Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Kajunguti hospital misenyi
download%20(2).jpg
IMG-20130104-WA005.jpg
images%20(62).jpg
 
watu wa kusini mna nini lakini sasa hizi ndo nyumba za vijijini kwenu kweli?? Alafu mpo hapa majigambo!!! Kumbe bora ule uzi wa Bukoba na moshi walijitahidi kidogo
Tupo tunapoteza muda
Huko kusini hakuna kitu kabisa.

Bora hata wale wa Moshi walileta nyumba zao wanajitahidi but huko kusini ni kurogana kurogana
 
Huko kusini hakuna kitu kabisa.

Bora hata wale wa Moshi walileta nyumba zao wanajitahidi but huko kusini ni kurogana kurogana
Tuliongelea mjini wakasema eti wanataka vijijini kumbe huko ndo hamna kabisa naona tunapoteza muda mara mtu analeta mji wa Sumbawanga nao anapost vituo vya mafuta wakati huku vijiji vingi vituo vya mafuta vipo zaidi ya kimoja na sio barabara kuu
 
watu wa kusini mna nini lakini sasa hizi ndo nyumba za vijijini kwenu kweli?? Alafu mpo hapa majigambo!!! Kumbe bora ule uzi wa Bukoba na moshi walijitahidi kidogo
Tupo tunapoteza muda
Tujenge majumba kijijini valueless Ili iwaje? Weka picha acha porojo
 
Back
Top Bottom