Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Mbeya ni Jiji wewe mbuzi tena Jiji kubwa Lina mitaa mingi tuu ya maana iliyojengwa vizuri kuliko hako kamtaa kama kamoja hapo Juu na wewe unajua..

Kwa hiyo siwezi hata kujisumbua kulinganisha hicho Kijiji Cha Bukoba na Mbeya..

Mbeya size yake ni Mwanza is big slum..
Eti Mwanza...
Ushawahi ona mwanamke anamfokea mme wake wakati usiku analiwa na huyohuyo mme wake kama samaki...ndo wew mtu wa mbeya unavyoisema mwanza...


Yaan Mbeya inahitaji renovations za hali ya juu sana ili ionekane jiji...


Mbeya mitaa yake yote ni slums
 
Nimewahi kuwa kote, Kahama ni the best… Njombe na mafinga watu bado local sana na mchanganyiko wa watu bado sana.

Kahama inakua kila kukicha, hata pato lake lake ni kubwa.

Nafikiri sio sahihi kufananisha Kahama (Manispaa) na Wilaya ya Njombe au Mafinga. Bora uifananishe na Musoma, Tunduma au Mpanda.
Huna hoja,hivi wapi Kuna washamba na nyumbu Kati ya Kahama vs Njombe au Mafinga?

Huko Kahama mnakolala kwenye mashimo ndio Ina u best gani? Au wewe ukiona mabodaboda ,ushangalabaghala wa watu na makazi,nk ndio u best kwako au?

Mji kama gulio unaanzaje kuwa best hakuna hata hoteli za maana Wala mitaa Wala Barabara yaani slums Kila sehemu unaita best? Acha ushamba broo..
 
Mbeya ni Jiji wewe mbuzi tena Jiji kubwa Lina mitaa mingi tuu ya maana iliyojengwa vizuri kuliko hako kamtaa kama kamoja hapo Juu na wewe unajua..

Kwa hiyo siwezi hata kujisumbua kulinganisha hicho Kijiji Cha Bukoba na Mbeya..

Mbeya size yake ni Mwanza is big slum..
Mitaa gan? Nsalaga

Imagine hapa ndo mjini mbeya

 
Yale yale niliyokuwa nasema...mnaweza kuwa na kata nyingi ila ni vijiji imagine NJOMBE MJINI kata tatu TU ndo mjini nyingine 10 ni vijiji..


Halafu acha kulinganisha Bukoba na vimji vya ajabu vya kusini...


Njombe sasaView attachment 2563250
Bora Njombe maana hata Kasi ya ujenzi ni kubwa na hata ukifika kwenye hizo kata ukaona huwezi sema ni Kijiji mana hazifanani na Vijijini hata kidogo..

Sasa hiyo dormant town ya Bukoba Ina kipi Cha maana kuizidi Njombe? Hamna hata hospital ya Mkoa,niliwahi sema ulete picha humu za hospital ya Mkoa wa Kagera ukatokomea 😀😀
 
Hiyo hiyo Ina best skyline kuliko Bukoba
Eti skyline....hebu tutoleee uchafu hapa...hiyo songea imedumaa...yaan pamoja na kukamilisha miradi yote ya kimkakati lakin bado mji umechoka vile...

Viwanja vya kujidai Bukoba....

Westend.bistro Bukoba....
Screenshot_20230325-073740.jpg
Screenshot_20230325-073745.jpg
Screenshot_20230325-073825.jpg
 
Ubongo wako mgando kama ulivo ufupi wapi nakwambia ziwa Tanganyika Lina kina kirefu sana kuliko maziwa yote tz na samaki wanaopstikana humo ni migebuka halafu ew upo kusin matakoni mwa nchi mm mwanza to kigoma masaa matatu nishafika
Nyumbu ni nyumbu tuu,akili huna na pesa za kufanya adventure huna yet umekalia ubishi kama mkia wa mbuzi..

Mijitu ya Kanda ya Ziwa ni mishamba sana,haya sangara Hawa hapa wanavuliwa Lake Tanganyika.

Jana nilikuwa adventure Moja huko ya Kipili Kwa Mzungu nikapiga hizi picha 👇
IMG_20230324_153134_615.jpg
IMG_20230324_153130_669.jpg
IMG_20230324_153156_308.jpg


Wapo wakubwa zaidi wanaovuliwa na boti siku nikienda mpakani na Zambia nitakuletea picha zingine.
Screenshot_20230310-124724.jpg
IMG_20230324_155652_754.jpg
IMG_20230324_155655_225.jpg
IMG_20230324_155657_254.jpg
 
Watu wa Kanda iliyolaaniwa na njaa eti wanataka kushindana na Nyanda za Juu,haitokaa itokee 🤪🤪

 
Huyu anaeisema bukoba vibaya ni mpumbavu na hajui alifanyalo kinachoiharibia bukoba ni vitu viwili ni stand pamoja na soko tu lkn bukoba ipo vzur mnoo Wana taasisi nyingi kama mashule,makanisa na mahoteli pia Wana barabara za lami nzuri mnoo had vijijini Wana kanisa zuri la catholic kuliko lolote Tz ila likiisha la mwanza kawekamo ndo inafuatia pale bukoba manispaa tu wanashule za advance kama 7 ihungo,nyakato,kahororo,rugambwa,bukoba sec,omumwani na private nyingi sana nilikuwepo juzi bukoba sasa hv Wana had magorofa 8 kama 5 ndo uje ulinganishe na ujinga wa njombe pia bukoba Wana uwanja mzur wa mpira kaitaba
 
Back
Top Bottom