ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 79,247
- 85,120
- Thread starter
- #14,421
Povu na makasiriko ni vya nini?😁😁😁😁Huyu anaeisema bukoba vibaya ni mpumbavu na hajui alifanyalo kinachoiharibia bukoba ni vitu viwili ni stand pamoja na soko tu lkn bukoba ipo vzur mnoo Wana taasisi nyingi kama mashule,makanisa na mahoteli pia Wana barabara za lami nzuri mnoo had vijijini Wana kanisa zuri la catholic kuliko lolote Tz ila likiisha la mwanza kawekamo ndo inafuatia pale bukoba manispaa tu wanashule za advance kama 7 ihungo,nyakato,kahororo,rugambwa,bukoba sec,omumwani na private nyingi sana nilikuwepo juzi bukoba sasa hv Wana had magorofa 8 kama 5 ndo uje ulinganishe na ujinga wa njombe pia bukoba Wana uwanja mzur wa mpira kaitaba
Nzuri mno kulinganisha na wapi? Hivyo unavyovitaja hata Manyumbu vipo so sio big deal .
