Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

T
Mikoa kumi inayoongoza kwa kuchangia pato la Taifa. Kanda ya ziwa imeingiza Mikoa mitatu, Nyanda za juu kusini mmeingiza mikoa miwili, na hamuoni aibu??? Wavivu sana nyie... WeView attachment 1880753

Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile appy

Basi tunaitoa Ruvuma na tunaiweka Njombe, kwa sababu najua Njombe bado ni mdogo kwa Geita na haiwezi mpangua Geita...

Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
Sasa zaidi ya madini geita itaizidi nn mkoa wa njombe mapato tu kimkoa imepigwa gap na kumbuka Kuna migodi soon inaanzishwa ludewa
 
Et geita njombe hata watu binafsi wanna uchumi mzuri tofauti na hko geita ndo maana hata rais aliyepita aliushangaa sana mkoa wa njombe the way ulivojengeka
FB_IMG_16281573628739102.jpg
 
Na bado Geita inakuwa Municipal mapemaa tu kabla ya Njombe

Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
Mkuu Geita isubili kwanza mshamzoea Magu anawapawapaa tuu Hamna vigezo vya kuwa manispaaa saiv utawala umebadilika. S unacheki airport ya chato hakuna kitu saiv eneo wapewe wananchi waanike maindi hakuna ndege zinazoenda ukoo saivv tusubili sensa ya mwakani itaongea kila kitu
 
huijui Mwanza
Mzumbe
IFM
TIA
CBE
Ruaha

Yaani hivyo ni vyuo ambavyo vimefungua matawi Mwanza, sijaweka vya Mwanza origin

Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
Ndio nakwambia hivyo vyuo ni vichache kwa Mbeya,vyote hivyo viko Mbeya kasoro Ruaha .

Mbeya 👇
Mzumbe,
Must,
Saut-secuco,
Tumaini,
CBE,
Muchas,
Utumishi wa umma,
Mucobs,
Teofilo kisanji,
Out.

Taasisi ya saratani ya ocean road itafungua tawi mwaka huu pale Rufaa.

Vyuo vya Kati ndio kabisaa vimejaa havihesabiki.
 
Et geita njombe hata watu binafsi wanna uchumi mzuri tofauti na hko geita ndo maana hata rais aliyepita aliushangaa sana mkoa wa njombe the way ulivojengeka
View attachment 1880788
Tumekusanya 7.5 bln japo tumeongoza kiasilimia, kwenye kundi letu tumezidiwa kimapato na Geita.

Pesa zote hizo hakuna cha migodi wala nini ni miti,parachichi na kilimo
 
Njombe ndo nilikozaliwa na ndo ninakoishi kwa xx pia lkn kahama mji wa akina fantom nmeishi kwa miaka 10 tangu 2010-2020 so naifaham vyema hii miji ila bila kumumunya maneno wala upendeleo ni kuishusha hadhi kahama kuifananisha na njombe

1. Mji umepangika
2. Shughul za wakaz ni
i- uchimbaji wa madin
ii- kilimo cha mpunga
iii- biashara yenye mzunguko mkubwa kuliko manispaa( ndio maana ata enzi za boss luge mkoa wa shy ndio uliokua na matukio 2 ya fiesta ndan ya mkoa mmoja yaan 1 shy town na 2 kahama na licha ya ivyo vaib la shy lilikua halfanani na la kahama)
Nb: siku ukifika kahama waombe wenyeji wakupeleke kaliakoo ndio utaamin kua mgod wa bulyang'hulu unatema madini na sio viaz km njombe
3- kuhusu ubora wa majengo ndio usiseme kabisa
4- harakat za utaftaji wa mkate wa cku ni za 24hrs
5-hali ya hewa ni nzur haina joto lililoptiliza la zaid ya 32°C km dar wala bard la kulimia viaz mvirungo la kufkia chin ya 20°C km njombe

Hongeren wale mnaoishi kahama ni maeneo yanayofaa kwa kila ktu ko endeleen ku enjoy life
Nadhani bado hujaelewa ulichoongea hata mwenyewe.Kahama imepangika lini? Fiesta ndio kitu gani kwenye uchumi japo Njombe nako iliwahi fanyika lakini sio issue kabisa
 
Maneno mengi huku kamji kenyewe akawezi kukaa ligi moja na mji wa tarime wenda kidogo sirari japo sirari ligi yake tunduma na mkubwa wenu huko mbeya chamtoto tu ukiondoa population hana chochote mbele ya musoma, kyerwa apewe butiama, makambako mjini size yake bunda na uyole linganisha na mugumu mjini, mafinga vs shirati kama unabisha tulete evidence mezani.
Njombe inatisha mkuu hata Magu mwenyewe hakuamini anachokiona.
 
