Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Kwa maneno inapiga ila on grounds iko hivi mbeya CC =15 b@Ilemela =7b
Funza ni mdudu hatari sana kwa ubongo, kwa taarifa yako California hukusanya zaidi ya New York, lakini New York ni kuliko California. Siku zote kodi kandamizi kama za hapa bongo hukusanywa kwa mandezi kama ya kusini huko. Huku town hesabu zinachezewa tu na ndo maana watu wanapiga vitu vya maana huku huko mkiendelea kutafunwa na funza tu.
 
New York na California has nothing to do with Umaskini lake zone.

Njombe hotes,the paradise on the Earth. 😆😆😆👇👇👇.Tunachakaza wazee wa new York na California

Screenshot_20210806-211311.png

Screenshot_20210806-211033.png

Screenshot_20210806-211229.png

Screenshot_20210806-211252.png

Screenshot_20210806-211303.png

Screenshot_20210806-211244.png

Screenshot_20210806-211235.png

Screenshot_20210806-211219.png

Screenshot_20210806-211204.png

Screenshot_20210806-211211.png
 
Umasikini wako ni wako binafsi sie hautuhusu we komaa kimpango wako na mafunza yako, tafuta pesa uukatae ujikomboe kwenye ufukara na kuliwa funza miguuni.
 
Pesa zinaenda hazina, na katika mikoa inayofaidi pesa za hazina ni pamoja na kanda ya ziwa, serikali haijawahi kututenga kama ilivyoitenga kusini, na ndo maana Rais juzijuzi tu kazindua ujenzi wa SGR kanda ya ziwa kwanza kabla ya kusini make kipaumbele cha nchi hii ni pwani na kanda ya ziwa kwanza afu wengine ndo wanafuata, na wa mwisho kabisa ni kusini.
Hiyo mlichepusha baada ya kupewa mamlaka Kama mlivyojitanga Kahama Municipal Council bila kua na vigezo.😂😂😂
 
Hiyo mlichepusha baada ya kupewa mamlaka Kama mlivyojitanga Kahama Municipal Council bila kua na vigezo.
Kikwete je alivyotangaza ilemela manicipal ndani ya jiji la Mwanza! Unasemaje?
 
Umasikini wako ni wako binafsi sie hautuhusu we komaa kimpango wako na mafunza yako, tafuta pesa uukatae ujikomboe kwenye ufukara na kuliwa funza miguuni.
Ni bakora na sindano tuu 💉💉💉

Njombe again👇

Screenshot_20210806-212806.png

Screenshot_20210806-212831.png
 
Hiyo mlichepusha baada ya kupewa mamlaka Kama mlivyojitanga Kahama Municipal Council bila kua na vigezo.😂😂😂
Kijiji uchwara hakina hata vigezo mwendazake wao akafanya haraka kuandaa mkataba wa kwao Ili mradi usipigwe chini.

Pesa nyingi ya exports ya dhahabu inatoka huko kwao bila shaka wanatumia hiyo kulipia miradi hewa ambayo haitawasaidia kuwatoa kwenye umaskini.

Meanwhile tunasubiria migidi yetu ya matilioni huku Kusini I kick off
 
This time kila mtu atakula kwa urefu wa kamba yake.
Na ndo maana pwani na kanda ya ziwa wenye kamba ndefu ndo wanafaidi mema ya nchi, kusini endeleeni kusubiri tutakuwa tunawafikiria kidogokidogo make hamna msaada wowote mliotoa nchi hii, Mwana kanda ya ziwa hayati Mwalimu Nyerere ndo baba wa taifa hili ndo alileta uhuru wakati huo wanakusini mko busy mnatoleana funza tu, na bila baba wa taifa mwanakanda ya ziwa J. K Nyerere hata reli mngekuwa mnaionea kwenye tv tu, na mjue hatukujenga reli kwa ajili yenu bali tulijenga kwa ajili ya kufanya biashara na Zambia na ndo maana tulishirikiana nao, na mapato yanayopatikana tunajenga kanda ya ziwa na pwani kwanza afu wengine ndo tunawafikiria kidogo ila kusini tunawaweka mwisho kabisa.
 
