Mapank
JF-Expert Member
- Mar 8, 2011
- 4,169
- 6,182
Hotel au mighahawa iliyochangamka? 5 [emoji93] hotel mnazo????[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] Sema hivi amejiridhisha kwamba akijenga hotel huko Kahama itaishia kuwa makazi ya popo ila guest itawafaa Ili muendelee kupigana miti kama pacha kulingana na uwezo wao.
Njombe kuna hoteli nyingi kwa sababu kuna watu wenye kipato kulala Hotelini
Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app