Opportunity Cost
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 8,996
- 6,921
Hakuna cha ku post eeh,Kusini sio level zenu 👇Maskini hakuna Cha kupost
Huku watu Wana Hadi magorofa vijijiniView attachment 1926383View attachment 1926384View attachment 1926387
Hakuna cha ku post eeh,Kusini sio level zenu 👇Maskini hakuna Cha kupost
Huku watu Wana Hadi magorofa vijijiniView attachment 1926383View attachment 1926384View attachment 1926387
Miji uchwara iko huko kwenye hopeless Region😝🙄.Afu toka mumeanza ku post picha mbona sijawahi ona street lights au dual carriage roads za huko kwenu?Endelea kujifariji tu mmejazana kwenye vimiji uchwara vyenu hivo vijiji vipo hoi. Kilimanjaro walijipima ubavu ila hawakuona ndani tena angalau walileta tupicha ila nyie ni maneno tu
MaskiniHali ya Vijijini huko Njombe
View attachment 1927848
View attachment 1927849
View attachment 1927850
View attachment 1927851
View attachment 1927852
View attachment 1927853
View attachment 1927854
View attachment 1927855
View attachment 1927856
View attachment 1927857
View attachment 1927858
View attachment 1927859
View attachment 1927860
View attachment 1927861
View attachment 1927862



Hiyo ikonda imepostiwa hiyoHakuna cha ku post eeh,Kusini sio level zenu
View attachment 1927868
View attachment 1927870
View attachment 1927871
View attachment 1927872
View attachment 1927873
View attachment 1927874
View attachment 1927876
View attachment 1927877
View attachment 1927878
View attachment 1927879
View attachment 1927880
View attachment 1927881




Vijiji viko kila sehemu,cheki hapa uone Vijijini vilivyo safi 👇Sijawahi kuona mnapost vijiji vya njombe na huko kusini.
Au ndo nyie mnaogopa kurogwa mkijenga vijijini![]()
Sorry hii ndo njombeVijiji viko kila sehemu,cheki hapa uone Vijijini vilivyo safi
View attachment 1927907
View attachment 1927908
View attachment 1927909
View attachment 1927910
View attachment 1927911
View attachment 1927912
View attachment 1927913
View attachment 1927914
View attachment 1927915





Kahama ilishashindwa zamani sana mumebakia kubwabwaja hakuna cha kuonyesha.Sorry hii ndo njombe
Kahama tu inawazidi mbali Sana.
Hakuna tofauti na buguruni na tandikaView attachment 1927916View attachment 1927917
Yaan hiyo manzese oh sorry buguruni kumbe njombeKahama ilishashindwa zamani sana mumebakia kubwabwaja hakuna cha kuonyesha.
Weka picha za Kahama sio maneno.

ni matatizo matupu
Sasa si mnalima mahindi? Au unataka tulime mahindiSisi nyee nyee tunaongoza kuzalisha,ukipata kihenge hata kimoja kama hivi kimejengwa kwenye huo mkoa useless ni tag.
Vihenge hivi vya kisasa vimejengwa na Serikali kwenye mikoa yenye uzalishaji mkubwa na ya kimkakati ya Rukwa,Songwe,Ruvuma,Njombe,Manyara na Dodoma.
Hapa ni vihenge vya Sumbawanga
View attachment 1927949





Hutu tupicha toka Uzi umeanza hakuna jipya 😁😁.Yaan hiyo manzese oh sorry buguruni kumbe njombeni matatizo matupu
Mutukula misenyi huu mkoa nashindwa kumaliza JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala you takwimu
View attachment 1927950View attachment 1927951View attachment 1927954View attachment 1927955View attachment 1927957
Kwa hiyo vihenge ni vya kuhifadhia mahindi tuu au na Mazao mengine?Sasa si mnalima mahindi? Au unataka tulime mahindi
Sukari ya kagera sugar
Kagera usipoila basi utainywaView attachment 1927960
Maharage yanasafirishwa haraka Sana msije mkafa bure.Kwa hiyo vihenge ni vya kuhifadhia mahindi tuu au na Mazao mengine?
Maharage mnahifadhia wapi? Si mnaongoza nyie?
Hatuna huo ujinga labda muwasafirishie majirani wenu ambao ni desert regions,hakuna Mazao yoyote ya kilimo hutoka mikoa yenu hiyo kuja Kusini,sisi ndio tunawaletea.Maharage yanasafirishwa haraka Sana msije mkafa bure.
Halafu wew ni mshamba Sana hayo maghala sijui vihenge si hata mtu binafsi anaweza kumili
watu wa kusini mna nini lakini sasa hizi ndo nyumba za vijijini kwenu kweli?? Alafu mpo hapa majigambo!!! Kumbe bora ule uzi wa Bukoba na moshi walijitahidi kidogo
Tupo tunapoteza muda
Maskini
Yan Kama na sisi tuanze kupost mashamba ya chai,kahawa, migomba na miwa
Nyie huko kusini hamna nyumba nzr vijijini kubalini tu
View attachment 1927869View attachment 1927898View attachment 1927899View attachment 1927900View attachment 1927901View attachment 1927902View attachment 1927903
Eti na Kabukoba Village town nako kanajiita Manispaa 😀😀 yaani ni aibu hakana street lights,hakuna duala carriage roads,hakana service roads,hakuna stands na mbaya zaidi ni kamanispaa maskini hakuna income generating activities.Tuna Miji mizuri, ya kisasa na iliyojengeka vema. Kama vile Iringa, Mafinga, Songea, Mbeya, Sumbawanga,
Huko kanda ya ziwa ni mwanza pekee,
Bukoba hamna tofauti na halmashauri ya mji wa Kyela.
Eti na Kabukoba Village town nako kanajiita Manispaayaani ni aibu hakana street lights,hakuna duala carriage roads,hakana service roads,hakuna stands na mbaya zaidi ni kamanispaa maskini hakuna income generating activities.
Hako kamji kamebakia kutegemea fadhila za serikali Kuu na remittances za wakazi wake walioko nje ya mkoa huo.
Hata airport wanayolingia ni matokeo ya kukosekana kwa barabara za maana kwa miaka mingi kuunganisha na sehemu zingine za nchi ,ikabidi airport iwe suluhisho la fasta kama ilivyo Kigoma.
Kuishi kimji kama Bukoba ni kutaka kufa ukiwa maskini.Nje ya Mwanza na Kahama hakuna kitu Kanda ya Ziwa kulinganisha na Kusini tuna miji mikubwa mingi Sana na inakua na ina mzunguko Mkubwa wa pesa.
Hiv ukikanyaga hii vumbi unaoga Mara ngap vileNaona umeishiwa tupicha twa ghorofa za Bukoba sasa naendelea kukupa nyundo za utosi kutoka Swax town
View attachment 1928085
View attachment 1928087
View attachment 1928088
View attachment 1928089
View attachment 1928090
View attachment 1928091
View attachment 1928092
View attachment 1928093
View attachment 1928094
View attachment 1928095
View attachment 1928096
View attachment 1928097
View attachment 1928099


