Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Kijana huu mji ndo wa kulinganisha na bukoba kweli?

Wamejengewa hizo barabara sijui dual ndo mnaona maendeleo?

Kama hujui nyuma ya mwanza bukoba ndo inafuata kwa miundombinu na majengo Kanda ya ziwa

Bukoba hakuna mtaa ambao hauna barabara ya lami na Wala hawajawahi pata hiyo miradi

Bukoba Kuna airport kubwa,nzr ( jengo la abiria linazidi Hadi la mwanza) na iko busy na inapokea abiria 60000 kwa mwaka. Na ipo top five nchini. Atcl route ya dar mwanza bukoba ndo inawalipa Sana kwa route za ndani .

Bukoba Kuna uwanja mzr Sana wa michezo wenye nyasi bandia kaitaba stadium

Bukoba kuna bandari kubwa mbili bukoba custom na kemondo zote zinapokea kila siku meli kubwa Kama Victoria. Bandari ya bukoba ndo ya pili baada ya mwanza Kanda ya ziwa.

Umeme,maji na mawasiliano kwa bukoba sio chida. Umeme unatumika wa Uganda.

Mji huu wa sumbawanga ndo wa kulinganisha na bukoba kweli?

View attachment 1877849View attachment 1877850
Achana nao hao..ambao hawajawahi fika bkb.

#MaendeleoHayanaChama
 
Screenshot_2021-08-06-16-03-57-15.jpg
 
Kanda ya ziwa kuna kampuni ya kuunda Meli, Ferry, nk. Na inafanya kazi hadi huko kusini ziwa nyasa, je huko kwenu ipo? Kanda ya ziwa kuna tv station na radio zenye coverage nchi nzima hadi nchi jirani, je kusini zipo? Kusini level yenu ni kanda ya magharibi.
Hapo unachoongea wewe ni hivi," kwetu kuna ziwa kwenu halipo" sasa wewe una akili? Unaweza badili nature? Kwamba Songoro marine aweke kampuni huku kwetu ambako usafiri wa maziwani ni kama hautumiki Ili apate nini? By the way Songoro mwenyewe ni damu ya Kusini.

Sisi Kusini tunashindana na Kanda ya Pwani
 
Nadhani kabla hamjaanza kujivunia mapato mngeelimika kwanza.

Watu wa kagera bukoba walielimika kwanza ndo maana wanaisaka pesa na kuja kuwekeza vijijini hiv.

Bukoba vijijini ukiwa unapita ndo utaona umuhimu wa kusoma kuliko kuwa na biashara za stress kariakoo Kama wakinga.

Huku ni vijijini sidhani Kama nyumba hiz Kama hata mbeya mjini zipoView attachment 1881682View attachment 1881683View attachment 1881684View attachment 1881686View attachment 1881687View attachment 1881688View attachment 1881689View attachment 1881690View attachment 1881691View attachment 1881692View attachment 1881693View attachment 1881694View attachment 1881695View attachment 1881696View attachment 1881697View attachment 1881698
Nyumba kali tunaachaje kuwa nazo ikiwa tunapata pesa? Sema hivi hiyo Kazi ya kuingia mitaani kupiga picha ni hobby za watu wenye blogs za picha.

Ila baadhi yake ni kama hizi ,Swax moja 👇👇

IMG_20210806_145109_509.jpg

IMG_20210806_145123_254.jpg

IMG_20210806_145333_997.jpg

IMG_20210806_145354_951.jpg

IMG_20210806_150044_953.jpg

IMG_20210806_150158_104.jpg

IMG_20210806_153104_652.jpg

IMG_20210806_153146_679.jpg

IMG_20210806_153450_303.jpg

IMG_20210806_153519_127.jpg

IMG_20210806_153739_895.jpg

IMG_20210806_154331_973.jpg

IMG_20210806_154334_207.jpg
 
Hapo unachoongea wewe ni hivi," kwetu kuna ziwa kwenu halipo" sasa wewe una akili? Unaweza badili nature? Kwamba Songoro marine aweke kampuni huku kwetu ambako usafiri wa maziwani ni kama hautumiki Ili apate nini? By the way Songoro mwenyewe ni damu ya Kusini.

Sisi Kusini tunashindana na Kanda ya Pwani
Kusini Kuna kampuni ya kuunda meli? Kusini Kuna tv na radio station kama startv na RFA za kanda ya ziwa?
 
Ila hiyo hifadhi inanufaisha zaidi Arusha kuliko Simiyu au Mara,sasa hapo mnajivunia kwa lipi?
Serengeti ya kanda ya ziwa ndo inaongoza Tanzania na ndo hifadhi bora duniani, kwa kifupi hifadhi bora duniani iko kanda za ziwa.
 
Serengeti ya kanda ya ziwa ndo inaongoza Tanzania na ndo hifadhi bora duniani, kwa kifupi hifadhi bora duniani iko kanda za ziwa.
Inaongoza kwa lipi? Pesa za hifadhi anafaidi nani? Hakuna airport,hakuna hotel mumeishia kuongoza mdomoni afu pesa wanakula Arusha
 
Radio na tv za ndani ya mikoa ziko nyingi sana
Hata pale karagwe Kuna radio inaitwa fadeco fm, tuonyeshe tv iliyoko kusini yenye coverage nchi nzima, na radio pia ya namna hiyo.
Kanda ya ziwa kuna startv, RFA, na Kiss FM tangu mwaka 1996. Haya tuonyeshe za kusini kama zipo.
 
Inaongoza kwa lipi? Pesa za hifadhi anafaidi nani? Hakuna airport,hakuna hotel mumeishia kuongoza mdomoni afu pesa wanakula Arusha
Pesa zinaenda hazina, na katika mikoa inayofaidi pesa za hazina ni pamoja na kanda ya ziwa, serikali haijawahi kututenga kama ilivyoitenga kusini, na ndo maana Rais juzijuzi tu kazindua ujenzi wa SGR kanda ya ziwa kwanza kabla ya kusini make kipaumbele cha nchi hii ni pwani na kanda ya ziwa kwanza afu wengine ndo wanafuata, na wa mwisho kabisa ni kusini.
 
Hata pale karagwe Kuna radio inaitwa fadeco fm, tuonyeshe tv iliyoko kusini yenye coverage nchi nzima, na radio pia ya namna hiyo.
Kanda ya ziwa kuna startv, RFA, na Kiss FM tangu mwaka 1996. Haya tuonyeshe za kusini kama zipo.
Umesahau Barmedas TV Mwanza (Start imes)

Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom