sinajinasasa
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 2,989
- 4,162
Nkema wane, ole he?Naifahamu Njombe sana sana.. kuna miaka biashara ya mbao ilikua juu vibaya sana sana.. naijua hii biashara ... lakini huwezi ifananisha Njombe na Kahama..maybe weka battle la Njombe na Mafinga..na Mafinga itaibuka kidedea...! Njombe imekuwa uswekeni.. Zamani kina mama walikua wanajiita mama mbao sasa hivi watu wanaenda na aluminium and the like... uliza wauza mbao wa pale mwnge kama wanauza kma 7yrs ago!



