Wewe ndio utwambie ni kukumbushe kuwa barabara ya Dar-Njombe-Songea ni kongwe sanaEh eh hiv Kati ya njombe , sumbawanga na mbeya na bukoba ni wap lami iliwahi kujengwa
Nyie Hadi leo mnaangaika na barabara za wilaya 2021?
Halafu mtakuwa watu wafupi maneno mengi but nothing nothing