Ni bahati mbaya Sana wengi hawajaelewa maana maendeleo ya watu.Ukiangalia fedha zinazochukuliwa na serikali moja kwa moja kupitia TRA ndio unaweza usione uimara wa Nyanda za kusini maana kodi nayo hutegemea ujanja wa wafanyabiashara lakini ukijikita kwenye mchango wake kwenye shughuli za kiuchumi na maendeleo ya watu Kanda ya Ziwa haiifiki Nyanda za Juu kusini na tunavyozungumza Nyanda za Juu kusini tunaizungumza Njombe,Iringa,Mbeya,Rukwa,na Ruvuma kwa kiwango japo sehemu fulani ya Ruvuma inaangua mikoa ya kusini yaani Lindi,Mtwara na Ruvuma.
 
Tumekusanya 7.5 bln japo tumeongoza kiasilimia, kwenye kundi letu tumezidiwa kimapato na Geita.

Pesa zote hizo hakuna cha migodi wala nini ni miti,parachichi na kilimo
Hakuna kama Kanda ya ziwa, Njombe imechakazwa na
Ilemela
Kahama
Geita
Na muda sio mrefu ( Kabla Samia hajaenda kula pension yake) tutaanzisha Uzi wa Sengerema Vs Njombe

Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
 
Hakuna kama Kanda ya ziwa, Njombe imechakazwa na
Ilemela
emoji3581.png

Uwe unaangalia gap kutoka 2015 hadi sasa 2021,,tumebakiwa tunadaiwa 1b

Tumepunguza gap na Kahama bado mil.400 tuu tuwakute ,Geita bado 3b na Ilemela bado 1 b

Kijiji cha Sengerema tutakilinganosha na Songwe DC ambako pia kutakuwa na mgodi mkubwa kuliko huo wa Sengerema tena na Kiwanda juu.Mgodi wa Nyanzaga utainufaisha Ilemela zaidi kwenye kiwanda kuliko Sengerema.

Hiyo Wilaya itaendelea kuwa maskini hadi mwisho wa Dunia,ina watu wengi Sana kwenye mkoa wa Mwanza lakini hakuna mapato yoyote inazalisha.

Mwisho ni kwamba tunategemea siku uzalishaji wa madini ya Liganga na Mchuchuma yakianza tutagawana pesa na Ludewa DC .

Weka hili kichwani siku tukifika kwenye full scale ya uzalishaji wa parachichi na vanilla hakuna Halmashauri itaweza ifikia Njombe kwa mapato.

Mkoa wetu wa Njombe Ludewa na Makambako wanatuangusha Sana japo kwa Ludewa ilikuwa ni changamoto ya miundombinu,siku barabara ikikamilika nayo itafanya vizuri.
 
Ni bahati mbaya Sana wengi hawajaelewa maana maendeleo ya watu.Ukiangalia fedha zinazochukuliwa na serikali moja kwa moja kupitia TRA ndio unaweza usione uimara wa Nyanda za kusini maana kodi nayo hutegemea ujanja wa wafanyabiashara lakini ukijikita kwenye mchango wake kwenye shughuli za kiuchumi na maendeleo ya watu Kanda ya Ziwa haiifiki Nyanda za Juu kusini na tunavyozungumza Nyanda za Juu kusini tunaizungumza Njombe,Iringa,Mbeya,Rukwa,na Ruvuma kwa kiwango japo sehemu fulani ya Ruvuma inaangua mikoa ya kusini yaani Lindi,Mtwara na Ruvuma.
Asikudanganye mtu mkuu moja ya kanda potential Sana kwa Tzn ni Southern Highlands maana kuna kila kitu.

Kule Kaskazini labda Kagera na Mara ndio iko relatively unexploited but mikoa mingine ya Kanda ya Ziwa hamna kitu yaani siku madini yakikata kunasalia hakuna cha maana.

Sasa Kusini kila kitu kipo si madini ,misitu au ardhi ya kilimo hadi utalii vyote hivi havijavunwa changamoto kubwa ni miundombinu bado haijafinguliwa.
 
