KONK MASTER
JF-Expert Member
- Jan 31, 2023
- 1,223
- 512
Niko bukoba
Mm nmekwambia gari yangu pengine ukoo wenu hamna Sasa nakomaa na pimbi wa mwituni hata hotelin huwez kulalaMarudio kama yapi? Una excuses sana wewe dogo,kwanza umekula?
Niletee aerial shots za BukobaNiko bukoba View attachment 2564981
Porojo za kishamba 🤪🤪Mm nmekwambia gari yangu pengine ukoo wenu hamna Sasa nakomaa na pimbi wa mwituni hata hotelin huwez kulala
Porojo za kishamba 🤪🤪
Just section of Mbeya City 👇
Kwani Hawa Watoto wanaocheza hapa sio beach?Uduvi tu post maeneo ya kjidai kama beach HIZO na sio mapori
Porojo za kishamba 🤪🤪
Just section of Mbeya City 👇
Tumekuchoka na haka kajengo kako.Pamoja na kutmia footage drone lakin bado hovyo ebu post jengo la kupangisha refu kama hiliView attachment 2565034
Kwani Hawa Watoto wanaocheza hapa sio beach? View attachment 2565035View attachment 2565039
Hilo sio pimbi eweTumekuchoka na haka kajengo kako.View attachment 2565040
Niletee aerial shots za Bukoba
Hii hapa Songea,No uswazi ni magorofa tuu.View attachment 2564999View attachment 2565001View attachment 2565002View attachment 2565003View attachment 2565004View attachment 2565006View attachment 2565007hh
Leta aerial shots za Bukoba sitaki excuses Wala visingizio vya kujifarijiIla we jamaa kweli umeme Hamna kichwani mbona inapost tetenas halafu unajisifu 😂😂😂
Unataka lipi bwashee 😁😁😁Hilo sio pimbi ewe