Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Ni kweli kusini bado wamelala mno ukipenda kulima kule unasafirisha unapiga Hela maan wakaz wa kusini bado taa kichwani zmezima kabisa
Fuse zako zilishakata kitambo 🤪🤪
Anyway the talk of Southern Highlands is developments

20230325_141559.jpg
20230325_141604.jpg
20230325_141606.jpg
20230325_141602.jpg
 
Unauhakika tushushe vitu vya lake zone nawe uje na takakataka za kusini?

Sema ewe kidogo dishi linasoma no signal
 
Hoteli zilizopo kahama njombe hamna
Mbumbumbu kama wewe na ushamba wako unajua nini hasa?

Wewe uliyekuwa unasema sangara na sato wako lake Victoria tuu umewahi hata ingia hotelini? 😁😁

Nimekujibu Kwa vitendo na picha umeufya eti saizi unaropoka kwamba Kahama Kuna hoteli za kuizidi Njombe 😁😁
 
Unauhakika tushushe vitu vya lake zone nawe uje na takakataka za kusini?

Sema ewe kidogo dishi linasoma no signal
Vitu gani utakavyoshusha zaidi ya uswazi wa Mwanza? Mbona picha za Mwanza zipo huku kibao tuu.
 
Mbumbumbu kama wewe na ushamba wako unajua nini hasa?

Wewe uliyekuwa unasema sangara na sato wako lake Victoria tuu umewahi hata ingia hotelini? 😁😁

Nimekujibu Kwa vitendo na picha umeufya eti saizi unaropoka kwamba Kahama Kuna hoteli za kuizidi Njombe 😁😁
Ni ziwa Victoria TU nmekwambia post hao sangara nione na jina la sehem sio upost samaki bila evidance maana ziwa Victoria kubwa inaweza chukua sehemu ya Kenya au Uganda
 
Back
Top Bottom