Ni bahati mbaya Sana wengi hawajaelewa maana maendeleo ya watu.Ukiangalia fedha zinazochukuliwa na serikali moja kwa moja kupitia TRA ndio unaweza usione uimara wa Nyanda za kusini maana kodi nayo hutegemea ujanja wa wafanyabiashara lakini ukijikita kwenye mchango wake kwenye shughuli za kiuchumi na maendeleo ya watu Kanda ya Ziwa haiifiki Nyanda za Juu kusini na tunavyozungumza Nyanda za Juu kusini tunaizungumza Njombe,Iringa,Mbeya,Rukwa,na Ruvuma kwa kiwango japo sehemu fulani ya Ruvuma inaangua mikoa ya kusini yaani Lindi,Mtwara na Ruvuma.
Ni kweli kwa kutumia TRA utakuta Nyanda za Juu inachangia kidogo ,angalau Iringa(Ruaha,Udzungwa Naps) na Songwe(mpaka wa Tunduma) ndio huwa zinajitahidi.Lakini sababu ni kwamba Mikoa mingi ya Nyanda za Juu Kaskazini haina walipakodi wakubwa kama migodi, airports,bandari, viwanda vikubwa,mbuga za wanyama na mahoteli makubwa.

Sasa hilo linasababisha mikoa ya Pwani,Kanda ya Ziwa na Kusini kuwa walipakodi wakubwa.Lakini sasa ukija kwenye GDP na maisha ya individual unakuta Highlands iko poa zaidi kwa sababu sisi huku shughuli zetu ni zile zinagusa maisha ya mtu directly kama kilimo na biashara ndogo na za Kati.

Tafsiri yake sasa utaikuta kwenye mapato ya Halmashauri zetu hapo ndio utajua watu wa huku Wana uchumi mzuri tofauti na migodini au kwenye maviwanda ambako wanategemea service levy ila maisha ya individual ni hoi.Yaani serikali inakuwa na pesa ila watu wao hawana pesa.

Ndio maana mimi huwa sishabikii mamigodi na maviwanda ya wahindi maana tija kwa watu ni ndogo sana
 
Uwe unaangalia gap kutoka 2015 hadi sasa 2021,,tumebakiwa tunadaiwa 1b

Tumepunguza gap na Kahama bado mil.400 tuu tuwakute ,Geita bado 3b na Ilemela bado 1 b

Kijiji cha Sengerema tutakilinganosha na Songwe DC ambako pia kutakuwa na mgodi mkubwa kuliko huo wa Sengerema tena na Kiwanda juu.Mgodi wa Nyanzaga utainufaisha Ilemela zaidi kwenye kiwanda kuliko Sengerema.

Hiyo Wilaya itaendelea kuwa maskini hadi mwisho wa Dunia,ina watu wengi Sana kwenye mkoa wa Mwanza lakini hakuna mapato yoyote inazalisha.

Mwisho ni kwamba tunategemea siku uzalishaji wa madini ya Liganga na Mchuchuma yakianza tutagawana pesa na Ludewa DC .

Weka hili kichwani siku tukifika kwenye full scale ya uzalishaji wa parachichi na vanilla hakuna Halmashauri itaweza ifikia Njombe kwa mapato.

Mkoa wetu wa Njombe Ludewa na Makambako wanatuangusha Sana japo kwa Ludewa ilikuwa ni changamoto ya miundombinu,siku barabara ikikamilika nayo itafanya vizuri.
Makambako subili viwanda vianze kazi kesho tuu apoo Mambo yatakua mazuri tuuu tutakua mbali tuuu
 
Ni kweli kwa kutumia TRA utakuta Nyanda za Juu inachangia kidogo ,angalau Iringa(Ruaha,Udzungwa Naps) na Songwe(mpaka wa Tunduma) ndio huwa zinajitahidi.Lakini sababu ni kwamba Mikoa mingi ya Nyanda za Juu Kusini haina walipakodi wakubwa kama migodi, airports,bandari, viwanda vikubwa,mbuga za wanyama na mahoteli makubwa.

Sasa hilo linasababisha mikoa ya Pwani,Kanda ya Ziwa na Kusini kuwa walipakodi wakubwa.Lakini sasa ukija kwenye GDP na maisha ya individual unakuta Highlands iko poa zaidi kwa sababu sisi huku shughuli zetu ni zile zinagusa maisha ya mtu directly kama kilimo na biashara ndogo na za Kati.

Tafsiri yake sasa utaikuta kwenye mapato ya Halmashauri zetu hapo ndio utajua watu wa huku Wana uchumi mzuri tofauti na migodini au kwenye maviwanda ambako wanategemea service levy ila maisha ya individual ni hoi.Yaani serikali inakuwa na pesa ila watu wao hawana pesa.

Ndio maana mimi huwa sishabikii mamigodi na maviwanda ya wahindi maana tija kwa watu ni ndogo sana
Naam...

