20(27).jpg
images%20(1)%20(2).jpg
images%20(1)%20(5).jpg
images%20(26).jpg
 

Attachments

  • images%20(1)%20(4).jpg
    images%20(1)%20(4).jpg
    89.5 KB · Views: 6
Sema mbeya mmetengwa sana....barabara nyingi ni za matope...yaan hapo naona barabara moja sijui ndo kuu...

Na hapo ni baada ya kuwekewa filter kibao...


Tazama huo mtaa kule juu...na hii ni 2016 bukoba

View attachment 2565104
Duu sawa ila soon mnaanza kulia lia.

Njia zimeanza kujengwa,Tactic km 21 tenda tayari, TanRoads wanajenga km 5 na Tarura kama kawaida km 7 .

Njoo hapa Mbeya 2025 uje uongee hayo uliyoyaongea.
 
Duu sawa ila soon mnaanza kulia lia.

Njia zimeanza kujengwa,Tactic km 21 tenda tayari, TanRoads wanajenga km 5 na Tarura kama kawaida km 7 .

Njoo hapa Mbeya 2025 uje uongee hayo uliyoyaongea.
Mwanza tactics ni km 28 tarura km 10 tanroad 12km bado masoko 3 ya kisasa na ujenzi wa Kingo za mto wa kisasa upo hapo?😃😃
 
Kila Siku tunawaambia Barabara ziko Nyanda za Juu huko kwenu ni hasara Kwa Taifa ndio hawajengi quality roads kama hizi
thumb_1430_800x420_0_0_auto.jpg
20230325_142346.jpg
20230325_142350.jpg
20230325_142154.jpg
20230325_142148.jpg
20230325_142049.jpg
20230325_142146.jpg


Imagine huko ni Wilayani tuu.
 
Ndo maana hata unayemreply anakushangaa kimsingi Bukoba ina hotel nyingi kuliko hata hiyo mbeya yenu...au unataka tuanze kupost hotel moja moja....

Wew kama unaichukia Bukoba utaendelea kuumia mwenyew...maaana Bukoba itaendelea kukua siku hadi siku...

Google tu yenyew inasema Bukoba kuna hotel 27.....wew ushawahi hata kulala kwenye moja wapo? Kama hulali kwenye gest bubu...
Ingia hapo na uangalie hata reviews

View attachment 2564506
Hizi loadge wew nyumbu hujui hata maana ya hotel
 
Naomb picha za hayo magorofa
Huyu anaeisema bukoba vibaya ni mpumbavu na hajui alifanyalo kinachoiharibia bukoba ni vitu viwili ni stand pamoja na soko tu lkn bukoba ipo vzur mnoo Wana taasisi nyingi kama mashule,makanisa na mahoteli pia Wana barabara za lami nzuri mnoo had vijijini Wana kanisa zuri la catholic kuliko lolote Tz ila likiisha la mwanza kawekamo ndo inafuatia pale bukoba manispaa tu wanashule za advance kama 7 ihungo,nyakato,kahororo,rugambwa,bukoba sec,omumwani na private nyingi sana nilikuwepo juzi bukoba sasa hv Wana had magorofa 8 kama 5 ndo uje ulinganishe na ujinga wa njombe pia bukoba Wana uwanja mzur wa mpira kaitaba
 
Back
Top Bottom