Opportunity Cost
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 8,996
- 6,921
Ukibanwa kende lazima uruke ruke kama Chura alipigwa teke 😀😀Unaona mulivyo wapumbavu na makusanyo yenu
Kwa hiyo chalinze kumeendelea kuliko kigamboni,ilemela na morogoro
Chalinze Kuna viwanda vingi lakin sio kwamba Kuna maendeleo ya hivyo![]()
Mapank na wajinga wenzie anatakiwa kufahamu kwamba Njombe ni Mkoa wa kimkakati Kitaifa sio kama hiyo useless regio ya Kagera.Sasa ka mradi kamoja kelele kibao mkoa was njombe una zaidi ya miradi minne ya umeme
Awamu ya 5 iliwafanyaje Kahama wakati ndio Rais aliitangaza kuwa Manispaa kwa upendeleo bila kupitia michakato stahiki?😀 😀 ukweli fulani mchungu sana. Isingekuwa awamu ya 5, Kahama ingekuwa mbali sana by now
Njombe sio Ngara wala BiharamuloNipe mfano wa Kijiji chenye nyumba za Tembe Njombe
Nimekuuliza mbona wewe huishi kijijini kama kuzuri unakwepa.Hizo ni nyumba za kulaza wazee mnapoenda Vijijini hakuna mtu timamu ataacha kusaka pesa mjini akaishi kijijini.Kuna haja gan ya kuishi mjini Sasa.
Bukoba vijijiniView attachment 1926227View attachment 1926228View attachment 1926229View attachment 1926230View attachment 1926231
Halmashauri Kama chalinze Kuna viwanda vingi ndo vinatoa hayo mapato sio kile kitongoji kichoitwa mjiUkibanwa lazima uluke Luke kama Chura
Hii ni miji inayochipukia kwa hiyo overtime will catch up and outrun your old dilapidated towns.
Kinacholeta changes ni nguvu ya pesa,kwa miaka mingi hatukuwepo kwenye makusanyo ila tumeingia recently na ndio maana tunaendelea kwa kasi.
Wewe Baki kuimba zilipendwa

Maskini hakuna Cha kupost


Swax inaendelea kupiga nyundo za utosi village town ya Bukoba.👇Nyie mnaogopa kurogwa mkijenga vijijini kwenu
Elimu ni kitu Cha msingi Sana.
Halafu si nyie mlikuwa mnaua watoto kwa ushirikina
. vijijini huko bukobaView attachment 1926153View attachment 1926154View attachment 1926156View attachment 1926157
Mimi sisemi iliyopo nasemea under construction 🙂Sasa ka mradi kamoja kelele kibao mkoa was njombe una zaidi ya miradi minne ya umeme
Vipi Kuhusu ile village town ya Bukoba inayoitwa Manispaa kwa nini haina mapato? 😁😁😝😝 Unatapatapa.Halmashauri Kama chalinze Kuna viwanda vingi ndo vinatoa hayo mapato sio kile kitongoji kichoitwa mji![]()
UselessMapank na wajinga wenzie anatakiwa kufahamu kwamba Njombe ni Mkoa wa kimkakati Kitaifa sio kama hiyo useless regio ya Kagera.

tunakulisha!? 

Ukipata Service station kali kama hizi za Swax hapo Bukoba village town nitag 🙄Mimi sisemi iliyopo nasemea under construction 🙂
Kwan bibi na babu zangu wanaishi wap.Nimekuuliza mbona wewe huishi kijijini kama kuzuri unakwepa.Hizo ni nyumba za kulaza wazee mnapoenda Vijijini hakuna mtu timamu ataacha kusaka pesa mjini akaishi kijijini.

Huo mji wako linganisha na mutukula huko misenyiSwax inaendelea kupiga nyundo za utosi village town ya Bukoba.
View attachment 1926385
View attachment 1926386
View attachment 1926388
View attachment 1926389
View attachment 1926390
View attachment 1926391
View attachment 1926392

Kwani akina bibi na Babu wanahitaji majumba makubwa kama hayo kwa ajili gani?Kwan bibi na babu zangu wanaishi wap.
Hiv ulishamjengea nyumba bibi yako au ndo unaogopa kurogwa![]()
Toa uchafu hapa mkuu ,hivyo Vijiji vya ujamaa vianzishie thread yake .Huo mji wako linganisha na mutukula huko misenyiView attachment 1926403
Unaona ulivyo na shida ya elimu Sasa.Kwani akina bibi na Babu wanahitaji majumba makubwa kama hayo kwa ajili gani?
Jumba kubwa liko kijijini ukitongwa hata milioni moja hupati wa kukupa si banki wala individual ,useless mind ndio zinafanya huo ujinga.
Wewe huenda una ile elimu yenu ya makaratasi ila huna elimu ya pesa na property value.Unaona ulivyo na shida ya elimu Sasa.
Baada ya kamataka kamata na fungia ya akaunti, biashara za Kahama zilishuka sana. Vibrancy ya Kahama 2016 kurudi nyuma sio sawa na sasa hivi. Kwa aliyeishi pale atanielewaAwamu ya 5 iliwafanyaje Kahama wakati ndio Rais aliitangaza kuwa Manispaa kwa upendeleo bila kupitia michakato stahiki?