Ngoja Leo niiguse kidogo wilaya ya misenyi
Wilaya inayoongoza kwa idadi ya maprofesa nchini na madocta nchi.

Wahaya wengine hupaita ulaya ndogo.

Hebu tuanzie kagera sugar . Mashamba makubwa na kiwanda kikubwa nchini Cha Sukari kagera( siku wakisitisha uzalishaji na Sukari inapotea)
Bado wananchi wa kawaida wanaolima miwa na kuwauzia kiwanda
images%20(53).jpg
images%20(55).jpg
images%20(56).jpg
images%20(54).jpg
 
Ni kweli kwa kutumia TRA utakuta Nyanda za Juu inachangia kidogo ,angalau Iringa(Ruaha,Udzungwa Naps) na Songwe(mpaka wa Tunduma) ndio huwa zinajitahidi.Lakini sababu ni kwamba Mikoa mingi ya Nyanda za Juu Kusini haina walipakodi wakubwa kama migodi, airports,bandari, viwanda vikubwa,mbuga za wanyama na mahoteli makubwa.

Sasa hilo linasababisha mikoa ya Pwani,Kanda ya Ziwa na Kusini kuwa walipakodi wakubwa.Lakini sasa ukija kwenye GDP na maisha ya individual unakuta Highlands iko poa zaidi kwa sababu sisi huku shughuli zetu ni zile zinagusa maisha ya mtu directly kama kilimo na biashara ndogo na za Kati.

Tafsiri yake sasa utaikuta kwenye mapato ya Halmashauri zetu hapo ndio utajua watu wa huku Wana uchumi mzuri tofauti na migodini au kwenye maviwanda ambako wanategemea service levy ila maisha ya individual ni hoi.Yaani serikali inakuwa na pesa ila watu wao hawana pesa.

Ndio maana mimi huwa sishabikii mamigodi na maviwanda ya wahindi maana tija kwa watu ni ndogo sana
Ni bahati mbaya Sana wengi hawajaelewa maana maendeleo ya watu.Ukiangalia fedha zinazochukuliwa na serikali moja kwa moja kupitia TRA ndio unaweza usione uimara wa Nyanda za kusini maana kodi nayo hutegemea ujanja wa wafanyabiashara lakini ukijikita kwenye mchango wake kwenye shughuli za kiuchumi na maendeleo ya watu Kanda ya Ziwa haiifiki Nyanda za Juu kusini na tunavyozungumza Nyanda za Juu kusini tunaizungumza Njombe,Iringa,Mbeya,Rukwa,na Ruvuma kwa kiwango japo sehemu fulani ya Ruvuma inaangua mikoa ya kusini yaani Lindi,Mtwara na Ruvuma.
Nadhani kabla hamjaanza kujivunia mapato mngeelimika kwanza.

Watu wa kagera bukoba walielimika kwanza ndo maana wanaisaka pesa na kuja kuwekeza vijijini hiv.

Bukoba vijijini ukiwa unapita ndo utaona umuhimu wa kusoma kuliko kuwa na biashara za stress kariakoo Kama wakinga.

Huku ni vijijini sidhani Kama nyumba hiz Kama hata mbeya mjini zipo
images%20(57).jpg
images%20(59).jpg
images%20(60).jpg
images%20(61).jpg
images%20(62).jpg
images%20(63).jpg
images%20(64).jpg
2181639_tapatalk_1570990791009.jpg
images%20(65).jpg
images%20(66).jpg
images%20(70).jpg
images%20(71).jpg
images%20(72).jpg
images%20(74).jpg
images%20(75).jpg
images%20(76).jpg
 
Nadhani kabla hamjaanza kujivunia mapato mngeelimika kwanza.

Watu wa kagera bukoba walielimika kwanza ndo maana wanaisaka pesa na kuja kuwekeza vijijini hiv.

Bukoba vijijini ukiwa unapita ndo utaona umuhimu wa kusoma kuliko kuwa na biashara za stress kariakoo Kama wakinga.

Huku ni vijijini sidhani Kama nyumba hiz Kama hata mbeya mjini zipoView attachment 1881682View attachment 1881683View attachment 1881684View attachment 1881686View attachment 1881687View attachment 1881688View attachment 1881689View attachment 1881690View attachment 1881691View attachment 1881692View attachment 1881693View attachment 1881694View attachment 1881695View attachment 1881696View attachment 1881697View attachment 1881698
Nani hajaelimika? Hizo nyumba ziko nyingi tuu mitaani,

Scotland Mbeya 😃😃👇

Screenshot_20210804-231252.png
 
Back
Top Bottom