instanbul
JF-Expert Member
- Jun 26, 2016
- 12,586
- 19,680
Miji ilivyojengeka indeed[emoji23][emoji23][emoji23]Tuna Miji mizuri, ya kisasa na iliyojengeka vema. Kama vile Iringa, Mafinga, Songea, Mbeya, Sumbawanga,
Huko kanda ya ziwa ni mwanza pekee,
Bukoba hamna tofauti na halmashauri ya mji wa Kyela.
Mwenzenu kapost njombe halisi[emoji23][emoji23]