Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Ukiona mkoa una mji mmoja tu ujue huo mkoa hauna ushindani na huo ndo mkoa wa kagera ebu angalieni mikoa yenye miji miwili ndani yake ilivo na ushindani mkubwa wa miji yao kukua kwa kasi mfano njombe Ina njombe tc na makambako tc , shinyanga mc na kahama mc , ruvuma songea mc na mbinga tc ,iringa mc na mafinga tc ,Moro mc na ifakara tc, Dom cc na kondoa tc, mtwara mc ,masasi tc na nanyamba tc , musoma mc na tarime tc kuwa na miji miwili ndani ya mkoa mmoja kunaleta ushindani mkubwa Sana wa kimaendeleo tofauti na mji ukiwa mmoja mnajibweteka mji unazidi kudumaa Kama kagera😁😁😁😁
Kamji kenyewe chenga tupu sasa unategemea maendeleo yatoke wapi?
 
Nyie ni washamba


Unafikiri kuwa na rural urban migration kubwa ni sifa. Hujui kwamba ni indicator ya poverty huko vijijini na inaongeza matatizo lukuki kwa miji inayokuwa?!!


Mkoa wa kagera asilimia ya vijiji vyake viko vzr kimaendeleo ndo maana watu hawajisumbui kuamia vijijini.( Watu hutoka vijijini asubuhi na kuja mjini bukoba kufanya shughuli zao na hurudi vijijini jioni ndo maana mji wa bukoba unafolen asubuhi na jion)


Acheni ujinga wa miji bakini katika vijiji vyenu na mviendeleze.



Nchi za wazungu zilizoendelea watu wa vijijini Wana income kubwa kuliko watu wa mijini



Halafu ulidanganywa na nani kuwa kagera Kuna mji mmoja

Kwa hali ya maisha huko vijijini .
Kuna haja gani ya kuhamia mijiniView attachment 1925663View attachment 1925664View attachment 1925665View attachment 1925666View attachment 1925667View attachment 1925668View attachment 1925669View attachment 1925671
Visingizio as usual , maendeleo yako centred mijini huko Vijijini ni mashambani unaweza ishia kuumwa na nyoka na mbu wenye makazi yao.

Hao unaposema wamejenga Vijijini mostly wanakuja kusalimia kutoka town na kusepa huko wameacha wazee na mabeki tatu.Uishi kijijini una akili timamu? Utapata wapi pesa?

Mbona wewe hauko kijijini? Bata utoe wapi? Tatizo la huko mashambani kwenu hakuna miji wala ligi kila mtu yuko kwenye vichaka vya migomba.
 
Endelea kujifariji tu mmejazana kwenye vimiji uchwara vyenu hivo vijiji vipo hoi. Kilimanjaro walijipima ubavu ila hawakuona ndani tena angalau walileta tupicha ila nyie ni maneno tu
Kama huna macho tukusaidiaje? 😝😝 Endelea kujifariji.

Hizi sio picha ni nini? 👇👇

Screenshot_20210806-211204.png


Screenshot_20210806-211033.png


Screenshot_20210806-211252.png


Screenshot_20210806-211311.png


Screenshot_20210806-211303.png


Screenshot_20210806-204620.png


Screenshot_20210806-204601.png
 
Hiyo uliyotaja hapo ni miji au mukusanyiko wa nyumba zilizojengwa hovyo hovyo

Eti makambako,sijui njombe,tarime,masasi,ifakara,nk hiyo ni miji
Huo uswazi tu Wala haina haja ya kuwa mji.



Eti bukoba mji umelala? Bukoba imepanuka Hadi Sasa inaungana na mji mdogo wa kemondo km 20 away from bukoba
Kupanuka kupi mnaingizwa na hadi Katoro nyie? Mungekuwa Mji mkubwa hivyo si tungewaona hata kwenye list ya Miji yenye mzunguko wa pesa? Labda mnapanuka kwenye poverty rates 😝😁🏃

Ukiikuta Bukoba Kwenye hii list hapa nitag 👇👇

Screenshot_20210819-135139.png


Screenshot_20210819-135201.png
 
Ndoo maana tulikwambia hata mkoa wa njombe huu ujui vizuri ebu tukusaidie data vizuri ndo ujue tunavo kwambia mkoa umejengeka ukitoka idofi makambako tc Hadi njombe tc ni km 69 ni full makazi Tena ya kisasa unakuja idofi makambako tc Hadi ilembula mpakani na mbeya full makazi km45 bado unakuja njombe tc Hadi makete dc full makazi zaidi ya km 100 ,na hizo ni main road bado road zinazo unganisha miji na vijiji hatujaongelea .acha kufa na historia ya zamani mambo yalisha badilika mzee
Fungua pdf hapa chini uone ramani nzuri ya Njombe na mtandao wa barabara kuu.

Ukishaona Mji hauna junction kuja kukua ni kitendawaili
 

Attachments

Visingizio as usual , maendeleo yako centred mijini huko Vijijini ni mashambani unaweza ishia kuumwa na nyoka na mbu wenye makazi yao.

Hao unaposema wamejenga Vijijini mostly wanakuja kusalimia kutoka town na kusepa huko wameacha wazee na mabeki tatu.Uishi kijijini una akili timamu? Utapata wapi pesa?

Mbona wewe hauko kijijini? Bata utoe wapi? Tatizo la huko mashambani kwenu hakuna miji wala ligi kila mtu yuko kwenye vichaka vya migomba.
Nyumba Kama hii

Mbu watatoka wap.


Nyie endeleeni kukimbilia mijini.

Sisi huku ishakuwa utamaduni watu kujenga vijijini.


Au mnaogopa kurogwa maana nilisikia mtu akijenga nyumba kijijini anarogwa
JamiiForums97465061.jpg
JamiiForums312407424.jpg
 
Fungua pdf hapa chini uone ramani nzuri ya Njombe na mtandao wa barabara kuu.

Ukishaona Mji hauna junction kuja kukua ni kitendawaili
Unaona mulivyo wapumbavu na makusanyo yenu

Kwa hiyo chalinze kumeendelea kuliko kigamboni,ilemela na morogoro


Chalinze Kuna viwanda vingi lakin sio kwamba Kuna maendeleo ya hivyo
 
😀 😀 ukweli fulani mchungu sana. Isingekuwa awamu ya 5, Kahama ingekuwa mbali sana by now
Kitu gani kilikuwepo awamu ya 5 hakipo leo Kama sio upendeleo wa kuandishia hadhi bila vigezo
 
Back
Top Bottom