Mshono eeh.Ujie madini ya dhahabu kila kima awe na pesa au asiwe na pesa anaweza kufanya tofauti na heavy duty,high tech mining and huge investments zinazowezekwa kwenye aina ya Madini yanayopatikana Kusini.Hii ndio sababu uwekezaji unachelewa.
Ila kwa sasa tayari serikali imetoa kibali cha kuanza ujenzi wa mgodi mkubwa wenye investment ya over $ 100.23(2.63T) kwenye mgodi wa Nguavilla Songwe Region.Kana kwamba hiyo haitoshi wwkezaji utaenda sambamba na ujenzi refinery plant kiasi kwamba investment inayotakiwa ni $ 200(4.8T).Hii amount changanya tumigodi twote twa dhahabu Kanda ya Ziwa.
Tukiwaambia Kusini sio size yenu muwe mnaelewa maana tuko endowed with olmost everything
View attachment 1883121
View attachment 1883122
View attachment 1883123
View attachment 1883124
Lakini yapasa umfahamishe tu kuwa, ingawa kusini zipo mbili yaani kusini na nyanda za juu kusini, lakini zina vitu inavyounganishwa navyo ambacho ni Mtwara Development Corridor ambapo Bandar ya Mtwara iko tayari, bado SGR kutoka Mtwara kwenda kwenye migodi ya makaa ya mawe Liganga na Mchuchuma(kanda ya Nyanda za juu kusini), SGR hiyo pesa za upembuzi zimeshatolewa na SADC. Nilikua nasherehesha tu kuonesha Kanda hiyo ina utajiri mkuba.



