Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Bukoba ukitoa hilo kanisa na ziwa hmn kingne cha maana cha kuwaonyesha watu na kwa wale wasiojua kijiji cha mashamba ndo hicho na hapo ndo mjini na magorofa mlioambiwa ndo hayo
Acha uwendawazimu...huwezi linganisha Bukoba na miji ya huko kusini...tena sio kwa skyline...kwa kanda ya ziwa Baada ya Mwanza inafata bukoba kwa maghorofa na skyline hata takwimu za Nbs zinasema hivyoView attachment 2565092View attachment 2565093View attachment 2565094View attachment 2565095View attachment 2565096View attachment 2565097
 
Alaf kuna nyumbu moja anatuletea kijiji cha bukoba matope pale mjini eneo moja la kupigia picha kanisani tu hiyo ni sehem tu ya iringa city welcome home of intellectual sio kutuletea dada zenu watukatikie kwa jero🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 

Attachments

  • inbound6153173298351592738.jpg
    inbound6153173298351592738.jpg
    60.5 KB · Views: 12
Alaf kuna nyumbu moja anatuletea kijiji cha bukoba matope pale mjini eneo moja la kupigia picha kanisani tu hiyo ni sehem tu ya iringa city welcome home of intellectual sio kutuletea dada zenu watukatikie kwa jero
Haka kamji kenye barabara moja na slums kibao...


Bukoba kolping hotel....
images%20(1)%20(11).jpg
images%20(1)%20(10).jpg
images%20(24).jpg
 
Sasa haya kwetu mejengo ya hostel za wanafunzi tosa boys na iringa girls
Zilete tuone maana....Bukoba kwa shule ndo penyew....

Tatizo lako unapenda kubishana kwa kejeli na matusi na sio hoja zenye facts

Isijekuwa nabishana na teeneger hapa......
 
Zilete tuone maana....Bukoba kwa shule ndo penyew....

Tatizo lako unapenda kubishana kwa kejeli na matusi na sio hoja zenye facts.....
Tunajadili topic za kulinganisha miji wew upo unatukana dada zetu na mama zetu wa kihaya...Mimi sister yangu ambaye ni wa kihaya anaweza kukulisha wew na ukoo wenu kwa miaka kumi...hao wanawake wa kihaya tafuta professors wengi wamama wengi ni kabila gani....anyway acha kabisa kutukana na jamii kwa story unazohisi na kujeneralize...

Isijekuwa nabishana na teeneger hapa......
Bukoba inafnya vzr kielimu ila mkoa wa kagera haupo vzr kielimu
 
Shule 10 Za gharama Tanzania kanda ya nyumbu hawana shule ya hadhi kama hizi
Aibu kwako ukiongelea international school mwanza zipo tena hadhi ya juu pia Kahama ipo moja kitu ambacho mbeya ipo ila haifany Kaz imebak jina TU samaritan
 
Back
Top Bottom