We kweli kichwa nazi, yaani unazungumzia upumbavu wenu wa kuamini risasi kuwa maji! [emoji3][emoji3][emoji3] Ila kweli nyie ni mandezi sana, Risasi kugeuka maji[emoji1787][emoji1787], mliuawa kiboya sana kwa ujinga wenu, huyo mkwawa naye baada tu ya kuiona Germany Rolling machine akajinyonga bila hata kuguswa, kama sio undezi nini!! Ebu chekishia mwana wa kanda ya ziwa, mwana wa Tanganyika, Mwana wa Afrika Julius K. Nyerere pasipo hata kumwaga damu, yaani kwa akili kubwa tu akaing'arisha December Tanganyika ikawa huru.