waza the white pelle
Member
- Nov 24, 2022
- 85
- 36
Hapo ndo mwanza tena kwa mwanza hiyo ndo tuseme sehem ya chini lakn kwa mbeya nadhani hata hyo hawana..Ni full kutu mwanzo mwishoUchafu uliopost huu Kwa mwanza ni sawa na mabatini uswahilini ndo leval ya picha zote ulozopost maana at mtaa wa H- BABA hapa mwanza unawakalisha nyie mbeyaView attachment 2545178
Hiyo picha ya kwanza hao ndiyo Wafanyakazi wa hiyo Hotel? Kweli hii ni Njombe
Hii kituo kipo karibu ila haina station jombe et inalala na kuamkia safari Bali inapita hyo ni TAZARA
Hawana ni aibu mm mbeya sio kusimuliwa nimetoka nina miezi miwili TU yaan ukifka hutaman kwanz stand TU unaweza Ganda Kwa gar ukahisi safar bado Sasa ingia mtaani utaskia uhindini ukifika ni kama sisi mwanza mtaa wa kisesa na tena kisesa Ina maghorofa wao hamna halafu ukabila mwingi kama sio mzawa ukitoa hoja hata ni chanya wanakataa ila akitoa mzaliwa hata ujinga utaskia wanaunga mkono na hicho kimefanya watendaji wengi kuigaya mbeya ikawa ya hovyoHapo ndo mwanza tena kwa mwanza hiyo ndo tuseme sehem ya chini lakn kwa mbeya nadhani hata hyo hawana..Ni full kutu mwanzo mwisho
Kaka amka usingzin utakuja kukojoa kitandani ya iringa ufananishe ukubwa na kahama polee sanaa kahama imeizd iringa watu na mapato tu vingne vyote nothing imepata hadhi ya manispaa juzi tu haina hata miaka mi5 uje ufananishe mji uliokiz level za manispaa miaka ming iliyopitaIringa wana cbd nzuri lakini si mji mkubwa kama kahama.
Huo ni utani na sio ukwel yan kahama ilivyochafu ufananishe na clean city kama iringa kwel tz kuna vichaa wengKahama Ni big slum Hakuna Mji Kati ya hiyo hapo Juu inaweza linganishwa..
Kimji gani hicho kimejaa mavumbi na mabanda eti Manispaa,Hilo Ni gulio size yake Ni Tunduma.
Njombe region againKAHAMA inapaswa kushindana na IRINGA na sio MBEYA,NJOMBE,RUVUMA,LINDI
Kahama Ni big slum Hakuna Mji Kati ya hiyo hapo Juu inaweza linganishwa..
Kimji gani hicho kimejaa mavumbi na mabanda eti Manispaa,Hilo Ni gulio size yake Ni Tunduma.
Kahama ikifka level hzi basi tutapata shida tafuta miji mikubwa tanzaniaKahama Ni big slum Hakuna Mji Kati ya hiyo hapo Juu inaweza linganishwa..
Kimji gani hicho kimejaa mavumbi na mabanda eti Manispaa,Hilo Ni gulio size yake Ni Tunduma.
Kahama hii au kuna nyngne ifanane na iringa hiiKAHAMA inapaswa kushindana na IRINGA na sio MBEYA,NJOMBE,RUVUMA,LINDI
Kahama hiihii ... Kwani iringa mnaizidi nini kahama ongea kwa fact basiKahama hii au kuna nyngne ifanane na iringa hii
Kahama inaizd iringa kwa watu na mapato (mzunguko wa Hela) taja kingne kahama ilichoizd iringaKahama hiihii ... Kwani iringa mnaizidi nini kahama ongea kwa fact basi
Uchangiaji wa pato la taifa .Mahotel .Kahama inaizd iringa kwa watu na mapato (mzunguko wa Hela) taja kingne kahama ilichoizd iringa
Kahama kuna hotel gani hapo boss? ππββοΈUchangiaji wa pato la taifa .Mahotel .