We mshamba wa kisukuma acha kubwabwaja wishful thinking,gazeti reeefu afu pumba tupu.

Juzi si umetoka kwenu kuja kufuata matibabu Consolata Hospital Ikonda kwa nini hukuenda Bukwimba? 😆😂

Nakutajia hospital nyingine ya ukweli inaitwa Igogo iko Tukuyu,ukishindwa hiyo nenda Peramiho..

Kusini kumesahaulika eti? Mimi ni vitendo tuu sio maneno,Mikeka(lami) hii hapa inazidi kutandazwa kuanzia mwaka huu 2021👇👇

Screenshot_20210806-225425.png

Screenshot_20210806-225349.png

Screenshot_20210806-225010.png

Screenshot_20210806-224918.png

Screenshot_20210806-224854.png

Screenshot_20210806-224836.png

Screenshot_20210806-224811.png

Screenshot_20210806-224707.png

Screenshot_20210806-224646.png
 
We mshamba wa kisukuma acha kubwabwaja wishful thinking,gazeti reeefu afu pumba tupu.

Juzi si umetoka kwenu kuja kufuata matibabu Consolata Hospital Ikonda kwa nini hukuenda Bukwimba?

Nakutajia hospital nyingine ya ukweli inaitwa Igogo iko Tukuyu,ukishindwa hiyo nenda Peramiho..

Kusini kumesahaulika eti? Mimi ni vitendo tuu sio maneno,Mikeka(lami) hii hapa inazidi kutandazwa kuanzia mwaka huu 2021

View attachment 1883324

View attachment 1883325

View attachment 1883326

View attachment 1883327

View attachment 1883328

View attachment 1883329

View attachment 1883330

View attachment 1883331

View attachment 1883332
We pimbi kweli, yaani nitoke Mwanza kwenye huduma bora za afya nije nitibiwe huko polini?! Hapo ikonda nilienda kumcheki sister yangu tu ni daktari hapo, na kwa taarifa yako huko kusini ni kwetu pia upande wa mother, mie mwenyewe nimezaliwa Mbeya na huko kusini nakujaga sana tu na nisingekuwa nimeshaandika shit kuhusu serikali humu ningeweka picha mbalimbali nikiwa mbeya, songea, Tunduma, Sumbawanga, mbinga, Nyasa, Ikonda, namtumbo, nk. 80% ya ndugu zangu upande wa mama wako kusini, na Kuna ndugu zangu wengi tu upande wa baba wako mbeya na mmoja ni mchungaji maarufu tu hapo mbeya mitaa ya Sae. Haiwezi kupita miaka miwili sijaja huko polini nyumbani kwao Mama.
 
Tuseme ukweli huko unakopost ni pabaya.

Halafu Kuna vumbi sana
 
Ukipata barabara za mitaani zenye mkeka kama huu hapa Bukoba nzima nitag.Swax

View attachment 1882930

View attachment 1882931

View attachment 1882932
Hio sumbawanga yako unayopost asilimia 60 haina lami.

Huoni mavumbi hayo mbele ya hizo nyumba?

Halafu unapost mjini
Mimi napost vijijini huoni tofauti

Anyway tuko musibani huku bukoba vijijini ndani ndani
Screenshot_20210806-231947.jpg
Screenshot_20210806-232522.jpg
Screenshot_20210806-232055.jpg
Screenshot_20210806-232028.jpg
Screenshot_20210806-232043.jpg
Screenshot_20210806-232116.jpg
 
Tuseme ukweli huko unakopost ni pabaya.

Halafu Kuna vumbi sana
Mueleze huyo, katokea makete ndani ndani huko, yeye mjini yake ni mbeya, kwa kuwa hajatembea bas ndo anaona ni boonge la mji kumbe ni likijiji likuuubwa.
 
Back
Top Bottom