Opportunity Cost
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 8,996
- 6,921
Mapanki kwa kujifariji hujambo..Njombe hiyo 👇Na bado Geita inakuwa Municipal mapemaa tu kabla ya Njombe
Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
Mapanki kwa kujifariji hujambo..Njombe hiyo 👇Na bado Geita inakuwa Municipal mapemaa tu kabla ya Njombe
Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
Juzi tu hapa huko njombe watu wamegua ndani na jiko la mkaa.Nani hajaelimika? Hizo nyumba ziko nyingi tuu mitaani
Kumbe mji wenu una vibanda ka vyote.
Picha za juu za vijiji vya itahwa bukoba.
Huo mchakato Kibaha na Geita TC wamepitia tokea 2019
Ndio mnalima chai ilaa hamuizidi njombe mashamba ya chai yapoo yakutoshaa ndo nyie bukoba mashamba ya kahawa njombe yapoo ila bukoba yapo ya kutosha Sanaa ndo zao kuuHamko peke yenu mnaolima chai wadau bukoba chai inalimwa Sana.
Mashamba ya Chai bukoba na kiwanda Cha chai bukobaView attachment 1881651View attachment 1881652View attachment 1881653
Mkuu Njombe imetangazwa kua mkoa mwaka 2012 wakati huo Kagera ukiwa ni mkoa ulioanzishwa mwaka 1962 ukiitwa west Lake Region na baadae kuitwa Kagera mwaka 1979.Maajabu ni kuwa mwaka 2019 Njombe inashika nafasi ya Tatu kwa Utajiri na Kanda ya Ziwa ikiwa haina hata mkoa mmoja top 5 huku ikiongoza kwenye mikoa yenye umasikini Tanzania.Haya ni maajabu.Nyanda za Juu kusini ikiongoza top five mikoa yenye utajiri.Acheni Mambo hayo.Kanda ya Ziwa haitaikuta Nyanda za Juu kusini pamoja kuchepusha Reli😂😂😂Kumbe mji wenu una vibanda ka vyote.
Bukoba ilitangazwa manispaa 1995 huko..
Mimi bado nakutaliisha vijijini huko bukoba.
View attachment 1881767View attachment 1881768View attachment 1881769View attachment 1881770View attachment 1881771View attachment 1881772View attachment 1881773
Yes hizo ni takwimu Kama takwimu nyingine.Mkuu Njombe imetangazwa kua mkoa mwaka 2012 wakati huo Kagera ukiwa ni mkoa ulioanzishwa mwaka 1962 ukiitwa west Lake Region na baadae kuitwa Kagera mwaka 1979.Maajabu ni kuwa mwaka 2019 Njombe inashika nafasi ya Tatu kwa Utajiri na Kanda ya Ziwa ikiwa haina hata mkoa mmoja top 5 huku ikiongoza kwenye mikoa yenye umasikini Tanzania.Haya ni maajabu.Nyanda za Juu kusini ikiongoza top five mikoa yenye utajiri.Acheni Mambo hayo.Kanda ya Ziwa haitaikuta Nyanda za Juu kusini pamoja kuchepusha Reli
View attachment 1881921
Ukitaka kujua tofauti ya Nyanda za juu kusini na Kanda ya Ziwa basi Anza Safari ya Dar-Njombe-Mbeya au Ruvuma na Anza Safari ya Dar-Dodoma-Shinyanga- Mwanza au to bukoba makazi ya Kanda ya Ziwa bado ni duni Sana japo wengine Wana ng'ombe nyingi lakini haziwasaidii.Kanda ya Ziwa hadi leo jamii nyingi haziwezi kuongea kiswahili inabidi uwe na mkalimani.![]()
Sasa kama Wamepitia since then na hawakuwa granted means hamkukidhi viwango,sisi tumeanza tukiwa tumekidhi viwango vyoteHuo mchakato Kibaha na Geita TC wamepitia tokea 2019
Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
😆😆😆😆 Kanda kuu kwa umaskini TznPole sana. Unalinganisha kanda kuu na utopolo ? Mtatseka sana na Kanda kuu lakini hamna jinsi. Kanda ya Ziwa ndio Tanzania. Endelea kujifaragua huku mikoa yenu , Mbeya ,Songwe, Ruvuma ikivamiwa na wasukuma. Baada ya miaka ishirini mtabaki kama wakimbizi kwenye mikoa yenu kama ilivyo kwa Katavi na Morogoro.
Ni Takwimu zenye uhalisia,lini uliwahi ambiwa Kagera ina maisha mazuri kuliko Njombe?Yes hizo ni takwimu Kama takwimu nyingine.
Kagera hii unayoiona leo imepita huko huko
Wakati ikiwa West lake ilikuwa nyuma ya dar kwa makusanyo na utajiri kabla ya Vita ya kagera.Na majanga mengine mengi ikiwemo kuvunjwa kwa vyama vya kahawa.
Lakin huu mkoa bado umesimama na unazidi kupiga maendeleo Kama kawaida yake.
YES ONE DAY UTARECOVER.
The second largest lake Victoria port bukobaView attachment 1881965View attachment 1881967View attachment 1881968View attachment 1881969
Endeleeni kukusanya mapato.Ni Takwimu zenye uhalisia,lini uliwahi ambiwa Kagera ina maisha mazuri kuliko Njombe?
Yaani mkoa wa juzi tuu unawapiga bao.Take an average raia wa kagera na an average raia wa Njombe unakuta ni Kilimanjaro na kichuguu.
Mwenzako Sexer amesafir kutoka huko Vijijini kwenu kuja kupata huduma za afya Consolata Hospital Ikonda Makete.Mzungu sio mjinga
View attachment 1882521
View attachment 1882522
IjuganyondoEndeleeni kukusanya mapato.
Huwezi tenganisha kagera na elimu hata kidogo
Kata hii ya ijuganyongo Ina shule tano za sekondari . Ni wew tu uchague usomee wapView attachment 1882547
Yes ijuganyondo
Pesa ndio nguvu yetuEndeleeni kukusanya mapato.
Huwezi tenganisha kagera na elimu hata kidogo
Kata hii ya ijuganyongo Ina shule tano za sekondari . Ni wew tu uchague usomee wapView attachment 1882547
Kanda ya ziwa kuna kampuni ya kuunda Meli, Ferry, nk. Na inafanya kazi hadi huko kusini ziwa nyasa, je huko kwenu ipo? Kanda ya ziwa kuna tv station na radio zenye coverage nchi nzima hadi nchi jirani, je kusini zipo? Kusini level yenu ni kanda ya magharibi.Asikudanganye mtu mkuu moja ya kanda potential Sana kwa Tzn ni Southern Highlands maana kuna kila kitu.
Kule Kaskazini labda Kagera na Mara ndio iko relatively unexploited but mikoa mingine ya Kanda ya Ziwa hamna kitu yaani siku madini yakikata kunasalia hakuna cha maana.
Sasa Kusini kila kitu kipo si madini ,misitu au ardhi ya kilimo hadi utalii vyote hivi havijavunwa changamoto kubwa ni miundombinu bado haijafinguliwa.
Sasa Kusini kila kitu kipo si madini ,misitu au ardhi ya kilimo hadi utalii vyote hivi havijavunwa changamoto kubwa ni miundombinu bado haijafinguliwa.